Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.57K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Rank 06: Xiaomi poco F7 Ultra
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Rank 01: Samsung Galaxy A56
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨ Concept ya Nothing CMF Phone2
πŸ§‘β€πŸ’» @Huduma

πŸ’¨ Nani katisha zaidi

Samsung S25 Ultra Oppo Find X8 Pro
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”… Aliweza kumnunua mbwa Huyo iliaweze kumfanya kuwa mbwa wa kipekee na kivutio nchini India. Hapo awali alitumia $3.25 milioni kununua Chow Chow adimu na ana zaidi ya mbwa 150.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

🐺 Uzazi huu wa kipekee ukiwa na mchanganyiko wa mbwa jamii ya Wolf Dog na Caucasian Shepherd ambao haujawahi kuuzwa hapo awali.

Kuna mfugaji wa mbwa maarufu nchini India anaitwa Sathish ni mtu anayejulikana kwa kununua mifugo adimu ulimwenguni.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

β­• Mali za Sathish Kuna kwa ajili ya kufuga mbwa na timu iliyojitolea inayotunza mbwa wake wa thamani. Pia anapata hadi $2,800 kwa nusu saa kwa kuonyesha mifugo yake adimu.

Sio mchezo ulimwenguni vitu vingi ni fursa πŸš€

Usisahau kutu follow kwa update mbalimbali @Bongotech255
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸš€ Najua umeshtuka sio achana na ile Rolls Royce ya Diamond platinum toka Tanzania au bughatti ya Davido toka Nigeria 😁 Kuna mbwa ana gharama kubwa kuliko hayo magari.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

HUYU NDO MBWA GHALI DUNIANI KULIKO ROLLS ROYCE YA DIAMOND PLATINUM 🐺

Hakika Dunia Ina mambo umeshawahi kuona Mbwa ana Thamani Kuliko Gari la Lamborghini ya Davido au Rolls Royce ya Diamond platnum 😏

Threads ni yako ⚑
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

⚑ Kuna mbwa mmoja jamii ya Wolf Dog mbwa adimu sana Ulimwenguni kwa jina lingine anaitwa Cadabomb Okami ndo amekua mbwa ghali zaidi ulimwenguni baada ya kuuzwa nchini India kwa rekodi ya Dola $5.7 milioni
πŸ†• Microsoft itasitisha matumizi ya programu yake ya Remote Desktop katika kompyuta zote za Windows kuanzia tarehe 27 Mei, 2025

Watumiaji watapaswa kuhamia kwenye app mpya ya Windows app ili kuendelea kufikia huduma kama Windows 365, Azure Virtual Desktop, na Microsoft Dev Box
Kuanzia Mei itabidi kutumia app ya Windows App ambayo lazima mtu awe anatumia kompyuta ambayo imeunganishwa katika akaunti moja.

Hatua hii inaonyesha Microsoft kuelekea huduma za cloud services.

Hapa kama unatumia Windows feki kitaeleweka!!
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

. Uchanganuzi wa Matumizi na Usalama
Android:
πŸ”ΉWatu wengi huweka data nyingi, na matumizi ya memory ni muhimu kwa ajili ya kuwezesha matumizi ya huduma za cloud, applications za multimedia, na mipangilio mingi ya customization.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”ΉBackground Processes:
Android inaruhusu programu kufanya kazi nyuma ya skrini zaidi, na hivyo RAM zaidi inahitajika ili kuhakikisha kuwa simu haiweki na "lag".

iOS:
πŸ”ΉiOS inaweka mipaka na kudhibiti shughuli za programu zilizomo nyuma,
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”ΉEcosystem Control: Apple ina ulinzi mkubwa wa ekosistemi, hivyo inaboresha kila kipengele ili kuhakikisha utendaji mzuri bila kuhitaji RAM nyingi.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

iOS:
πŸ”ΉApple inazingatia usalama na usahihi wa data, na kwa kutumia RAM ndogo lakini bora, inaunda simu yenye ufanisi wa hali ya juu na ulinzi wa data.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ”ΉCustomization: Faida ya Android ni uwezo wa kubadilisha na kuongeza vipengele vya hardware, ambavyo mara nyingi vinahitaji RAM kubwa ili kufanya kazi vizuri.