Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
USB-C 3.2 Gen 2×2

Speed: 20 Gbps – Fast sana!

Video Output: 4K/60fps kupitia DisplayPort

Power Delivery: 100W+

Simu zinazotumia: Flagships kama Galaxy S24 Ultra, ASUS ROG Phone, Xiaomi 14 Ultra

Pia inatumika kwenye laptops kama MacBook Pro, Dell XPS, n.k.
5. Fun Fact ya Mwisho:
Apple imeanza kutumia USB-C 3.2 Gen 2 kwenye iPhone 15 Pro Max.
Lakini iPhone 15 ya kawaida bado iko USB 2.0 😅
🔚 Conclusion:
Usinunue cable wala simu mpya bila kujua USB-C version yake.
Sura si kila kitu – uwezo wa ndani ndio wa muhimu zaidi!
3. Jinsi ya Kujua Simu yako ina USB-C ya aina gani?

Angalia specs rasmi kwenye website ya mtengenezaji

Cheki box / cable ikiwa na alama ya “SS” (SuperSpeed) au “PD”

Tafuta support ya video out – kama unaweza tumia simu kama desktop (Dex, Ready For)
🔌 Kwa ufupi: Sura inaweza kuwa moja, lakini uwezo ni tofauti sana!
︎ Teknolojia

💨 REDMI NOTE 14 Series 💥

▪️Note 14 (6+128) - 480K
▪️Note 14 (8+256) - 550K
▪️Note 14 5G (8+256) - 700K
▪️Note 14 Pro 4G (8+256) - 700K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
▪️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

📍Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
Sikutegemea… Niliamka na Channel yangu Imetoweka!
Maujanja Zone
︎ Teknolojia

Sikutegemea… Niliamka na Channel yangu Imetoweka!

💾 Size: 2.47 MB
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mfumo wa simu wa meseji na ripoti ya maendeleo ya mwanafunzi (msingi na sekondari)
Hii ni video inayokuonyesha applikesheni ya kutengeneza ripoti za matokeo ya wanafunzi na kutuma ripoti ya mwanafunzi kwa njia ya sms kwenda kwa mzazi. kwa maelezo zaidi whatsapp (0756 077262)
︎ Teknolojia

Pixel 7a Pixel 7 Pixel 7 Pro
︎ Teknolojia

💨 Nchi yetu ni ya special sana

▪️System ni ya Mtanzania
▪️Ashakutana hadi na Waziri akapongezwa
▪️Huko nchi za wengine inapewa sifa kemkem
▪️Office zipo Kenya
▪️Tanzania haifanyi kazi
Inatumika kwenye baadhi ya midrange na budget phones.

Imeshakuwa outdated kwa viwango vya leo.

Ikianguka vibaya – kuna uwezekano mkubwa kuvunjika.
1. Gorilla Glass 3 (2013)

Kipaumbele: Kupinga mikwaruzo (scratch resistance).

⚠️ Udhaifu: Haitoi ulinzi mzuri sana dhidi ya kupasuka ikidondoka.
︎ Teknolojia

💨HII NDIO TOFAUTI YA KIOO CHA GORILLA 3 VS 5 VS VICTUS KWENYE SIMU.

Simu yako inaweza kuonekana nzuri juu juu... lakini je, kioo chake kinaweza kustahimili kudondoka au kukwaruzwa?

Twende kazi 🧵🧵👇