Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
2. Mid-Range Phones 💎

Simu za uwezo wa kati. Zinakupa performance nzuri kwa bei ya wastani.

Chipset za kati (Snapdragon 6/7 Series, Dimensity 700/800 series)
Kamera za kawaida sana

Display za HD au HD+

Haina features nyingi za premium

Bei chini ya Tsh 500,000
Mfano:

Samsung Galaxy S series

iPhone Pro/Pro Max

Xiaomi 14 Pro

OnePlus 12
Kamera nzuri lakini sio flagship level

Display nzuri lakini mara nyingi sio flagship quality

Fast charging inakuwepo lakini sio ya kasi ya juu sana

Bei kati ya Tsh 500,000 - 1.5M
Bei, Chipset, Kamera, Display na Features ndio vigezo vikubwa vya kutofautisha hizi category.

Ukinunua simu, jiulize:
👉 Unataka performance gani?
👉 Budget yako ni kiasi gani?
👉 Unahitaji features gani zaidi?
3. Low-End / Entry-Level Phones 📞

Simu za bei nafuu zaidi, kwa matumizi ya kawaida tu.

Chipset za entry level (Helio G series, Snapdragon 4 series)
Kamera za hali ya juu (OIS, Periscope Zoom, Night Photography)

Display za ubora (AMOLED, 120Hz, HDR10+)

Features za premium (Wireless charging, IP68 water resistance, Stereo speakers)

Bei ni kubwa zaidi (Zaidi ya Tsh 2M+)
betri imara sio poa
Android version support ya muda mrefu
Skrini na fremu yake iko poa😛
Inakuja ikiwa na Teknoloji ya Akili MNEMBA ya Infinix AI
Processor yake yenye nguvu.
︎ Teknolojia

Soon kampuni ya INFINIX Toka Tanzania itaweza kuachia simu mpya ambayo inasemeka hii ndo itakua simu nyembamba mno Duniani.

Ni simu nzuri ya kisasa yenye feature kedede ambapo ina kioo cha mkunjo yani iko very smoothly lakini kubwa zaidi kuhusu mambo yafuatayo;👇
︎ Teknolojia

Kwenye kamera, storage usiwe na shaka unapata kitu Bora bila kusahau hii simu ni nyembamba mnoo unaweza kuweka pre oda yako Sasa ✍️.
@InfinixMobileTZ

Kumbuka TU Hii simu ni nyembamba kuliko simu mpya ya SAMSUNG Galaxy Edge 25 Endelea kufuatilia page Yetu kwa taarifa zaidi.
︎ Teknolojia

𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗼 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝗻𝘆𝗲𝗺𝗯𝗮𝗺𝗯𝗮 𝗗𝘂𝗻𝗶𝗮𝗻𝗶

Achana na Samsung ndo inasemekana Toleo jipya la Samsung Galaxy S25 Edge ndo simu nyembamba

Kuna hii simu ni balaa👋

Threads 👇
@Bongotech255
@Huduma

💨 XIAOMI REDMI (Brand new) 💥

▪️Redmi A5 (3+64) - 250K
▪️Redmi A5 (4+128) - 280K
▪️Redmi 14C (4+128) - 300K
▪️Redmi 14C (8+256) - 350K
▪️Note 13 (6+128) - 450K
▪️Note 13 (8+256) - 530K
▪️Note 13 Pro 4G (8+256) - 680K
▪️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
▪️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
▪️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
▪️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
▪️Redmi Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 800K
▪️Redmi Note 14 Pro+ 5G (8+256)
🆕 Katika mfumo mpya wa iOS 26, mfumo wa FaceTime itakuwa na uwezo wa kusitisha video na sauti kwa wakati huo huo ikiwa itatambua mtu ameanza kuvua nguo au amekaa katika mazingira ambayo sio salama kimaudhui.

FaceTime itasitisha video call na kukuuliza kama upo sawa kuendelea
︎ Teknolojia

💨 Tecno Pova 7 ina muonekano mzuri kuliko Nothing Phone 3.
︎ Teknolojia

💨 NOTHING PHONE (Non Active)

▪️CMF Phone1 (8+256) - 850K
▪️Phone2a (8+256) - 1.1m
▪️Phone2a Plus (12+256) - 1.2m
▪️Phone 2 (12+256) - 1.58m
▪️Phone 3a (12+128) - 1.1M
▪️Phone 3a (12+256) - 1.25M
▪️Phone 3a Pro (12+256) - 1.45M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

RedMagic Astra Gaming Tablet imezinduliwa siku ya jana na itaanza kuuzwa kati ya tarehe 10-15 July kwa 💰 469.

Tablet moja yenye muonekano wa kibabe🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 TECNO CAMON 40 Series

▪️Camon 40 (16+256) - 650K
▪️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
▪️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
🆕 Google inabadili nembo ya Gemini

Sasa ina rangi ya samawati upande wa kulia, ikichanganyika polepole na nyekundu juu, njano kushoto, na kijani chini! Sasa hivi itakuwa na rangi za Google.

Pia lake sasa ni mviringo kidogo kwenye kona ambazo hazina ncha kali