@Huduma
π¨AMAZON WAPANGA KUINUNUA TIKTOK
Kwendana na fukuto lililopo kati ya Trump na TikTok kutaka iuzwe au ifungiwe.
Tajiri Jeff Bezons wamepeleka offer ya kuinunua TikTok.
Haya yote yanaendelea huku Trump akiendelea na dhumuni lake la kuifungia TikTok nchini Marekani.

γ½οΈ Teknolojia
Sirin Labs Solarin inabaki kuwa moja ya simu zilizotengeneza historia kwa jaribio lake la kuleta usalama wa hali ya juu kwenye mawasiliano ya simu.
Hata hivyo, masuala ya kimaadili na kiusalama yaliifanya kuwa hatari, hivyo ikabidi ichukuliwe hatua kali za kuizuia.

Lengo kuu lilikuwa kuzuia udukuzi na kufichua taarifa nyeti za mtumiaji kwa kutumia teknolojia ya hali ya juu ya encryption.
Simu hii iliuzwa kwa bei ya juu sanaβkaribu dola 14,000

Sababu za Kuondolewa Sokoni
Pamoja na juhudi zote za Sirin Labs kutengeneza simu salama zaidi, Solarin haikupata umaarufu uliokusudiwa. Kwanza, bei yake ya juu iliwafanya wengi kuiona kama bidhaa ya kifahari badala ya zana ya lazima ya usalama.

Kwa sababu ya hatari ya teknolojia hii kuwa mikononi mwa watu wasiofaa, baadhi ya nchi ziliamua kuipiga marufuku au kuiweka chini ya uangalizi maalum.
Hili lilisababisha kushuka kwa mauzo na hatimaye Sirin Labs kuacha kutengeneza Solarin.

simu ilihama moja kwa moja kutoka hali ya kawaida kwenda kwenye hali ya ulinzi mkali wa mawasiliano.

Baadhi ya wataalamu wa usalama waliona uzinduzi wa Solarin kama hatua kubwa mbele katika usalama wa mawasiliano, lakini pia kama kengele ya hatari kwa sababu teknolojia ya encryption inaweza kutumika kinyume na malengo yaliyokusudiwa.

π¨SIMU YENYE SCREEN MBILI NYUMA NA MBELE
Ulefone imetangaza simu yake mpya ya Armor 30 Pro kama simu ya kwanza duniani yenye skrini mbili yenye uwezo wa kustahimili mazingira magumu (rugged phone).
Inakuja na skrini kamili ya LCD yenye ukubwa wa inchi 3.4 upande wa nyuma ambayo inaonesha kile kinachoonekana kwenye skrini kuu na pia hutumika kama display ya kamera kwa ajili ya kurekodi video, kupiga selfies, na kufanya live streaming kwenye mitandao ya kijamii.

ππ ππͺπππ π§ππ¦πππ’ π¨πππ πͺππ‘ππ¨π‘π π¦ππ¦π ππ ππππ¨ππ πͺπππ ππ¨πͺπ πππ ππ₯π π
Hakika Dunia inakoelekea sio poa Tutaweza kuona Mengi ulimwenguni??
Umeshawahi kufikiria kuhusu Wifi kuwa Kamera nyumbani au ofisini?
Threads ni Yako βπΎ

Teknolojia hiyo inakupa uwezo wa kufuatilia mwenendo na harakati za binadamu bila ulazima wa Uwepo wa Kamera;
π‘ Inafanyaje kazi sasa:
π Hutumia mawimbi ya wifi (wifi signal) kuweka mzunguko wa Ramani na kufuatilia mwenendo wa binadamu.
Angalia video yake chini ππΎππΎ

β Kwanini teknolojia hii itakua Tishio:
β iko private sana kuliko Kamera (hakuna rekodi za kuona).
β Nafuu kuliko mifumo ya kawaida ya ufuatiliaji.
β Uwezo wa kuwa na nyumba mahiri, usalama na afya.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ½οΈ Teknolojia
π Inaendeshwa na mitandao ya Neural network hakuna vitambuzi vya ziada vinavyohitajika.
π Inafanya kazi mpaka kwenye wifi routers za kawaida kwa kuweza kubadilisha vitambuzi kuwa mfu.k wa 3D Motion.

π¨RASMI
Simu za Samsung A55 zitapokea Android 15- One UI 7 beta.
Hii imeanza kupokelewa kwa simu za South Korea pekee

π¨ XIAOMI REDMI NOTE 14 2025
βͺοΈNote 14 (8+256) - 580K
βͺοΈNote 14 Pro 5G (8+256) - 880K
βͺοΈNote 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
βͺοΈNote 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M
π Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
π 0745100757
wa.me/+255745100757
π¨ XIAOMI REDMI NOTE 14 2025
βͺοΈNote 14 (8+256) - 580K
βͺοΈNote 14 Pro 5G (8+256) - 880K
βͺοΈNote 14 Pro+ 5G (8+256) - 1.1M
βͺοΈNote 14 Pro+ 5G (12+512) - 1.25M
π Geti la KKKT Kariakoo Floor ya 1
@Njiwa_Store
π 0745100757
wa.me/+255745100757