〽︎ Teknolojia
Sirin Labs Solarin inabaki kuwa moja ya simu zilizotengeneza historia kwa jaribio lake la kuleta usalama wa hali ya juu kwenye mawasiliano ya simu.
Hata hivyo, masuala ya kimaadili na kiusalama yaliifanya kuwa hatari, hivyo ikabidi ichukuliwe hatua kali za kuizuia.

Lengo kuu lilikuwa kuzuia udukuzi na kufichua taarifa nyeti za mtumiaji kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu ya encryption.
Simu hii iliuzwa kwa bei ya juu sana—karibu dola 14,000

Sababu za Kuondolewa Sokoni
Pamoja na juhudi zote za Sirin Labs kutengeneza simu salama zaidi, Solarin haikupata umaarufu uliokusudiwa. Kwanza, bei yake ya juu iliwafanya wengi kuiona kama bidhaa ya kifahari badala ya zana ya lazima ya usalama.

Kwa sababu ya hatari ya teknolojia hii kuwa mikononi mwa watu wasiofaa, baadhi ya nchi ziliamua kuipiga marufuku au kuiweka chini ya uangalizi maalum.
Hili lilisababisha kushuka kwa mauzo na hatimaye Sirin Labs kuacha kutengeneza Solarin.

simu ilihama moja kwa moja kutoka hali ya kawaida kwenda kwenye hali ya ulinzi mkali wa mawasiliano.

Baadhi ya wataalamu wa usalama waliona uzinduzi wa Solarin kama hatua kubwa mbele katika usalama wa mawasiliano, lakini pia kama kengele ya hatari kwa sababu teknolojia ya encryption inaweza kutumika kinyume na malengo yaliyokusudiwa.

@Huduma
💨SIMU YENYE SCREEN MBILI NYUMA NA MBELE
Ulefone imetangaza simu yake mpya ya Armor 30 Pro kama simu ya kwanza duniani yenye skrini mbili yenye uwezo wa kustahimili mazingira magumu (rugged phone).
Inakuja na skrini kamili ya LCD yenye ukubwa wa inchi 3.4 upande wa nyuma ambayo inaonesha kile kinachoonekana kwenye skrini kuu na pia hutumika kama display ya kamera kwa ajili ya kurekodi video, kupiga selfies, na kufanya live streaming kwenye mitandao ya kijamii.

𝗔𝗜 𝗞𝗪𝗘𝗟𝗜 𝗧𝗜𝗦𝗛𝗜𝗢 𝗨𝗟𝗜𝗠𝗪𝗘𝗡𝗚𝗨𝗡𝗜 𝗦𝗔𝗦𝗔 𝗜𝗠𝗘𝗚𝗘𝗨𝗭𝗔 𝗪𝗜𝗙𝗜 𝗞𝗨𝗪𝗔 𝗞𝗔𝗠𝗘𝗥𝗔 😉
Hakika Dunia inakoelekea sio poa Tutaweza kuona Mengi ulimwenguni??
Umeshawahi kufikiria kuhusu Wifi kuwa Kamera nyumbani au ofisini?
Threads ni Yako ✍🏾

Teknolojia hiyo inakupa uwezo wa kufuatilia mwenendo na harakati za binadamu bila ulazima wa Uwepo wa Kamera;
📡 Inafanyaje kazi sasa:
🔅 Hutumia mawimbi ya wifi (wifi signal) kuweka mzunguko wa Ramani na kufuatilia mwenendo wa binadamu.
Angalia video yake chini 👇🏾👇🏾

✅ Kwanini teknolojia hii itakua Tishio:
✔ iko private sana kuliko Kamera (hakuna rekodi za kuona).
✔ Nafuu kuliko mifumo ya kawaida ya ufuatiliaji.
✔ Uwezo wa kuwa na nyumba mahiri, usalama na afya.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
🔅 Inaendeshwa na mitandao ya Neural network hakuna vitambuzi vya ziada vinavyohitajika.
🔅 Inafanya kazi mpaka kwenye wifi routers za kawaida kwa kuweza kubadilisha vitambuzi kuwa mfu.k wa 3D Motion.

💨RASMI
Simu za Samsung A55 zitapokea Android 15- One UI 7 beta.
Hii imeanza kupokelewa kwa simu za South Korea pekee

💨 XIAOMI REDMI NOTE 14 2025
▪️Note 14 (8+256) - 580K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
▪️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M
📍 Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
💨 XIAOMI REDMI NOTE 14 2025
▪️Note 14 (8+256) - 580K
▪️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
▪️Note 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
▪️Note 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M
📍 Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
📞 0745100757
wa.me/+255745100757
〽︎ Teknolojia
𝗪𝗲𝗻𝗴𝗶 𝘄𝗮𝘁𝗮𝘀𝗵𝗶𝗻𝗱𝘄𝗮 𝗸𝘂𝗽𝗮𝘁𝗮 𝗝𝗶𝗯𝘂 𝗸𝘄𝗲𝗻𝘆𝗲 𝗵𝗶𝗶 𝗽𝗶𝗰𝗵𝗮 !!!
Umeiona hiyo picha Kuna wanaume watatu wamebeba Gogo la mti ?? 😀 Wanapopeleka Mie sijui !!!!
Angalia picha kamili chini👇🏾

Lakini Swali lako ni moja TU !! Inabidi utuambie Uzito wa ilo Gogo lililobebwa liko kwenye herufi Gani ?? Wakati Gogo limebebwa na Watu Watatu ??
Yani Jibu lipo ndani ya sekunde 5 ty 😉 Lakini Mpaka muda huu wewe umeshindwa kuniambia Jibu ni lipi kweli ?
@Bongotech255