Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

Huu ni Mtandao wa kizazi kijacho (next generation internet) yenye spidi Kasi ya 9,834mbps kufanikiwa kuweka alama mpya ya kimataifa.

Ina uwezo wa kupakua movie yenye ukubwa 8k video kwa sekunde moja TU.
︎ Teknolojia

💨 HMD skyline 🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 LATEST RELEASE

💥NOTHING 3a PRO
▪️ RAM: 12GB
▪️ Storage: 256GB
▪️ Camera: 50MP Triple AI Camera
▪️ Display: 6.77" AMOLED, 120Hz Smooth View
▪️ Battery: 5000mAh + 50W Fast Charging
▪️ Processor: Snapdragon 7s Gen 3

💰 Price: 1,450,000 TZS

📍 Kariakoo – Likoma Street, KKKT
📍 Roundabout ya Samaki – Mwanza
@Njiwa_Store
📞 0745 100 757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

💨 Xiaomi Redmi 14C (Official)

▪️(4GB RAM, 128GB ROM) - 300,000
▪️(8GB RAM, 256GB ROM) - 350,000

📍Likoma, Opposite na Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1 utaingia ndani duka limeandikwa Njiwa
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
︎ Teknolojia

Xiaomi 14T 5G 💥

Xiaomi 14T 5G Specs
▪️ Storage: 256GB
▪️ RAM: 12GB
▪️ Network: 5G Supported
▪️ Display: 6.67" AMOLED, 120Hz
▪️ Camera: 200MP main
▪️ Battery: 5000mAh 👇

💥 Price: 1,200,000 Tsh

📍 Samaki Roundabout, Mwanza
📍 Likoma, Opposite KKKT Kariakoo, Dar es Salaam
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
@Huduma

💨Hawa vivo washitakiwe🔥🔥🔥
︎ Teknolojia

💨 PIXEL MPYA 💥

▪️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
▪️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
▪️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
▪️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
▪️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)👇
▪️Pixel 6a (6+128) - 430K
▪️Pixel 7 (8+128) - 650K
▪️Pixel 7a (8+128) - 650K
▪️Pixel 8 (8+128) - 950K
▪️Pixel 8a (8+128) - 950K
▪️Pixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

📍Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani 🚚
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
😂😂🙌 Influencer wengi wa matangazo ya TECNO, Infinix na Oppo wanatumia iPhone kurekodi matangazo ya simu ambazo sio iPhone 🙌
🆕 Tetesi zinaonyesha mwaka huu mfumo wa iPad wa iPadOS 19 utakuwa na features ambazo zinafanana na mfumo macOS ambao unatumika katika computer za Mac.

Apple itaweka mfumo wa Menu Bar na Stage Manager 2.0 katika mifumo ya iPad na itakuwa inafanana na mfumo wa kompyuta za Mac.
🆕 YouTube itaweka mfumo wa summary ya kutumia AI katika sehemu ya search

Kama mfumo wa AI Overview unavyofanya kazi katika mtandao wa Google
🆕 YouTube imeanza kujaribio ya mwonekano mpya wa Video Player yake ya video kwenye website. Hii ni mara ya kwanza kubadilisha mwonekano wa Video Player yake baada ya takriban miaka kumi

Vitufe vya Play/Pause, Next, na sehemu za video (chapters) zitakuwa na umbo la kona za duara
📊 Ripoti mpya za Meta - kuhusu maendeleo yake ya robo ya kwanza ya mwaka huu.