Teknolojia
132 subscribers
3.82K photos
4.58K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
γ€½οΈŽ Teknolojia

James Munisi

Je kipi ni bora zaidi?

πŸ“Œ Kama unatumia Apple iPhone (TrueDepth Face ID) – Face ID ni salama zaidi.
πŸ“Œ Kama unatumia Android flagship (Samsung S25 Ultra, Google Pixel 8 Pro) – Ultrasonic fingerprint scanner ni chaguo bora.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Miaka 20 iliyopita Game pendwa ulimwenguni iliyokuwa inaongoza kuharibu Pad πŸ˜ƒ, God of War iliweza kuachiwa.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

God of War ni. Game la mapigano la Action Adventure ambayo iliundwa na kampuni ya SantaMonicaStudio

kwa kushirikiana na kampuni ya Ma games ulimwenguni Sony. Mara ya kwanza iliweza kuachiwa kwa watumiaji wa Playstation 2.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

UMESHAWAHI KUCHEZA GAME LA GOD OF WAR ?? ⚑

Unajua Game la God of War mara ya Kwanza iliachiwa Mwaka Gani ? πŸ˜‰

Threads ni yako Moja wapo ya Game pendwa ulimwenguni βœ…
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Ilikua Machi 22, 2005, Kampuni hiyo ya Santa wanasherekea miaka 20 ya God of War toka kuachiwa kwake mpaka leo hii.

Umeshawahi kucheza hii Game ? Je Game Gani ya God of War unaipenda ? Tuachie maoni yako?

Angalia video zake 🀝
γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Mmiliki wa hii kinywaji kufikia kesho atashtuka sanaπŸ˜‚πŸ‘‡
γ€½οΈŽ Teknolojia

Ilipoanzia cheki hizo impressions zimefika zaidi ya 500,000,000 kwa hapa X

Inashangaza sana
γ€½οΈŽ Teknolojia

RT @raphyrodrick: Americans haswa content creators wanavikuza sana , πŸ˜‚
@Huduma

πŸ’¨Nani atauza sana wiki hii
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

βœ… Chagua My Contacts Except... kisha weka tiki kwa wale wote usiotaka wakutumie mwaliko wa kujiunga na makundi. Hii itakupa control kamili!
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Hatua za Kufanya Hili:
1️⃣ Nenda kwenye Settings
2️⃣ Chagua Storage and Data
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

️⃣ Kwenda sehemu ya Media Auto-Download
4️⃣ Chagua Wi-Fi au Mobile Data kisha toa alama ya tiki kwenye picha, video na documents.

Hii itazuia WhatsApp kupakua media moja kwa moja, hasa kutoka kwenye groups usiyoyataka.
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

RT @just_toksik: JAMVI LA JUMATATU

.link of the dayπŸ‘‰πŸ½bit.ly/4ioChpQ

.codes of the dayπŸ‘‰πŸ½EOX2GD0

.kampuniπŸ‘‰πŸ½@LeonBetTZ
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨ XIAOMI MPYA βœ…

β–ͺ️Redmi A3x (3+64) - 230K
β–ͺ️Redmi A3 (3+64) - 250K
β–ͺ️Redmi 13C (8+256) - 359K
β–ͺ️Redmi 14C (8+128) - 300K
β–ͺ️Redmi 14C (12+128) - 350K
β–ͺ️Redmi 14C (16+256) - 380K
β–ͺ️Note 13 (8+128) - 450K
β–ͺ️Note 13 (8+256) - 530K
β–ͺ️Note 13 Pro (8+256) - 650K
β–ͺ️Note 13 Pro 5G (8+256) - 780K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (8+256) - 850K
β–ͺ️Note 13 Pro+ 5G (12+512) -1.1m
β–ͺ️Note 14 (8+256) - 600K
β–ͺ️Note 14 5G (8+256) - 750K
β–ͺ️Note 14 Pro 4G (8+256) - 800K
β–ͺ️Note 14 Pro 5G (8+256) - 880K
β–ͺ️Note 14 Pro+ 5G (8+256) -
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

πŸ’¨Bado najiuliza huyu jamaa alipigwaje na Jason Statham
πŸ‘1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
πŸ§‘β€πŸ’» γ€½οΈŽ Teknolojia

Unataka Kujifunza Programming? Mambo 5 Yakuzingatia Unapoanza (Self made Programmer)
πŸš€ Jinsi ya Kujifunza Coding Haraka na Kuwa MtaalamuπŸ’»πŸ”₯

Unataka kujifunza coding/programming lakini hujui wapi pa kuanzia? Hakuna tatizo! Katika video hii, nitakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuanza safari yako ya kuwa developer bila kuchanganyikiwa. 🎯

βœ… Utagundua:
βœ”οΈ Sababu muhimu za kujifunza programming.
βœ”οΈ Lugha bora ya kuanza nayo kama beginner.
βœ”οΈ Websites na rasilimali bora za kujifunza bure.
βœ”οΈ Jinsi y