Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐—–๐—ต๐—ฎ๐—ป๐—ป๐—ฒ๐—น ๐˜€๐˜‚๐—ฏ๐˜€๐—ฐ๐—ฟ๐—ถ๐—ฝ๐˜๐—ถ๐—ผ๐—ป๐˜€
Wamiliki wa Status sasa wanaweza kuamua watu walipie ili kupata contents za ziada kwenye Channels zao. Hii inaweza kuwa update nzuri ya kuleta faida kupitia channels zao.
1. USB Type-C โ‰  Speed moja kwa zote
Watu wengi hufikiri kuwa USB-C zote ni sawa. Ukiiona tu, unaona ni ile โ€˜kebo ya kawaida ya kisasa.โ€™

Lakini ukweli ni kwamba USB-C huja na standard tofauti ambazo huathiri kasi ya data, kasi ya kuchaji, na uwezo wa kuonyesha video.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Nimecheki VisaCard ya mtandao wa simu jamaa wanakata 10% ya kila muamala je na Bank ni hivi hivi?
4. Kwa Nini Hii Inakuhusu?
โœ… Kama unahamisha video za 4K au GB nyingi โ€“ tofauti ya speed ni kubwa
โœ… Kama unatumia simu kama desktop (Dex / Ready For)
โœ… Kama unataka kuchaji laptop yako kwa simu au powerbank moja tu
โœ… USB-C 3.1 Gen 1 (pia huitwa USB 3.0)

Speed: 5 Gbps

Video Output: Supported kwa baadhi ya vifaa

Power Delivery: Inaweza kufikia 60W

Simu zinazotumia: Midrange kama Pixel 6a, baadhi ya OnePlus & Xiaomi
2. Aina Kuu 3 za USB-C Unazopaswa Kuzifahamu:

โœ… USB-C 2.0

Speed: 480 Mbps (kama USB ya zamani ya miaka ya 2000!)

Video Output: Hakuna

Power Delivery: Max 15W (kawaida sana)
โœ… USB-C 3.2 Gen 2ร—2

Speed: 20 Gbps โ€“ Fast sana!

Video Output: 4K/60fps kupitia DisplayPort

Power Delivery: 100W+

Simu zinazotumia: Flagships kama Galaxy S24 Ultra, ASUS ROG Phone, Xiaomi 14 Ultra

Pia inatumika kwenye laptops kama MacBook Pro, Dell XPS, n.k.
5. Fun Fact ya Mwisho:
Apple imeanza kutumia USB-C 3.2 Gen 2 kwenye iPhone 15 Pro Max.
Lakini iPhone 15 ya kawaida bado iko USB 2.0 ๐Ÿ˜…
๐Ÿ”š Conclusion:
Usinunue cable wala simu mpya bila kujua USB-C version yake.
Sura si kila kitu โ€“ uwezo wa ndani ndio wa muhimu zaidi!
3. Jinsi ya Kujua Simu yako ina USB-C ya aina gani?

Angalia specs rasmi kwenye website ya mtengenezaji

Cheki box / cable ikiwa na alama ya โ€œSSโ€ (SuperSpeed) au โ€œPDโ€

Tafuta support ya video out โ€“ kama unaweza tumia simu kama desktop (Dex, Ready For)
๐Ÿ”Œ Kwa ufupi: Sura inaweza kuwa moja, lakini uwezo ni tofauti sana!
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ REDMI NOTE 14 Series ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธNote 14 (6+128) - 480K
โ–ช๏ธNote 14 (8+256) - 550K
โ–ช๏ธNote 14 5G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธNote 14 Pro 4G (8+256) - 700K
โ–ช๏ธNote 14 Pro 5G (8+256) - 900K
โ–ช๏ธNote 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
โ–ช๏ธNote 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M

๐Ÿ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
Sikutegemeaโ€ฆ Niliamka na Channel yangu Imetoweka!
Maujanja Zone
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Sikutegemeaโ€ฆ Niliamka na Channel yangu Imetoweka!

๐Ÿ’พ Size: 2.47 MB
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Mfumo wa simu wa meseji na ripoti ya maendeleo ya mwanafunzi (msingi na sekondari)
Hii ni video inayokuonyesha applikesheni ya kutengeneza ripoti za matokeo ya wanafunzi na kutuma ripoti ya mwanafunzi kwa njia ya sms kwenda kwa mzazi. kwa maelezo zaidi whatsapp (0756 077262)