Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป @Huduma
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จ Mimi kwa ninavyoona mtu akitaka kununua gari ajipe miezi 6 ya kufuatilia baada ya hapo ndio anunue.
๐Ÿ‘2
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Teknolojia Mpya - Roboti Yasaidia Kuondoa Uvimbe Bila Upasuaji!
๐Ÿ”ด ROBOTI YAFANYA HISTORIA TANZANIA โ€“ UPASUAJI BILA KISU! ๐Ÿคฏ

Teknolojia imepiga hatua kubwa! Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, roboti limetumika katika kuondoa uvimbe kichwani bila upasuaji wa kawaida! ๐Ÿฅ๐Ÿค– Hii ni hatua kubwa katika sekta ya tiba na inaonyesha jinsi AI na robotics zinavyobadilisha maisha yetu kwa kasi kubwa.๐Ÿง

๐Ÿ”ต Tazama video hii hadi mwisho Kutoka kwa Millard Ayo na share mawazo yako kuhusu maendeleo haya ya kushanga
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

How to use Context Managers in Python Tutorial
In today's video we're going to be learning how you can create your very own custom context managers in Python!

โ–ถ Become job-ready with Python:
Apple imetoa mfumo mpya wa iOS 18.4 kwa watumiaji wote wa iPhone Xr mpaka iPhone 16 zote
iPhone zitakuwa na style mpya ya kuonyesha mic au kamera inatumika
App mpya ya Vision Pro imetoka rasmi kwa watumiaji wa Vision Pro
Sasa watumiaji wa iPhone wamepata rasmi emoji mpya za mwaka huu.

Emoji mpya ni koleo, kinubi, uso wa kuchoka, alama ya kidole, doa na beetroot.
Apple imeongeza button mpya za Ambient Music, na shortcuts za akili bandia ya Apple Intelligence.
Apple imeongeza option nyingi katika sehemu ya kuona muhtasari wa notifications
Apple imeongeza option ya Visual Intelligence kwenye button ya Action Button.
Alama za Control Center zitakuwa zinabadilika in-real-time

Mfano signal ikishuka na alama ya Network itakuwa imeshuka
Sasa hivi iPhone zitakuwa na uwezo wa ku-pause app ambayo unai download. Apple imeweka sehemu ya โ€œPauseโ€ na โ€œResumeโ€
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Japan katika kupambana na Majanga ya Asilia Imeamua kuunda Nyumba zinazoweza kuelea Angani baada ya kutokea kwa Tetemeko la Ardhi.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Kampuni kama vile Air Danshin zitaweza kurusha nyumba hewani na kuzirudisha Ardhini kwa haraka baada ya sekunde chach,

Tetemeko la Ardhi kutokes lengo ni kupunguza athari zinazotokana na Majanga ya Asilia.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Katika masuala ya majanga ya asili, Japan inathibitisha kwamba uvumbuzi unaweza kupingana na gravity (mvuto).

Vipi hii teknolojia ikija Tanzania Kuna ubaya ๐Ÿ˜Œ
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Teknolojia hiyo itaweza kufanya kazi kupitia mifumo ya Airbag system inayoendeshwa na vitambuzi vya masuala ya Tetemeko Ardhini itaweza kuelea hewani na kuepukana na madhara ya kuhalibiwa.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐—๐—ฎ๐—ฝ๐—ฎ๐—ป ๐—ธ๐˜‚๐˜๐—ฒ๐—ป๐—ด๐—ฒ๐—ป๐—ฒ๐˜‡๐—ฎ ๐—ป๐˜†๐˜‚๐—บ๐—ฏ๐—ฎ ๐˜‡๐—ถ๐—ป๐—ฎ๐˜‡๐—ผ ๐—ฝ๐—ฎ๐—ฎ ๐—ต๐—ฒ๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ ๐˜„๐—ฎ๐—ธ๐—ฎ๐˜๐—ถ ๐˜„๐—ฎ ๐˜๐—ฒ๐˜๐—ฒ๐—บ๐—ฒ๐—ธ๐—ผ ๐—น๐—ฎ ๐—”๐—ฟ๐—ฑ๐—ต๐—ถ

Japan ni moja ya Nchi ambayo Iko vizuri sana kwenye masuala ya Teknolojia Ulimwenguni baada ya China sema Wazungu ๐Ÿ™‚wanajifanya wanakaza mafuvu.
๐Ÿง‘โ€๐Ÿ’ป ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

๐Ÿ’จWakati tukisubiri ujio wa Google pixel 10 series.
Kwa taarifa zisizo rasmi huwenda pakawa na Google Pixel 10 Pro Fold's

Unaonaje huu unyama๐Ÿ”ฅ๐Ÿ‘‡