Teknolojia
133 subscribers
3.82K photos
4.56K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
@Huduma

Madini πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯πŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 04: Itakupeleka moja kwa moja kwenye picha zako za kwenye simu chagua picha unayotaka ku generate.

Chagua picha unayotaka kugenerate.G
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Wale mlikuwa mnasema waganga hawana maisha saivi wapo live TikTok πŸ˜‚πŸ˜‚
Na wanalipa namba kabisa
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 07: Hapa kuwa mtulivu itachukua at least 4 minutes na zaidi kutengeneza hiyo picha
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 09: Gusa picha itakupa option ya kusave moja kwa moja kwenye simu yako.
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 06: sehemu ya ku type andika "Turn this into studio ghibli style" press mshale apo kuruhusu i generate.
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 08: Picha ishakuwa tiari sasaπŸ”₯
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ PIXEL MPYA πŸ’₯

β–ͺ️Pixel 9 (12+128) - 1.75M
β–ͺ️Pixel 9 (12+256) - 2.15M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
β–ͺ️Pixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
β–ͺ️Pixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

πŸ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
πŸ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
γ€½οΈŽ Teknolojia

Step 05: Gusa picha unayotaka ku generate itapanda yenyewe kwenye sehemu ya ku type
γ€½οΈŽ Teknolojia

π—•π—”π——π—œπ—Ÿπ—œπ—¦π—›π—” π—£π—œπ—–π—›π—” π—¬π—”π—žπ—’ π—žπ—¨π—ͺ𝗔 π—žπ—”π—§π—¨π—‘π—œ 𝗑𝗔 π—–π—›π—”π—§π—œ π—šπ—£π—§

Je unapenda kubadilisha Picha yako kuwa Katuni kwa urahisi kupitia simu yako hapa tunazungumzia professional cartoon πŸ˜‹

Threads ni Yako
Repost
Like
Follow
@Bongotech255
@Huduma

πŸ”… Studio Ghibli
πŸ”… Dragon Ball Z
πŸ”… Pixal
πŸ”… SimpSons
πŸ”… Minecraft
πŸ”… LEGO
πŸ”… Tim Burton
πŸ”… Original Photo
@Huduma

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote πŸ˜‹

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@Bongotech255
@ChatGPT

Usisahau kutu follow si unajua Teknolojia ni Yetu sote