Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—ช๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐˜๐—ฎ๐˜€๐—ต๐—ถ๐—ป๐—ฑ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜‚๐—ฝ๐—ฎ๐˜๐—ฎ ๐—๐—ถ๐—ฏ๐˜‚ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ต๐—ถ๐—ถ ๐—ฝ๐—ถ๐—ฐ๐—ต๐—ฎ !!!

Umeiona hiyo picha Kuna wanaume watatu wamebeba Gogo la mti ?? ๐Ÿ˜€ Wanapopeleka Mie sijui !!!!

Angalia picha kamili chini๐Ÿ‘‡๐Ÿพ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Lakini Swali lako ni moja TU !! Inabidi utuambie Uzito wa ilo Gogo lililobebwa liko kwenye herufi Gani ?? Wakati Gogo limebebwa na Watu Watatu ??

Yani Jibu lipo ndani ya sekunde 5 ty ๐Ÿ˜‰ Lakini Mpaka muda huu wewe umeshindwa kuniambia Jibu ni lipi kweli ?

@Bongotech255
@Huduma

Madini ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 04: Itakupeleka moja kwa moja kwenye picha zako za kwenye simu chagua picha unayotaka ku generate.

Chagua picha unayotaka kugenerate.G
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จWale mlikuwa mnasema waganga hawana maisha saivi wapo live TikTok ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Na wanalipa namba kabisa
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 07: Hapa kuwa mtulivu itachukua at least 4 minutes na zaidi kutengeneza hiyo picha
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 09: Gusa picha itakupa option ya kusave moja kwa moja kwenye simu yako.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 06: sehemu ya ku type andika "Turn this into studio ghibli style" press mshale apo kuruhusu i generate.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 08: Picha ishakuwa tiari sasa๐Ÿ”ฅ
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ PIXEL MPYA ๐Ÿ’ฅ

โ–ช๏ธPixel 9 (12+128) - 1.75M
โ–ช๏ธPixel 9 (12+256) - 2.15M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+128) - 2.4M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro (16+256) - 2.8M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+128) - 2.5M
โ–ช๏ธPixel 9 Pro XL (16+256) - 2.8M

๐Ÿ“Geti la KKKT Kariakoo
@Njiwa_Store
๐Ÿ“ž 0745100757
wa.me/+255745100757
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Step 05: Gusa picha unayotaka ku generate itapanda yenyewe kwenye sehemu ya ku type
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—•๐—”๐——๐—œ๐—Ÿ๐—œ๐—ฆ๐—›๐—” ๐—ฃ๐—œ๐—–๐—›๐—” ๐—ฌ๐—”๐—ž๐—ข ๐—ž๐—จ๐—ช๐—” ๐—ž๐—”๐—ง๐—จ๐—ก๐—œ ๐—ก๐—” ๐—–๐—›๐—”๐—ง๐—œ ๐—š๐—ฃ๐—ง

Je unapenda kubadilisha Picha yako kuwa Katuni kwa urahisi kupitia simu yako hapa tunazungumzia professional cartoon ๐Ÿ˜‹

Threads ni Yako
Repost
Like
Follow
@Bongotech255
@Huduma

๐Ÿ”… Studio Ghibli
๐Ÿ”… Dragon Ball Z
๐Ÿ”… Pixal
๐Ÿ”… SimpSons
๐Ÿ”… Minecraft
๐Ÿ”… LEGO
๐Ÿ”… Tim Burton
๐Ÿ”… Original Photo
@Huduma

Tengeneza picha tuma Kwenye Mitandao ya kijamii tu tags tutaweza Share kwa watu wote si unajua Teknolojia ni Yetu sote ๐Ÿ˜‹

Ebu tuambie umekua ukijifunza kitu Gani kwa ukaribu na AI ?
@Bongotech255
@ChatGPT

Usisahau kutu follow si unajua Teknolojia ni Yetu sote