Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨ Nimejaribu nimeweza japo imenitesa kinoma.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ XIAOMI MPYA βœ…

β–ͺ️Redmi A3x (3+64) - 230K
β–ͺ️Redmi A3 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi 13C (8+256) - 359K
β–ͺ️Redmi 14C (8+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (12+128) - 350K
β–ͺ️Redmi 14C (16+256) - 380K
β–ͺ️Note 13 (8+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro (8+256) - 650K
β–ͺ️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 600K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 750K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) -
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Huyu atupe morning routine yake tuaminiπŸ˜‚
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Angalia hii itakufunza namna ya kuishi mjini kwa huruma yako
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Ofisa Michezo πŸ˜‚
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Bei ya Samsung Galaxy A56 na Ubora wake
Hii ni video inayokufahamisha uwezo wa kisifa wa simu mpya ya Samsung Galaxy A56 na bei yake kwa hapa Tanzania. Hii ni simu yenye maboresho kiutendaji ambayo yamefafanuliwa kiufasaha na kiufupi, mpaka mwisho utapata sababu kubwa ya kimsingi kama inafaa kuitumia ama la
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨ Ile ya kwanza wamenizuia

Hii mnasemaje? 😁
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kubwa hii✊🏽✊🏽
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Kwanini Xiaomi wafanye hiviπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ JIFUNZE NAMNA YA KUTOFAUTISHA LINK FAKE NA LINK ORIGINALπŸ›‘οΈ

Phishing ni mbinu ya wadukuzi ya kukusanya taarifa zako kwa kutumia link bandia zinazofanana na zile za tovuti halali.

Kuelewa jinsi ya kuzitambua ni hatua muhimu ya kujilinda mtandaoni.

ShukaπŸ§΅πŸ‘‡
πŸ‘1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza na Kutumia Google Meet
πŸ“Œ Google Meet: Jinsi ya Kuandaa Meeting na Join kuanza Kutumia | Fahamu features ZilizopoπŸŽ₯πŸ”΅

Je, unataka kujua jinsi ya kuunda na kutumia Google Meet kwa ajili ya mikutano yako ya mtandaoni? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya:

βœ… Kuunda Google Meeting kwa haraka na urahisi
βœ… Kutuma link ya mwaliko kwa washiriki
βœ… Kutumia zana muhimu ndani ya Google Meet (kamera, maikrofoni, kushiriki skrini, n.k.)
βœ… Kudhibiti na kuendesha mkutano
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Muda wa kurudi kwa Tecno sasa

Tecno camon 40 premierπŸ”₯πŸ”₯
πŸ†• Downloads za LibreOffice zimeongezeka kwa speed baada ya subscription za Microsoft Office kuongezeka.

Libre Office ni mbadala wa Microsoft Office, ni bure, salama zaidi na open-source, imepata ongezeko la watumiaji milioni 1 kwa kila wiki.
πŸ†• Bluesky imepata pesa nyingi kwa kuuza fulana za kejeli kuhusu Mark Zuckerberg kwa siku moja kuliko ilivyopata kwa miaka miwili ya kuuza domains.

Inaonekana watumiaji wengi wa Bluesky ni wale wasiopenda mitandao ya Mark na Elon.
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Huu mwaka kugundua simu yako ni mpya tunaangalia kamera