Teknolojia
134 subscribers
3.86K photos
5.04K videos
94 files
13.4K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Kumbuka:
Simu si tu kifaa β€” ni sehemu ya maisha yetu.
Mtu akidhibiti simu yako remotely, anaweza:

Kuiba data zako

Kufunga biashara yako

Kukusababishia stress kubwa
Unajilindaje?

Badilisha password zako mara kwa mara

Tumia 2FA kwenye Google/Apple ID

Ondoa vifaa visivyofahamika kwenye account yako

Usilogin kwenye simu au kompyuta ya mtu mwingine
Vipi mtu anaweza kufanya hivi?

Kama aliwahi kupata access ya Google/iCloud yako

Kama ulilogin kwenye kifaa chake

Kama ulishare credentials zako bila kujua

Kama ulidanganywa na link ya phishing
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Mfano hawa wote wakawekeza kutengeneza simu moja... camera πŸ₯ΆπŸ“Έ
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kampuni ya Amazon kwa sasa wanamekuja na njia ya kutumia drones kufanya delivery kwa wateja wa iphone na Galaxy.

Hii gharama yake ni $4.99

Hii ni kwa taifa la Marekani pekee.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Chopa! hizi hesabu zinavyopigwa hapa na namna hawa jamaa wanavyoweza kucheza na muda kwenye kupangilia matukio yao ni akili kubwa inatumika hapa.

Binafsi bado naamini CDM itabaki kuwa ni imani.
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ XIAOMI REDMI (Brand new) πŸ’₯

β–ͺ️Redmi A5 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi A5 (4+128) - 280K
β–ͺ️Redmi 14C (4+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (8+256) - 350K
β–ͺ️Note 13 (6+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro 4G (8+256) - 650K
β–ͺ️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
β–ͺ️Redmi Note 14 (6+128) - 480K
β–ͺ️Redmi Note 14 (8+256) - 580K
β–ͺ️Redmi Note 14 5G (8+256) - 750K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
β–ͺ️Redmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K
5. Weka Email Backup Salama na Secure Password
β†’ Watu wengi hupoteza account kwa sababu email yao ndiyo imehackiwa.
β†’ Hakikisha email yako nayo ina 2FA.
10. Update App Mara kwa Mara
β†’ Updates huleta patches dhidi ya security bugs.
β†’ Epuka kutumia X kwa browser isiyojulikana au app ya kutiliwa shaka.
3. Usihifadhi Password Browser Bila Ku-encrypt
β†’ Password zako zikiwa saved kwa browser bila protection, zipo hatarini.
β†’ Tumia password manager salama kama Bitwarden au 1Password.
8. Usitoe Number au Code Yoyote Unayotumiwa kwa DM
β†’ Social engineering ni njia rahisi ya hackers kupata access kupitia wewe mwenyewe.
β†’ No one from X will DM you asking for codes.
1. Tumia Strong Password isiyodhaniwa Kirahisi
β†’ Acha kutumia majina, tarehe ya kuzaliwa au namba zako.
β†’ Tumia mix ya herufi kubwa, ndogo, namba na symbols.
Mfano mzuri: Z!mA@2024Tw#
6. Ondoa Access za App Zisizojulikana
β†’ Settings > Security > Apps and sessions
β†’ Ondoa access za apps hujazisajili au unazotumia tena.
Zingine hutumiwa kuiba token zako kwa siri.
2. Weka 2FA (Two-Factor Authentication)
β†’ Ingia Settings > Security > Two-Factor Authentication
β†’ Chagua β€œAuthentication App” kama Google Authenticator au Authy.
Usitumie SMS 2FA pekee – inaweza kuwa spoofed au intercepted.
7. Epuka kutumia Public Wi-Fi bila VPN
β†’ Public Wi-Fi inaweza kuwa β€œtrap” ya hackers kusniff credentials zako.
β†’ Tumia VPN kama ProtonVPN, NordVPN nk.
9. Angalia Devices Zilizopo Logged In
β†’ Settings > Account > Sessions
β†’ Toa any unrecognized device.
β†’ Kumbuka: unaweza pia kulog out zote instantly.
β€Œ

4. Usibonye Link za Ajabu Ajabu (Phishing)
β†’ Links kama twltter-login.help au support-x.profiles ni mtego!
β†’ Wanaiba login info zako kwa ujanja – ignore au report.
πŸ’­ Umewaza nini kuhusu mtu kuwa na uwezo wa Kubadilisha Taka za plastiki kuwa Matofali (bricks) 🧱

Vipi hii Teknolojia ikija nchini Tanzania?? πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa Maujanja zaidi πŸ’‘
πŸ’­ Hii sio tu inasaidia kupunguza uchafuzi wa plastiki lakini pia hutoa suluhisho endelevu na la bei nafuu kwa ujenzi.
πŸ’­ Mjasiriamali mmoja toka nchini Kenya ameanzisha Kampuni yake kubwa inayowezesha kugeuza taka taka za Plastiki kuwa matofali ya ujenzi yenye nguvu na rafiki kwa mazingira.

πŸ’­ Matofali haya yamejaribiwa na kuonekana kuwa na nguvu zaidi kuliko saruji ya kawaida.