Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuandika, Kupanga, na kufomat Maandishi Ndani ya Table (Sehemu 2)
Karibu kwenye sehemu ya pili ya mwongozo wa kutengeneza table katika MS Word! Katika video hii, tunaendelea kujifunza jinsi ya kuandika, kupanga, na kufomat maandishi ndani ya meza (table) ili yawe nadhifu, yanasomeka vizuri, na yanaonekana kitaalamu.

Mambo utakayojifunza katika video hii:
✔️ Jinsi ya kuandika maandishi ndani ya table kwa usahihi
✔️ Kupanga maandishi ndani ya cells (Alignment & Text Direction)
✔️ Jinsi
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Mwanamke huyo Aliweza kugundua Uwepo wa Kamera kwenye kopo la Sabuni ambayo iliyokuwa imefichwa ndani ya chupa harpic kwenye choo.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Haijalishi wewe ni jinsia Gani Mwanaume au mwanamke lakini suala la Usalama wa faragha yako ni muhimu sana !!!.

💇🏾 Kuna jamaa mmoja ambaye ni mfanya usafi amekamatwa kwa Kosa la kutega Kamera kwenye bafu la kuogea kwa wateja.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Usisahau kutu follow kujifunza zaidi
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Mwanamke Aliweza kuona jambo lisilo la kawaida kwenye hiyo chupa ya harpic, alipozima Taa Aliweza kuona Mwanga unatoka kwenye hiyo chupa ya Sabuni aliposogerea ndipo akaona Kuna Kamera imetegwa ikitizama kiti cha choo.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

𝗝𝗶𝗵𝗮𝗱𝗵𝗮𝗿𝗶 𝘂𝗸𝗶𝗲𝗻𝗱𝗮 𝗵𝗼𝘁𝗲𝗹𝗶𝗻𝗶 𝗞𝘂𝗻𝗮 𝗞𝗮𝗺𝗲𝗿𝗮 𝘇𝗮 𝗦𝗶𝗿𝗶 ?

Najua watu wengi tunapenda kwenda kulala kwenye lodge, hoteli mbalimbali lakini umeshawahi kufikiria au kudadisi ukiingia kwenye chumba ulichopanga hoteli kukichunguza kwa dakika kadhaa ??
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🎧🛜

Ilikua inarekodi kwa zaidi ya lisaa ndani kulikua na simu baada ya uchunguzi ikabainika simu ilikua ya mfanya usafi

Kumbuka ni muhimu kukagua vyoo vya umma kabla ujaanza kufanya huduma yoyote ili uwe salama zaidi.

Mfanyakazi kazi Aliweza kukamatwa baadae 😌.
🧑‍💻 ︎ Teknolojia

James Munisi

Je kipi ni bora zaidi?

📌 Kama unatumia Apple iPhone (TrueDepth Face ID) – Face ID ni salama zaidi.
📌 Kama unatumia Android flagship (Samsung S25 Ultra, Google Pixel 8 Pro) – Ultrasonic fingerprint scanner ni chaguo bora.
🚨🇹🇿 Tanzania ni moja kati ya nchi ambazo zimezuia huduma za Brave Browser

Hii ni habari mbaya kwa watumiaji ambao wanatumia Brave kwa matumizi ya kuboresha usalama wa kuperuzi mitandaoni, kuzuia data zao zisikusanywe, ku-block ads na trackers.
︎ Teknolojia