Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨Kuna swali hapa nani ka copy kwa mwingineπŸ‘‡
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

RT @bohny_chengula: Saivi kwenye simu wengi wanakopiana, japo wengi wamemkopi iPhone, sio kampuni moja, mengi.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ Kesho niwape Morning routine yangu πŸ˜‚πŸ˜‚
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

how to install 6KW Off Grid Inverter Energy Storage System, Complete installation, ROYPOW
A comprehensive guide demonstrating how to connect and configure a powerful home battery system with solar panels for reliable energy storage. This detailed walkthrough covers essential back up power setup techniques and safety considerations for an off grid installation. Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like this.
To order the product f
πŸ“ Taarifa rasmi
πŸ†• Netflix imetangaza rasmi itaanza kuonyesha mfumo wa HDR10+ katika screen ambazo zinaweza kuonyesha mfumo huo.

Ubora wa HDR10+ utaanza kuonekana katika vifaa ambavyo vinaweza kuonyesha mfumo huu na pia Netflix imesema lazima mtu atumie Netflix Premium kupata video za HDR10+
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ The morning routine
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Website 5 BORA za BURE za Kujifunza Coding Haraka na Kuwa Developer (2025)
πŸ”₯ Unataka kujifunza coding bure, haraka, na kwa ufanisi? πŸ”₯
Katika video hii, nimekusogezea Website 5 BORA za BURE za kujifunza coding, programming, na web development kwa njia ya haraka na bora! Iwe wewe ni beginner au tayari umeanza, hizi website zitakusaidia kufikia malengo yako ya kuwa developer katika mwaka 2025. Hizi ni platforms bora kabisa zinazokufundisha coding kwa njia rahisi, interactive, na ya vitendo.

πŸ“Œ Kati
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Nini cha kufanya?

Kama unatumia Android, huhitaji antivirus kama hupakui apps kutoka vyanzo vya nje.

Kama unatumia antivirus, tumia Bitdefender, Kaspersky, au Malwarebytes.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”Ÿ Apps Zinazokuja na Simu (Bloatware) Zinazopaswa Kuzima
πŸ”΄ Kwa nini ni hatari?

Simu nyingi za Android huja na apps zisizo na maana (bloatware) zinazopunguza kasi ya simu.

Baadhi zinaweza kuwa na tracking na ads zisizohitajika.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Nini cha kufanya?

Epuka apps zozote zinazoahidi pesa haraka bila kazi yoyote.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Nini cha kufanya?

Tumia VLC Media Player, YouTube Music, au Spotify badala yake.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ XIAOMI MPYA βœ…

β–ͺ️Redmi A3x (3+64) - 230K
β–ͺ️Redmi A3 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi 13C (8+256) - 359K
β–ͺ️Redmi 14C (8+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (12+128) - 350K
β–ͺ️Redmi 14C (16+256) - 380K
β–ͺ️Note 13 (8+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro (8+256) - 650K
β–ͺ️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 600K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 750K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) -