Teknolojia
132 subscribers
3.74K photos
4.4K videos
90 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
1. 💡 Antutu ni nini?

Ni app inayofanya majaribio ya simu yako (Android/iPhone) kwenye:

CPU (Processor speed)

GPU (Graphics performance)

Memory (RAM & Storage)

UX (User experience)
2. ⚙️ CPU Test – Akili ya simu yako

Hupima kasi ya CPU kwenye kazi nzito (multitasking, compression, AI tasks).
Mfano:

Snapdragon 8 Gen 3 hutoa score kubwa kuliko Helio G99.

Tofauti huonekana kwenye editing, loading ya apps nzito n.k.
5. 👤 UX Test – Matumizi halisi ya mtumiaji

Hii ni muhimu sana. Inajumuisha:

Kasi ya kufungua apps

Kuweka picha, kuhamisha files

Fluidity ya UI (kubadilika kwa apps)

Hii part inaonesha simu inavyohisi kutumia – si namba tu!
Baada ya vipimo hivi, simu yako hupewa alama (score) ya jumla – mfano:
📊 1,500,000 points kwenye Snapdragon 8 Gen 3.
4. 🔁 Memory Test – Kasi ya RAM & Storage

Antutu hupima:

Kasi ya kusoma & kuandika data kwenye storage

Ufanisi wa RAM kwenye multitasking

💡 Simu yenye UFS 4.0 & LPDDR5X itapeta kuliko UFS 2.2 & LPDDR4X.
Namba kubwa kwenye Antutu ni dalili ya nguvu ya simu –
Lakini usability, optimization na balance ya specs ni muhimu zaidi.
3. 🎮 GPU Test – Graphics ya simu

GPU huathiri:

Gaming (FPS stability)

Video rendering

AR/VR
6. 📉 Lakini... Antutu sio kila kitu!

⚠️ Angalia haya:

Score hailingani na optimization: Simu inaweza kuwa na score kubwa lakini lag.

Overheating ya simu wakati wa test haionekani.

Battery life haihusiki kabisa kwenye Antutu.

Camera quality, build quality hazipimwi.
@Huduma

💨 OFFER SAMSUNG A SERIES

▪️A05 (4+64) - 250K
▪️A06 (4+64) - 300K
▪️A06 (4+128) - 330K
▪️A05s (4+128) - 350K
▪️A16 (4+128) -450K
▪️A16 (8+256) - 580K
▪️A26 5G (6+128) - 680K
▪️A26 5G (8+256) - 780K
▪️A36 5G (6+128) - 900K
▪️A36 5G (8+256) - 1M
▪️A56 5G (8+128) - 1M
▪️A56 5G (8+256) - 1.15M

📍Dar: KKKT Kariakoo
📍Mwanza: Roundabout ya Samaki
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 JBL SPEAKER (Original💯)

▪️JBL Go 3 - 145K
▪️JBL Go 4 - 190K
▪️JBL Flip6 - 300K
▪️JBL Flip7 - 380K
▪️JBL Charger5 - 450K
▪️JBL Charger6 - 550K
▪️JBL XTRME3 - 700K
▪️JBL XTRME4 - 840K
▪️JBL Boombox X3 Wi-Fi - 1.3M

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

Kushoto Xiaomi 15 ultra kulia vivo X200 pro
🚨🆕 WhatsApp imetangaza rasmi kuanzia leo, itaanza kuweka matangazo katika sehemu ya Status.

Watumiaji wa WhatsApp wataanza kukutana na matangazo katikati ya Status za watumiaji. Sehemu hii kwa sasa ina zaidi ya watumiaji Bilioni 1.5 kwa siku; itakuwa ni sehemu ya matangazo.
𝗔𝗱𝘀 𝗼𝗻 𝗦𝘁𝗮𝘁𝘂𝘀
Watumiaji wa WhatsApp wataanza kukutana na matangazo kati kati ya Status za marafiki mfano ukitoka kuangalia Status ya rafiki A, kabla ya kuona Status za rafiki B katikati utakutana na matangazo.

Matangazo yake yatakuwa kama app ya Facebook Messenger.
𝗖𝗵𝗮𝗻𝗻𝗲𝗹 𝘀𝘂𝗯𝘀𝗰𝗿𝗶𝗽𝘁𝗶𝗼𝗻𝘀
Wamiliki wa Channels sasa wanaweza kuamua watu walipie ili kupata contents za ziada kwenye Channels zao. Hii inaweza kuwa update nzuri ya kuleta faida kupitia channels zao.