Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💨 Nothing walishindwaje hapa?
︎ Teknolojia

💨 USED DUBAI (Original Display)👇

▪️Pixel 7 (8+128) - 550K
▪️Pixel 7a (8+128) - 550K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.15M

PIXEL MPYA (Non Active)💥
▪️Pixel 9a (8+128) - 1.45M
▪️Pixel 9a (8+256) - 1.7M
▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.1M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨CHAPATI ZA DUBAI

SONY XPERIA 10IV
▪️ Camera: 12MP (main) + 8MP (ultra-wide) + 8MP (telephoto), Selfie 8MP
▪️ Battery: 5000mAh, fast charging 30W
▪️ Display: 6.0" OLED, Full HD+, 60Hz
▪️ Processor: Snapdragon 695 5G
▪️ Storage: 6GB RAM, 128GB ROM + microSD
▪️ OS: Android 12 (upgradable)
▪️ Extras: IP65/IP68, Gorilla Glass Victus, stereo speakers, headphone jack

💥 Price: 270,000

📍Dar: KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
3. Umeweka kidole kwa angle tofauti

Wakati unarekodi fingerprint mara ya kwanza, simu hukumbuka angle maalum. Ukigusa kwa angle tofauti sana, inaweza kushindwa kutambua.
🔧 Suluhisho la haraka:

▪️Osha na kausha mikono kabla ya kutumia.

▪️Safisha sensor mara kwa mara.

▪️Rekodi tena fingerprint mpya (angle tofauti).

▪️Hakikisha simu ina updates zote.

▪️Kama shida inaendelea – fikiria kutumia face unlock kwa muda.
2. Sensor ni chafu au ina vumbi

Sensor inapokuwa na vumbi, mafuta ya ngozi, au uchafu wowote, inashindwa kusoma fingerprint vizuri.
7. Fingerprint yako imebadilika
Kama unafanya kazi ngumu sana kwa mikono (welding, construction, graphics, cleaning), alama zako za vidole zinaweza kubadilika kiasi cha kuathiri utambuzi.
︎ Teknolojia

💨Fingerprint sensor – Kwa nini haifanyi kazi vizuri wakati mwingine? 🔒📱

Kuna muda unagusa fingerprint ya simu yako mara 3, mara 4... bado haifunguki!
Wakati mwingine inasema "try again later" au "not recognized".

Sasa, tatizo ni nini? Hebu tuzame kwenye sababu kuu 👇🏽
5. Sensor yenyewe ina tatizo la software au hardware

Kuna wakati fingerprint sensor inaweza kuwa na bug, au imeharibika.

Mara nyingi huonekana baada ya kuangusha simu au baada ya update isiyo kamili.
. Umeweka screen protector au case
inayoziba sehemu ya fingerprint

Baadhi ya screen protectors au cases zinaweza kuathiri uwezo wa sensor kufanya kazi, hasa kama sensor ipo juu ya screen (in-display sensor).
6. Simu haijafanya update muhimu
Firmware updates huja na maboresho ya fingerprint recognition.
Ukiwa na toleo la zamani, unaweza kupata matatizo haya mara kwa mara.
1. Vidole vikavu sana au vyenye mafuta

Kidole kikavu kupita kiasi (dry skin) au chenye mafuta/hali ya unyevunyevu, kinaathiri uwezo wa sensor kusoma alama.
︎ Teknolojia

💨 BRAND NEW 💥

▪️Samsung A55 5G (8+256) - 950K
▪️Samsung A56 5G (8+256) - 1.1M

📍KKKT Kariakoo
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -420K
▪️A16 (6+128) - 450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨Muonekano wa Samsung Z flip 7 na fold 7 utakavyokuwa upande wa camera
👇👇
︎ Teknolojia

💨Hapa ikiingia bongo tambo lipi utaruka nalo
Poco F7🔥