Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’ญ Game ili linapatikana kwa watumiaji wa simu za Android na iOS kwa ujumla kupitia soko la play store na app store. Nini kilichopo ndani ya hii Game ๐ŸŽฎ
@Huduma

โšก Unaweza kumnunua mchezaji yoyote toka timu yoyote au kumkodisha kwa mkopo

๐Ÿ’ญ bila kusahau kuchamgua Mwalimu unayempenda Kuna guardiola, Ancelloti, xabi Alonso, robin amorim , Vincent kompany nk.
@Huduma

โšก Inakupa uwezo wa kuunda timu yako binafsi au kuchukua timu yoyote unayoipenda na kuitumia.

โšก Unaweza kucheza kwa kutumia pad au kutachi kwenye kioo Cha simu yako ili kuweza kufurahia michezo mbalimbali.
@Huduma

โšกpicha zenye Ubora wa hali ya juu yani graphics Kali sana inayo
kufanya ukicheza una enjoy.

Unacheza game Gani kwenye simu yako ??

@play_eFootball
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Network Support: Je, ni 4G, 5G au mmWave?

Mwaka 2025 5G inazidi kuwa kawaida โ€“ hakikisha simu yako ina support ya 5G (hasa n77/n78 bands).

Kama unataka future-proofing, angalia simu zenye mmWave (fastest 5G), though sio lazima kwa kila mtu.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Camera Setup

Donโ€™t just fall for โ€œ108MPโ€ โ€“ angalia sensor quality (Sony IMX au Samsung ISOCELL).

Uwepo wa OIS (Optical Image Stabilization) ni faida kubwa kwa video & low light.

Ultrawide na telephoto lenses ni bonuses โ€“ useful for creativity.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Battery & Charging

5000mAh ni standard ya 2025.

Support ya fast charging (25W โ€“ 120W) ni muhimu kama uko busy.

Angalia kama inakuja na charger ndani ya box โ€“ sio brand zote zinatoa tena.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Storage & RAM

Donโ€™t go below 4/6GB RAM na 128GB storage (kama unataka kifaa kisichochoka).Hususani kwa Android

Kama unafanya content creation au gaming โ€“ 8GB/256GB au zaidi ni bora.

AVOID 64GB phones in 2025 โ€“ storage hiyo ni finyu, apps zinaongezeka ukubwa.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Software Support

Angalia OS na updates: Samsung, Google, na OnePlus huahidi updates hadi miaka 4โ€“5.

Simu za China (vivo, Xiaomi, etc.) huchelewa updates โ€“ jua hilo kabla.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ PIXEL MPYA ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.15M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

USED DUBAI (Original Display)๐Ÿ‘‡
โ–ช๏ธPixel 6a (6+128) - 430K
โ–ช๏ธPixel 7 (8+128) - 650K
โ–ช๏ธPixel 7a (8+128) - 650K
โ–ช๏ธPixel 8 (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8a (8+128) - 950K
โ–ช๏ธPixel 8 Pro (12+128) - 1.1M

๐Ÿ“Opposite na KKKT Kariakoo | Delivery Mikoani ๐Ÿšš
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จCMF Phone 2 pro itazinduliwa ndani ya wiki hii

Unampa ngapi designer wa hili tambo
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จVivo x200 ultra๐Ÿ’ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
๐Ÿ‘‡
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kama china watafanikiwa kusambaza mtandao huu basi miji mbalimbali kama vile Shanghai , Beijing, Shenzhen na Guangzhou

wataweza kupata huu mtandao na kusaidia kwenye Maendeleo makubwa ya Teknolojia na miundombinu kwa kurahisisha maisha.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—–๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฎ ๐˜„๐—ฎ๐—บ๐—ฒ๐˜๐—ฎ๐—บ๐—ฏ๐˜‚๐—น๐—ถ๐˜€๐—ต๐—ฎ ๐—บ๐˜๐—ฎ๐—ป๐—ฑ๐—ฎ๐—ผ ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ž๐—ฎ๐˜€๐—ถ ๐˜†๐—ฎ ๐Ÿญ๐Ÿฌ๐—š

We si ulikua unasikia TU mtandao wenye kasi ya 5G, 6G sasa China wametambulisha mtandao wa intaneti wenye Kasi balaa wa 10G.

China Wana balaa threads ni Yako ๐Ÿš€
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

China imezindua mtandao wa kwanza wenye Kasi Duniani wa kibiashara wa 10G broadband mjini Xiong'an, uliotengenezwa na Kampuni ya Huawei pamoja na China unicom.