Jinsi Printer Moja Ilivyochangia Nchi Kuporwa Dola Milioni 81 na Wadukuzi.
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph

Mnamo Februari 2016, wadukuzi walifanya moja ya wizi mkubwa wa pesa za benki katika historia. Walilenga Benki Kuu ya Bangladesh na kufanikiwa kuiba dola milioni 81. Kitu cha kushangaza? Udukuzi huu uligunduliwa kwa sababu ya printer iliyokwama.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
Microwave vs conventional Microwave "Oven" Powered by @lampard_electronicss

How to Change Font and Adjust Font Size in MS Word (Swahili)
Karibu kwenye tutorial hii ya Microsoft Word! Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kubadili font na kuongeza au kupunguza ukubwa wa maandishi katika MS Word. Kujua jinsi ya kufanya hivi kutakusaidia kuboresha muonekano wa hati zako kwa njia ya kitaalamu.

Google Yamuomba Trump Kubatili Agizo la Kuuza Chrome.
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Google Yamuomba Trump Kubatili Agizo la Kuuza Chrome.
Katika hatua isiyo ya kawaida, Google imewaomba maafisa wa serikali ya Marekani chini ya utawala wa Donald Trump kubatili agizo lililowekwa awali chini ya utawala wa Biden, ambalo lilitaka kampuni hiyo iiuze kivinjari chake maarufu, Google Chrome. Kampuniโฆ
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐ง๐
Wanasayansi wako kwenye Utafiti wa kuleta Teknolojia mpya inaitwa Teleportation, tunaweza sema Ndoto ya baadaye ambapo Mtu ataweza kusafiri toka sehemu moja kwenda nyingine kwa kufikiria tu.

Tumekua tukingaalia kwenye movie mbalimbali kama vile, vitabu vya dini, Matrix, star trik na movie zile sci - fi ya wagunduzi kuruka toka sehemu moja kwenda nyingine kupitia kufumba na kufumbua tu macho.

Unakumbuka kipindi Cha Nabii Suleiman alikua na Uwezo wa kusafiri toka nchi moja kwenda nyingine kupitia kufumba macho na kufumbua tuโ .
Sasa Teknolojia hii inakuja kwenye Maisha ya Binadamu ๐.

Unasemaje inawezekana ๐ tuachie maoni yako? Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja mbalimbali ya Teknolojia kwa lugha ya kiswahili ๐

๐ ๐๐ฎ๐ธ๐ฎ ๐ฎ๐ฌ๐ฒ๐ฌ ๐๐ฎ๐๐ ๐๐ฎ๐๐ฎ๐ธ๐๐ฎ ๐ป๐ฎ ๐๐๐ฒ๐๐ผ ๐๐ฎ ๐ธ๐๐๐ฎ๐ณ๐ถ๐ฟ๐ถ ๐ธ๐๐ฎ ๐ธ๐๐ณ๐ถ๐ธ๐ถ๐ฟ๐ถ๐ฎ ๐๐ผ๐ธ๐ฎ ๐๐ฒ๐ต๐ฒ๐บ๐ ๐ธ๐๐ฒ๐ป๐ฑ๐ฎ ๐ป๐๐ถ๐ป๐ด๐ถ๐ป๐ฒ
Je utajisikiaje ikifika wakati unatoka Dar Kwenda Dodoma kwa kufumba na kufumbua macho tu ๐ณ
Threads ni yako

๐งโ๐ป <a href='https://t.me/Huduma'> ใฝ๏ธ Teknolojia </a>
bongotech2โต5๐ฎ๐ง๐
Watu walikua na uwezo wa kuingia chumba Fulani mahali na kutoweka kwa haraka hadi eneo la mbali limevutia sasa wanasayansi wanataka kuileta kwenye Maisha ya Uwalisia.

Shukrani kwa maendeleo ya Quantum pizikia (physics) Teknolojia hii itaweza kuwa mustakabali wa kuweza kusafirisha Mtu mahali popote duniani kwa sekunde kadhaa tu
iwe kwa madhumuni ya kuabudu, kupatiwa matibabu, usafiri kisayansi kupitia kufikiria tu utaweza kusonga Angani.
bongotech2โต5๐ฎ๐ง๐
Shukrani kwa maendeleo ya Quantum pizikia (physics) Teknolojia hii itaweza kuwa mustakabali wa kuweza kusafirisha Mtu mahali popote duniani kwa sekunde kadhaa tu
iwe kwa madhumuni ya kuabudu, kupatiwa matibabu, usafiri kisayansi kupitia kufikiria tu utaweza kusonga Angani.
๐งโ๐ป <a href='https://t.me/Huduma'> ใฝ๏ธ Teknolojia </a>
bongotech2โต5๐ฎ๐ง๐
Lakini vipi ikiwa ndoto hiyo iko karibu kuliko tunavyofikiri? Kufikia 2060, maendeleo ya Teknolojia inaweza kuwa zaidi ya ndoto tu.
bongotech2โต5๐ฎ๐ง๐
Lakini vipi ikiwa ndoto hiyo iko karibu kuliko tunavyofikiri? Kufikia 2060, maendeleo ya Teknolojia inaweza kuwa zaidi ya ndoto tu.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐ฌ Unitree Robotics imezindua roboti ya binadamu G1 yenye uwezo wa ajabu wa kung-fu ๐ฅ๐ค
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
๐งโ๐ป ใฝ๏ธ Teknolojia
141. Two-Dimensional Lists | Jifunze Python kwa Hatua kwa Hatua
Katika video hii ya 141 ya kozi yetu ya Python, tutajifunza kuhusu Two-Dimensional Lists. Utajifunza jinsi ya kuunda, kufikia, na kudhibiti data ndani ya 2D lists kwa kutumia Python. Hii ni muhimu kwa data inayopangwa katika row na column, kama vile table au matrices.
๐ฅ Mambo Utakayojifunza:
โ Jinsi ya kuunda 2D lists katika Python
โ Namna ya kufikia value ndani ya nested lists
โ Kupitia (iterate) 2D lists kwa kutumia loops
โ Mifan

Manus AI: Wakala wa Akili Bandia Anayefanya Kazi Zote, Kutoka China!
๐งโ๐ป ๐ฃ @Huduma ๐
Telegraph
Manus AI: Wakala wa Akili Bandia Anayefanya Kazi Zote, Kutoka China!
Manus AI ni wakala wa akili bandia wa jumla (general AI agent). Tofauti na chatbots za kawaida kama vile ChatGPT, Imeundwa โkufikiri, kupanga, na kutekelezaโ kazi za aina mbalimbali, na kutoa matokeo kamili. Uwezo wake: Manus AI ina uwezo wa kufanya kaziโฆ