🧑💻 〽︎ Teknolojia
bongotech2⁵5🎮🛜
Itaanza kusambazwa ulimwenguni kote kuanzia Machi 11 ambapo gharama yake inaanzia TzSh 2.6 milioni/= mpaka TzSh 2.8milioni /=
@Xiaomi
@Bongotech255
@XiaomiUSA

Lensi yake ni Kali balaa unavuta kitu kwa umbali na kukiona kwa ukaribu bila ukungu wa aina yoyote.
🤏 Uwezo wa kuchaji simu yako ndani ya dakika 20 na kujaa bila kusahau wireless charging ambayo unaweza mrushia Mtu chaji kwa spidi kubwa ndani ya muda machache kufika asilimia 50

💡 CHAKUVUTIA ZAIDI:
🤏 kwenye hii toleo la Xiaomi 15 Ultra ni Simu Bora kwa upande wa Kamera inatoa picha nzuri kuliko toleo jipya la Samsung s25 Series' na Iphone 16 series na kuifanya kuwa simu pendwa yenye Kamera Kali Mwaka huu 2025.

🚀 Tukio la kushangaza zaidi ni kuhusu Mwezi utaweza kupatwa na kubadilika kuwa Rangi Nyekundu kama damu ya Mzee ambapo tukio ilo litatokea Mwezi huu Machi Tarehe 14 na 15 , Mwezi utabadilika na kuwa Mwekundu Wote.

🗣️ Jitayarishe na Tukio la Ajabu la kupatwa kwa Mwezi Mwaka huu 2025! Ambapo Mwezi utaweza kubadilika na kuwa na Rangi nyekundu kama damu Duniani.

🔆 Nyakati zinatofautiana kuona lakini itaweza kuonekana kwa nchi mbalimbali kuanzia nchi za Magharibi ya Afrika, Asia , Mexico, Usa, Canada, Algeria, Libya, Morocco, Sudan, Tunisia, na nchi za Afrika Mashariki.
Credit:

𝗝𝗶𝗮𝗻𝗱𝗮𝗲 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗵𝘂𝘂 𝗝𝘂𝗮 𝗹𝗶𝘁𝗮𝗽𝗮𝘁𝘄𝗮 𝗽𝗮𝗺𝗼𝗷𝗮 𝗻𝗮 𝗠𝘄𝗲𝘇𝗶 𝘂𝘁𝗮𝗸𝘂𝗮 𝗠𝘄𝗲𝗸𝘂𝗻𝗱𝘂 𝗸𝗮𝗺𝗮 𝗱𝗮𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗺𝘇𝗲𝗲
Kuna matukio mawili makubwa yataweza kutokea Mwezi huu Machi Mwaka 2025
Je unahitaji kuyajua ni Yapi hayo ?
Threads ni yako

🧑💻 <a href='https://t.me/Huduma'> 〽︎ Teknolojia </a>
bongotech2⁵5🎮🛜
Wala uhitaji kifaa Maalum kuweza kuonekana zaidi ya kuomba Afya njema na uzima tu kwa Mungu kuweza kushuhudia tukio hili Adimu ambalo ukilikosa utaweza kuliona tena mpaka mwaka 2041.

💭 Ebu fikiria unatembea kwa miguu jua Kali na simu yako inakaribia kuzima, au huko kwenye gari mwanga wa Jua unakupiga tu usoni, utajisikiaje kutumia Hiyo fursa kuweza kuchaji simu yako ??🤫

Lakini kwa ujumla si si Vyema kuweka vifaa vya kieletroniki juani ila kwa Infinix wamekuja kubadilika dhana hii kwani unaiweka juani na wala haipati Joto kutokana na Teknolojia iliyoundwa Nayo.
Tuwape Maua yao @InfinixMobileTZ 🔥🔥🔥

teknolojia hii inaweza kuchaji simu hadi 2W kwa dakika 10 na kukusaidia kulipia chaji iliyohifadhiwa ya simu wakati haitumiki.
💡 Bila kusahau Ina Teknolojia ya E - COLOR yenye kubadili Rangi ya simu kutokana na unachofikiria yani rangi unayofikiria basi Yenyewe inajibadilisha.

🚀 Kampuni ya kichina yenye kutoa simu za Brandi aina ya Infinix wameendelea kuishikiria Dunia kwa namna yao Wenyewe, Kupitia onyesho la MWC ya mwaka huu wameleta simu Yenye uwezo wa kuchajiwa kupitia Mwanga wa Jua.

𝗛𝗶𝗶 𝗻𝗱𝗼 𝘀𝗶𝗺𝘂 𝘆𝗮 𝗸𝘄𝗮𝗻𝘇𝗮 𝗶𝗻𝗮𝘁𝘂𝗺𝗶𝗮 𝗺𝘄𝗮𝗻𝗴𝗮 𝘄𝗮 𝗝𝘂𝗮 𝗸𝘂𝗰𝗵𝗮𝗷𝗶𝘄𝗮
Hakika maendeleo ya Teknolojia yanakwenda Kasi sana Umeshawahi kufikiria simu kutumia Mwanga wa Jua kupitisha chaji 💡?
Nazani bado ila 2025 inawezekana
Threads ni yako ✅

🗣️ Infinix inakua kampuni ya kwanza kutoa Teknolojia hii kwenye matoleo ya simu Ulimwenguni ambapo kupitia paneli za jua zilizounganishwa kwa nyuma inakupa uwezo wa kuchaji simu yako pamoja na kava lake lenye uwezo wa kuchaji simu yako kupitia Mwanga wa Jua.

🔆 Teknolojia hii Infinix wameiita Solar energy Reserving Technology , hutumia seli za jua za Perovskite ambazo ni nyembamba kuweza kuzalisha seli ambazo inasaidia kuthibiti voltage.