Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🧠 Kuna pia Victus+ na Victus 2 kwa simu za 2023/2024 – zimeboreshwa zaidi.
Inapatikana kwenye flagship phones (Samsung Galaxy S22, S23, Pixel 8, etc).

Hii sio kioo tu, ni ngao 💪

Kwa mtu anayejali uimara wa simu, Victus ni top-tier.
Usiangalie tu “ina Gorilla Glass”, angalia ni toleo gani (3, 5, Victus, n.k.).
Flagship specs zina maana hata kwenye screen protection.
Iliundwa ili kusaidia simu zinazodondoka kutoka kwenye mfuko wa suruali hadi ardhini.

Inatumika sana kwenye midrange za kisasa kama baadhi ya Redmi, Realme, Samsung A series.

🧠 Ni balance nzuri ya cost vs protection.
3. Gorilla Glass Victus (2020)
🔥 Hii ni level ya juu!

Drop resistance hadi 2 meters.

Scratch resistance imeboreshwa kwa 4x zaidi ya Gorilla Glass 5.
⚠️ Kwa Nini Hii Tofauti Ni Muhimu?
Ukiangusha simu yenye GG3: high chance itavunjika.

GG5: inaweza kuhimili kidogo, lakini still ina risk.

Victus: chance ya survival ni kubwa sana.

Kwa hiyo, ukiambiwa "Simu ina Gorilla Glass Victus" – hiyo ni point kubwa ya kuuza.
2. Gorilla Glass 5 (2016)

Kipaumbele: Drop protection (inaweza kuhimili kudondoka kutoka ~1.6m).

Bado ina scratch resistance ya kawaida.
@Huduma

💨 INFINIX BRAND NEW

▪️Infinix Smart 8 (4+64) - 230K
▪️Infinix Smart 9 (6+64) - 250K
▪️Infinix Hot 50i (8+128) - 310K
▪️Infinix Hot 50 Pro+ (16+128) - 520K
▪️Infinix Note 50 (16+256) - 650K
▪️Infinix Note 50 Pro+ (12+512) - 1.2M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Mimi awe anafanania hivi 100% naisha
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Infinix wanahatari mnoo aisee, kupitia toleo lao jipya la NOTE 50 Pro+ 5.5G wamekuja na Features nyingi kali za AI na zote zinarahisisha matumizi ya kila siku ya mtumiaji wa simu hii.
🌙 5. Night Mode, HDR, AI – hizi zinabadili mchezo
• HDR huongeza contrast
• AI hubalance mwanga na rangi
• Night Mode huruhusu picha ang’avu bila flash
📷 4. Pixel Binning: 200MP inakuwa 12MP kwa makusudi!

Simu nyingi hutumia teknolojia ya Pixel Binning – kuchanganya pixels ili kupata mwanga bora.
7. Jinsi ya kuchagua simu yenye kamera bora (kwa kweli):

Angalia sensor size (Sony IMX, Samsung GN2...)

Chipset ya simu (Snapdragon 8 Gen 2, n.k.)

Mfano wa matokeo ya kamera (YouTube/Reviews)
🧠 3. Processing chip ina mchango mkubwa
Kamera haina akili — chip ya simu ndiyo inafanya kazi ya kusafisha picha.
⚠️ 6. Uchafu wa lenzi, mtikisiko, na autofocus duni = picha mbaya
• Hakikisha lenzi yako safi
• Acha simu ikafocus vizuri kabla ya kupiga
• Tumia mode sahihi (portrait, pro, n.k.)