ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จAsante kwa kutuamini
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
tunakufikia kwa uaminifu mkubwa sana
๐จAsante kwa kutuamini
@Njiwa_Store
@NjiwaFLow
tunakufikia kwa uaminifu mkubwa sana
Septemba 24, mwaka 2182 Dunia itaweza kukumbwa na changamoto ya Jiwe kubwa kuweza kuigonga Dunia Yetu. Kupitia ujumbe uliotumwa na NASA OSIRIS REx jiwe hilo aina ya Asteroid Bennu itaweza kushuka Duniani.
Hata hivyo uwezekano wa kuathili Dunia bado haujawekwa wazi na wapi litashuka ? Hivyo kupitia NASA Dart wanaendelea kulichunguza na kupata taarifa kamili zaidi.
Endelea kufuatilia page Yetu utajifunza zaidi masuala Mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili
@Bongotech255
Endelea kufuatilia page Yetu utajifunza zaidi masuala Mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili
@Bongotech255
ใฝ๏ธ Teknolojia
Jiwe hilo lina ukubwa sawa na uwanja wa mpira ambapo husonga Mbele Kila baada ya Miaka 6 mpaka kufikia mwaka 2135 itaweza kusogea karibu na Dunia na ifikapo mwaka 2182 itaweza kugonga Dunia.

๐ช๐ฎ๐ป๐ฎ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ป๐๐ถ ๐๐ฎ๐บ๐ฒ๐๐ฒ๐บ๐ฎ ๐บ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ญ๐ด๐ฎ ๐๐๐ป๐ฎ ๐ท๐ถ๐๐ฒ ๐ธ๐๐ฏ๐๐ฎ ๐ต๐ฎ๐๐ฎ๐ฟ๐ถ ๐น๐ถ๐๐ฎ๐ธ๐๐ท๐ฎ ๐ธ๐๐ด๐ผ๐ป๐ด๐ฎ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ
Inawezekana hakuna kati Yetu ambaye atakuwepo ila ๐wape taarifa wajukuu au vitukuu vyako, kuna jiwe kubwa litashuka
Threads ๐

2. JARIBU HII SETTING
Fungua sehemu za "About Phone" ulinganishe model + RAM + Storage kama ni kweli vs kilichoelezwa.
Fungua sehemu za "About Phone" ulinganishe model + RAM + Storage kama ni kweli vs kilichoelezwa.
ใฝ๏ธ Teknolojia
๐จKABLA HUJANUNUA SIMU KWA MTUMBA, ANGALIA HAYA MAMBO 7 ๐ฅ
(Nyuzi ya kusaidia wasio taka kudanganywa mitaani ๐ฑ)
Shuka๐งต๐งต๐

7. JARIBU KUIWASHA NA KUIZIMA
Simu yoyote yenye matatizo ya software au hardware huonesha delay au ku-stuck wakati wa kuwaka au kuzima.

โ
1. IMEI CHECK
Ili kuhakikisha simu haijaibiwa, fungua dialer na andika *# > nakili IMEI > kisha tembelea:
๐ imeipro.info au ctia.org (kwa Marekani).

www.imeipro.info
IMEIpro - free IMEI number check service
International database of blacklisted phones. Check your phone model and make sure the phone has not been reported as lost or stolen.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa.

4. CHARGING PORT & AUDIO
Weka chaja. Ikiwa inatingishika au inaingia kwa nguvu โ port imechoka. Pia piga sauti uone kama speaker inaguna.
Weka chaja. Ikiwa inatingishika au inaingia kwa nguvu โ port imechoka. Pia piga sauti uone kama speaker inaguna.
6. ACCOUNT LOCK (Google/Samsung ID)
Simu ikiwa imefungwa kwa Google account au Samsung ID, itakutesa baada ya kurudisha factory settings. Hakikisha account zote zimeondolewa

5. CAMERA TEST
Fungua camera zote (rear na selfie) โ jaribu flash, zoom, portrait mode. Hakikisha autofocus inafanya kazi.

3. ANGALIA LINE YA SCREEN & FRAME
Ukiona screen imewahi kufunguliwa (tochi ukitazama kwa pembeni), kuna uwezekano mkubwa iliwahi kufunguliwa au kuanguka vibaya.