Kumbuka:
Simu si tu kifaa β ni sehemu ya maisha yetu.
Mtu akidhibiti simu yako remotely, anaweza:
Kuiba data zako
Kufunga biashara yako
Kukusababishia stress kubwa
Simu si tu kifaa β ni sehemu ya maisha yetu.
Mtu akidhibiti simu yako remotely, anaweza:
Kuiba data zako
Kufunga biashara yako
Kukusababishia stress kubwa
Unajilindaje?
Badilisha password zako mara kwa mara
Tumia 2FA kwenye Google/Apple ID
Ondoa vifaa visivyofahamika kwenye account yako
Usilogin kwenye simu au kompyuta ya mtu mwingine
Badilisha password zako mara kwa mara
Tumia 2FA kwenye Google/Apple ID
Ondoa vifaa visivyofahamika kwenye account yako
Usilogin kwenye simu au kompyuta ya mtu mwingine
Vipi mtu anaweza kufanya hivi?
Kama aliwahi kupata access ya Google/iCloud yako
Kama ulilogin kwenye kifaa chake
Kama ulishare credentials zako bila kujua
Kama ulidanganywa na link ya phishing
Kama aliwahi kupata access ya Google/iCloud yako
Kama ulilogin kwenye kifaa chake
Kama ulishare credentials zako bila kujua
Kama ulidanganywa na link ya phishing
γ½οΈ Teknolojia
π¨Kampuni ya Amazon kwa sasa wanamekuja na njia ya kutumia drones kufanya delivery kwa wateja wa iphone na Galaxy.
Hii gharama yake ni $4.99
Hii ni kwa taifa la Marekani pekee.
π¨Kampuni ya Amazon kwa sasa wanamekuja na njia ya kutumia drones kufanya delivery kwa wateja wa iphone na Galaxy.
Hii gharama yake ni $4.99
Hii ni kwa taifa la Marekani pekee.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π¨ Chopa! hizi hesabu zinavyopigwa hapa na namna hawa jamaa wanavyoweza kucheza na muda kwenye kupangilia matukio yao ni akili kubwa inatumika hapa.
Binafsi bado naamini CDM itabaki kuwa ni imani.

π¨ XIAOMI REDMI (Brand new) π₯
βͺοΈRedmi A5 (3+64) - 250K
βͺοΈRedmi A5 (4+128) - 280K
βͺοΈRedmi 14C (4+128) - 300K
βͺοΈRedmi 14C (8+256) - 350K
βͺοΈNote 13 (6+128) - 450K
βͺοΈNote 13 (8+256) - 530K
βͺοΈNote 13 Pro 4G (8+256) - 650K
βͺοΈNote 13 Pro 5G (8+256) - 780K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (8+256) - Tsh. 880K
βͺοΈNote 13 Pro+ 5G (12+512) - Tsh. 1.05M
βͺοΈRedmi Note 14 (6+128) - 480K
βͺοΈRedmi Note 14 (8+256) - 580K
βͺοΈRedmi Note 14 5G (8+256) - 750K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
βͺοΈRedmi Note 14 Pro 5G (8+256) - 900K

5. Weka Email Backup Salama na Secure Password
β Watu wengi hupoteza account kwa sababu email yao ndiyo imehackiwa.
β Hakikisha email yako nayo ina 2FA.
β Watu wengi hupoteza account kwa sababu email yao ndiyo imehackiwa.
β Hakikisha email yako nayo ina 2FA.
10. Update App Mara kwa Mara
β Updates huleta patches dhidi ya security bugs.
β Epuka kutumia X kwa browser isiyojulikana au app ya kutiliwa shaka.
β Updates huleta patches dhidi ya security bugs.
β Epuka kutumia X kwa browser isiyojulikana au app ya kutiliwa shaka.
3. Usihifadhi Password Browser Bila Ku-encrypt
β Password zako zikiwa saved kwa browser bila protection, zipo hatarini.
β Tumia password manager salama kama Bitwarden au 1Password.
β Password zako zikiwa saved kwa browser bila protection, zipo hatarini.
β Tumia password manager salama kama Bitwarden au 1Password.
8. Usitoe Number au Code Yoyote Unayotumiwa kwa DM
β Social engineering ni njia rahisi ya hackers kupata access kupitia wewe mwenyewe.
β No one from X will DM you asking for codes.
β Social engineering ni njia rahisi ya hackers kupata access kupitia wewe mwenyewe.
β No one from X will DM you asking for codes.
1. Tumia Strong Password isiyodhaniwa Kirahisi
β Acha kutumia majina, tarehe ya kuzaliwa au namba zako.
β Tumia mix ya herufi kubwa, ndogo, namba na symbols.
Mfano mzuri: Z!mA@2024Tw#
β Acha kutumia majina, tarehe ya kuzaliwa au namba zako.
β Tumia mix ya herufi kubwa, ndogo, namba na symbols.
Mfano mzuri: Z!mA@2024Tw#
6. Ondoa Access za App Zisizojulikana
β Settings > Security > Apps and sessions
β Ondoa access za apps hujazisajili au unazotumia tena.
Zingine hutumiwa kuiba token zako kwa siri.
β Settings > Security > Apps and sessions
β Ondoa access za apps hujazisajili au unazotumia tena.
Zingine hutumiwa kuiba token zako kwa siri.
2. Weka 2FA (Two-Factor Authentication)
β Ingia Settings > Security > Two-Factor Authentication
β Chagua βAuthentication Appβ kama Google Authenticator au Authy.
Usitumie SMS 2FA pekee β inaweza kuwa spoofed au intercepted.
β Ingia Settings > Security > Two-Factor Authentication
β Chagua βAuthentication Appβ kama Google Authenticator au Authy.
Usitumie SMS 2FA pekee β inaweza kuwa spoofed au intercepted.
7. Epuka kutumia Public Wi-Fi bila VPN
β Public Wi-Fi inaweza kuwa βtrapβ ya hackers kusniff credentials zako.
β Tumia VPN kama ProtonVPN, NordVPN nk.
β Public Wi-Fi inaweza kuwa βtrapβ ya hackers kusniff credentials zako.
β Tumia VPN kama ProtonVPN, NordVPN nk.
9. Angalia Devices Zilizopo Logged In
β Settings > Account > Sessions
β Toa any unrecognized device.
β Kumbuka: unaweza pia kulog out zote instantly.
β Settings > Account > Sessions
β Toa any unrecognized device.
β Kumbuka: unaweza pia kulog out zote instantly.
β
4. Usibonye Link za Ajabu Ajabu (Phishing)
β Links kama twltter-login.help au support-x.profiles ni mtego!
β Wanaiba login info zako kwa ujanja β ignore au report.
4. Usibonye Link za Ajabu Ajabu (Phishing)
β Links kama twltter-login.help au support-x.profiles ni mtego!
β Wanaiba login info zako kwa ujanja β ignore au report.
π Umewaza nini kuhusu mtu kuwa na uwezo wa Kubadilisha Taka za plastiki kuwa Matofali (bricks) π§±
Vipi hii Teknolojia ikija nchini Tanzania?? πΉπΏπΉπΏ
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa Maujanja zaidi π‘
Vipi hii Teknolojia ikija nchini Tanzania?? πΉπΏπΉπΏ
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa Maujanja zaidi π‘
π Hii sio tu inasaidia kupunguza uchafuzi wa plastiki lakini pia hutoa suluhisho endelevu na la bei nafuu kwa ujenzi.
π Mjasiriamali mmoja toka nchini Kenya ameanzisha Kampuni yake kubwa inayowezesha kugeuza taka taka za Plastiki kuwa matofali ya ujenzi yenye nguvu na rafiki kwa mazingira.
π Matofali haya yamejaribiwa na kuonekana kuwa na nguvu zaidi kuliko saruji ya kawaida.
π Matofali haya yamejaribiwa na kuonekana kuwa na nguvu zaidi kuliko saruji ya kawaida.