Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.55K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🚚 6. Shipping Method:
Chagua shipping method inayoaminika:

AliExpress Standard Shipping

DHL / FedEx / Aramex

Usichague β€œFree shipping” tu bila kujua ETA (Estimated Time of Arrival) – unaweza kusubiri zaidi ya mwezi.
πŸ”‹ 2. Voltage na Charger Compatibility:
Simu nyingi kutoka Asia au Marekani zinakuja na plug tofauti (US / EU / UK plug)

Hakikisha:

Charger yake ni compatible na 220-240V (standard ya Tanzania)

Au jiandae kutumia adapter
πŸ› οΈ 4. Warranty na After Sales Service:

Simu nyingi kutoka nje hazina warranty Tanzania

Kama ikiharibika, huduma ya matengenezo itakuwa kwa gharama zako

Angalia kama brand ina authorized service center hapa Tanzania
β€Œ

πŸ’¨ Fanya research na mikoa mingine pia utagundua hiyo issue iko kila sehemu

Kuna sababu nyingi moja wapo ni bahati mbaya ya kuishi na mwanamke anayeamini kwenye ushirikina yeye hufikiria kuangamiza sauti ya Mwanaume ndani ya nyumba ili awe huru.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨JBL GO4πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯

β–ͺ️Original product

πŸ’₯Price: 190,000

πŸ“Dar: KKKT Kariakoo
πŸ“Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ TECNO CAMON 40 Series

β–ͺ️Camon 40 (16+256) - 650K
β–ͺ️Camon 40 Pro (16+256) - 750K
β–ͺ️Camon 40 Premier (21+512) - 1.15M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Simu yako inajuaje uko wapi? 😱 Angalia jinsi GPS inavyoongea na anga kwa kasi ya mwanga!πŸš€πŸ“‘
Mfano:

Samsung Super Fast Charging: 45W

Xiaomi HyperCharge: 67W - 120W

Infinix All-Round FastCharge: 45W - 68W
Je, unaweza kutumia Super Fast Charger kwenye simu yoyote?
Hapana❗️

Simu yako lazima iwe na hardware support ya Super Fast Charging.
Kama simu yako inapokea max 25W, hata ununue charger ya 100W, bado itachaji kwa 25W tu.
Kwa kifupi:

βœ… Fast Charging = Kasi ya kawaida ya haraka
βœ… Super Fast Charging = Kasi ya juu zaidi, inahitaji vifaa maalum na simu yenye uwezo huo

Kabla hujanunua charger yoyote β†’ Angalia maximum charging wattage ya simu yako
Tofauti Kuu kati ya hizi mbili ni hizi:

βœ… Kasi ya kuchaji:
Super Fast Charging ni mara mbili au tatu haraka zaidi kuliko Fast Charging ya kawaida.
πŸ‘‰ Nini maana ya Super Fast Charging?
Super Fast Charging ni step ya juu zaidi.
Hapa power delivery huwa kubwa zaidi (kuanzia 40W, 50W, hadi 100W+ kwa baadhi ya models)
Jambo la kuzingatia:
Daima tumia original charger au certified charger.

Fake fast chargers zinaweza kuharibu battery yako, au kuleta moto.
βœ… Muda wa kuchaji:
Fast Charging inaweza kuchukua zaidi ya saa moja hadi simu ijaze.

Super Fast Charging inaweza kujaza ndani ya dakika 20 hadi 45 kutegemea na capacity ya battery.
Super Fast Charging ni hatari kwa battery?
Kwa simu za kisasa: Hapana.
Brands kubwa zinatumia teknolojia ya:

Smart Temperature Control

Adaptive Charging

Battery Health Protection
βœ… Hitaji la vifaa maalum:
Super Fast Charging inahitaji charger na cable maalum zilizotengenezwa kwa power hiyo kubwa.
Lakini:
βœ… Usitumie fake chargers
βœ… Usichaji simu usiku kucha bila sababu