Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

Android User
Sasa hapa kwa ujumla watumiaji wa simu za Android hata Mimi uwa natumia sana njia hii ambapo Kuna app inaitwa "SMS BACKUP & RESTORE" ni nzuri sana.....
@Huduma

💡 Samsung User
Ukihitaji kuhamisha message Toka simu moja kwenda nyingine unaweza tumia app inaitwa "Smart Switch" ni app nzuri ya kukusaidia kuhamisha message zilizopo kwenye chati Yani normal Text kwenda simu nyingine bila kupoteza hata moja kwa kuchagua unatuma au unapokea.
Tumia njia nyingine ya text forward utaweza kuweka On kwenye simu ya zamani kuweza kuona sms kwenye simu yako kikubwa zaidi tumia app inaitwa SMS BACKUP & RESTORE ndo nzuri.
@Huduma

kuweza kuhamisha calls zako 📞, message Toka simu moja kwenda nyingine unachotakiwa ni kupakua hiyo app Toka Google plays store na kuanza kutumia Bure.
Inawezekana umenunua simu mpya na unataka kuhamisha message zako Toka simu moja kwenda nyingine unafanyaje ? Leo nawajuza kwa watumiaji wa simu za Android na iphone pia.
Iphone user
Kwa watumiaji wa iphone unaweza tumia njia ya iclouds backup kwa ku enable hii feature kwenye simu yako kuweza kuhamisha sms zako na call logs Toka simu ya zamani kwenda mpya.
@Huduma

💡 Samsung User
Ukihitaji kuhamisha message Toka simu moja kwenda nyingine unaweza tumia app inaitwa "Smart Switch" ni app nzuri ya kukusaidia kuhamisha message zilizopo kwenye chati Yani normal Text kwenda simu nyingine bila kupoteza hata moja kwa kuchagua unatuma au unapokea.
💰 8. Hidden Costs:

Insurance ya shipping

Return shipping kama kuna defect

Clearing agent fees

Gharama hizi mara nyingi hazionekani kwenye bei ya awali.
📃 3. Duty & Taxes (Kodi):
Simu inapoingia Tanzania, inaweza kushikiliwa na TRA hadi ulipe kodi.

Makadirio ya gharama za import:

Duty ~ 0-25%

VAT 18%

Clearance fees

Bei unayoona online ≠ Bei utakayolipa mwisho!
📱 5. Model za China Specific:
Baadhi ya simu (hasa Xiaomi, Huawei, n.k.) huwa ni China ROM only

Hazi-support Google Services (GMS)

Play Store haipo

Apps nyingi za Google hazifanyi kazi

Angalia “Global Version” au “International Version” kama unataka usability ya kawaida.
🔑 7. Lock Status:

Angalia kama simu ni Factory Unlocked

Usinunue “Carrier Locked Phones” kama umetoka US (eg: AT&T, Verizon etc) – zinaweza zisifanye kazi hapa Tanzania.
10. Hakikisha Before Checkout:
✔️ Network Compatibility
✔️ Model Version (Global/China)
✔️ Warranty Terms
✔️ Shipping Method
✔️ Total Cost inc. Taxes
✔️ Seller Reputation

Hizi hatua zitakuokoa stress, hasara na kusubiri kwa miezi bure.
Kununua simu kutoka nje kunaweza kukuokoa pesa, lakini bila tahadhari unaweza kuishia kupata hasara kubwa zaidi.
🛑 9. Avoid Too Good to Be True Deals:

Simu za bei ya ajabu sana huwa fake / refurbished / clone

Soma reviews za seller kabla hujanunua

Angalia ratings, feedback na history ya muuzaji