Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
︎ Teknolojia

💡 Hakika Maendeleo ya Teknolojia yanazidi kwenda Kasi lakini kuendelea kwasi kumepelekea watu kujisahau sana na kupelekea maadili kushuka.

💡 Mtandao wa X ambao Zamani ulikua unaitwa Twitter uliweza kutambulisha akili bandia aina ya Grok.
@Huduma

Hali hii inapelekea kuvunja maadili kupitia Mitandao ya kijamii, hivyo ndugu, jamaa na marafiki kuwa makini na picha unazotuma Mitandao unaweza jikuta umevalishwa sekti, chupi , boxer au kukaa uchi 😌.
@Huduma

Tutumie Mitandao kwa manufaa sogeza picha kuona sample za picha watu wengi wamezifanya hovyo kabisa Tujihadhari 😌.

⚠️ Picha zitakazo onekana sio nzuri.
Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi
︎ Teknolojia

🚀 Mtandao huu unaongoza Kwa kujibu maswali mbalimbali mtu anayomuuliza hata kama ni Hatari kiasi gani inaweza kukusaidia kukupatia majibu ambapo kikawaida Mitandao mingine inakataa kukupa majibu.
︎ Teknolojia

💨Asante kwa kutuamini

Tunakufikia popote kwa uaminifu mkubwa sana.
@Huduma

🔭 Inaweza 𝗸𝘂𝘇𝗼𝗼𝗺 𝗺𝗽𝗮𝗸𝗮 𝗠𝗼𝘆𝗼 𝘄𝗮𝗸𝗼😉, ila kubwa zaidi ni kuhusu Kamera zake inatoa picha kali kwa upande wa picha za kawaida na video haswa zile za Outdoor ikiwa na mwangaza Bora kabisa.
@Huduma

💡 Kampuni ya Tecno katika toleo la simu Bora kwa mwaka 2025 basi hii ni 𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗖𝗮𝗺𝗼𝗻 𝟰𝟬 𝗦𝗲𝗿𝗶𝗲𝘀 wametisha sana humu ndani kwa feature zake za kibabe sana.
@Huduma

📸 Achana na Yote Leo nakuambia kuhusu Teknolojia hii ya 𝐏𝐞𝐫𝐢𝐬𝐜𝐨𝐩𝐞 𝐓𝐞𝐥𝐞𝐩𝐡𝐨𝐧𝐞 𝐂𝐚𝐦𝐞𝐫𝐚 iliyopo kwenye Tecno ni babu kubwa mnoo.

💡 Inakupa uwezo wa kuvuta kitu kilicho mbali kuwa karibu kwa ubora wa hali ya juu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

📸 Sina shaka kabisa upande wa picha, video na zoom super 1000x Quality so fantastic 🔥🔥, ni rafiki kwa kila mtu yani ukitumia utaweza ku enjoy sana.

Kwa taarifa zaidi Tembelea @TecnomobileTZ
@Bongotech255

Usisahau kutu follow 🔥🔥
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

𝗧𝗲𝗰𝗻𝗼 𝗺𝗯𝗮𝗯𝗲 𝘄𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝟮𝟬𝟮𝟱

Hakika Tecno wametisha sana kwa mwaka 2025 huyu ndo mbabe wa Kamera kwa mwaka 2025 🔥🔥

Threads ni Yako 🚀
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ukiwa na Monitor kama HP X34 ,kazi zinaenda vizuri sana. Asante sana @lexard_computers
︎ Teknolojia

💨Sony wanampango wa kuzindua simu mpya wiki ijayo

Sony Xperia 1 VII imenyooka sana🔥

Unaipa ngapi design ya camera ../10👇
︎ Teknolojia

🚀 𝐖𝐚𝐭𝐮𝐦𝐢𝐚𝐣𝐢 𝐡𝐚𝐰𝐚𝐭𝐚𝐰𝐞𝐳𝐚 𝐤𝐮𝐩𝐚𝐤𝐮𝐚 𝐚𝐩𝐩 𝐲𝐨𝐲𝐨𝐭𝐞 𝐳𝐢𝐥𝐞 𝐧𝐚 𝐤𝐮i𝐧𝐬𝐭𝐚𝐥𝐥 𝐤𝐰𝐞𝐧𝐲𝐞 𝐬𝐢𝐦𝐮 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐛𝐚𝐚𝐝𝐚 𝐲𝐚 𝐤𝐮𝐳𝐢𝐦𝐰𝐚 𝐤𝐰𝐚 𝐒𝐞𝐯𝐚 𝐳𝐚𝐨. Kupitia tovuti ya LG Electronics inasema itafunga Seva za android mwezi unaofuata.
︎ Teknolojia

𝗦𝗶𝗺𝘂 𝘇𝗮 𝗟𝗚 𝗸𝘂𝘇𝗶𝗺𝘄𝗮 𝗝𝘂𝗻𝗲 𝟯𝟬

💡 Kama unakumbuka Mwaka 2021 𝗟𝗚 iliweza kufanya uamuzi wa wa kuacha Soko la kuuza simu za Smartphone Mnamo mwaka 2021,

Threads ni Yako 🚀
︎ Teknolojia

💡 Baada ya Tarehe 30 June 2025 mtu Yeyote Hataweza Tena kuidownload na ku install Android update, huduma zote zile za software upgrade service pamoja na service centre upgrade zitazimwa.

LG watabaki kwenye uzalishaji wa Vifaa vya kieletroniki kama vile Tv, Saa,, friji nk.