Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿ†• Google inabadili nembo ya Gemini

Sasa ina rangi ya samawati upande wa kulia, ikichanganyika polepole na nyekundu juu, njano kushoto, na kijani chini! Sasa hivi itakuwa na rangi za Google.โœจ

Pia lake sasa ni mviringo kidogo kwenye kona ambazo hazina ncha kali
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จAsante kwa kutuamini
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
tunakufikia kwa uaminifu mkubwa sana
Septemba 24, mwaka 2182 Dunia itaweza kukumbwa na changamoto ya Jiwe kubwa kuweza kuigonga Dunia Yetu. Kupitia ujumbe uliotumwa na NASA OSIRIS REx jiwe hilo aina ya Asteroid Bennu itaweza kushuka Duniani.
Hata hivyo uwezekano wa kuathili Dunia bado haujawekwa wazi na wapi litashuka ? Hivyo kupitia NASA Dart wanaendelea kulichunguza na kupata taarifa kamili zaidi.

Endelea kufuatilia page Yetu utajifunza zaidi masuala Mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili
@Bongotech255
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Jiwe hilo lina ukubwa sawa na uwanja wa mpira ambapo husonga Mbele Kila baada ya Miaka 6 mpaka kufikia mwaka 2135 itaweza kusogea karibu na Dunia na ifikapo mwaka 2182 itaweza kugonga Dunia.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ช๐—ฎ๐—ป๐—ฎ๐˜€๐—ฎ๐˜†๐—ฎ๐—ป๐˜€๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜€๐—ฒ๐—บ๐—ฎ ๐—บ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ ๐Ÿฎ๐Ÿญ๐Ÿด๐Ÿฎ ๐—ž๐˜‚๐—ป๐—ฎ ๐—ท๐—ถ๐˜„๐—ฒ ๐—ธ๐˜‚๐—ฏ๐˜„๐—ฎ ๐—ต๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐—ฟ๐—ถ ๐—น๐—ถ๐˜๐—ฎ๐—ธ๐˜‚๐—ท๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ด๐—ผ๐—ป๐—ด๐—ฎ ๐——๐˜‚๐—ป๐—ถ๐—ฎ

Inawezekana hakuna kati Yetu ambaye atakuwepo ila ๐Ÿ˜wape taarifa wajukuu au vitukuu vyako, kuna jiwe kubwa litashuka

Threads ๐Ÿ‘‹
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Ona namna ya kutumia camera zote za simu yako ๐Ÿ‘‡
2. JARIBU HII SETTING
Fungua sehemu za "About Phone" ulinganishe model + RAM + Storage kama ni kweli vs kilichoelezwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จKABLA HUJANUNUA SIMU KWA MTUMBA, ANGALIA HAYA MAMBO 7 ๐Ÿ”ฅ
(Nyuzi ya kusaidia wasio taka kudanganywa mitaani ๐Ÿ“ฑ)

Shuka๐Ÿงต๐Ÿงต๐Ÿ‘‡
7. JARIBU KUIWASHA NA KUIZIMA
Simu yoyote yenye matatizo ya software au hardware huonesha delay au ku-stuck wakati wa kuwaka au kuzima.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa.
4. CHARGING PORT & AUDIO
Weka chaja. Ikiwa inatingishika au inaingia kwa nguvu โ€” port imechoka. Pia piga sauti uone kama speaker inaguna.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa
5. CAMERA TEST
Fungua camera zote (rear na selfie) โ€” jaribu flash, zoom, portrait mode. Hakikisha autofocus inafanya kazi.
Nunua mahali panapojulikana, pata risiti, na omba guarantee hata ya siku 3
3. ANGALIA LINE YA SCREEN & FRAME
Ukiona screen imewahi kufunguliwa (tochi ukitazama kwa pembeni), kuna uwezekano mkubwa iliwahi kufunguliwa au kuanguka vibaya.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Infinix wameachia hii video jana kuonyesha kuna sindano inakuja๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ