Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

. Watercolor style
︎ Teknolojia

. Aesthetic style
︎ Teknolojia

. Claymation style
︎ Teknolojia

. Cyberpunk style
︎ Teknolojia

. Fantasy storybook style
︎ Teknolojia

. Origami style
@Huduma

. Dreamwork style
︎ Teknolojia

💨Xiaomi Redmi 14C (Official)

▪️(4GB RAM, 128GB ROM) - 300,000
▪️(8GB RAM, 256GB ROM) - 350,000

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Hivi inakuwaje hii namba ambayo sio yangu inakuwa inafanya majaribio ya kureset PIN za Mpesa alafu natumiwa text kwenye line yangu niidhinishe.
@Huduma

💨 Kwenye hili suala jamaa huwa hawacheki na wowote.
Remote Lock ni feature inayoruhusu simu kufungwa kwa mbali, bila ya mtu kuwa nayo mkononi.

Inatumiwa sana pale simu inapopotea au kuibiwa, lakini pia inaweza kutumiwa vibaya!
Dalili Simu Yako Iko Hatarini:

Ulishawahi ku-log in kwa akaunti ya mtu

Unatumia password zilezile sehemu tofauti

Haujaset 2FA (Two Factor Authentication)

Mtu ana access ya barua pepe zako
Je, hii ni halali?
Ndiyo — kisheria hii ni feature halali ya ulinzi.
Lakini: Ikitumiwa vibaya na mtu wa karibu au ex wako, inaweza kuwa kosa la jinai — hasa kama aliipata bila idhini.
︎ Teknolojia

💨JE UNAJUA SIMU YAKO INAWEZA PIGWA REMOTE LOCK IKIWA MBALI NA MTU MWINGINE?

Unajua Simu Yako Inaweza Kupigwa Remote Lock Bila Wewe Kujua?
→ Yaani mtu anaweza kufunga simu yako remotely hata kama hakuiba?

Shuka🧵👇
Kindly 🔄 ufike mbali
Vipi kama simu imefungwa tayari?

Jaribu kufungua kwa akaunti yako halali

Wasiliana na Google/Apple support

Kama haifunguki, proof ya umiliki inaweza kusaidia polisi au wataalamu wa tech kusaidia recovery
Mfano kwenye Android:
Mtu akiwa na access ya Gmail yako, anaweza kufungua [Find My Device] na kubofya:
→ “Secure Device”
→ Ataweka password mpya na ujumbe wa lock!
iPhone nayo ina [Find My iPhone] kupitia iCloud:
→ Ingia kwa Apple ID
→ Chagua kifaa
→ Bofya Lost Mode
→ Simu yako itafungwa remotely hata bila kuunganishwa na mtandao papo hapo.