Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ’ญ Unapoweka Airplane mode On unakua unazima mifumo mizima yote ya kutoa taarifa za simu yako.

๐Ÿ’ญ Pindi simu inapokuwa kwenye Airplane mode baadhi ya mawasiliano unakatisha ila unakua na uwezo wa kutumia bluetooth, wifi, kuangalia video na kusikiliza Audio.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐—ž๐˜„๐—ฎ๐—ป๐—ถ๐—ป๐—ถ ๐˜๐˜‚๐—ป๐—ฎ๐˜„๐—ฒ๐—ธ๐—ฎ ๐—”๐—ถ๐—ฟ๐—ฝ๐—น๐—ฎ๐—ป๐—ฒ ๐—บ๐—ผ๐—ฑ๐—ฒ ๐˜๐˜‚๐—ธ๐—ถ๐˜„๐—ฎ ๐—ธ๐˜„๐—ฒ๐—ป๐˜†๐—ฒ ๐—ป๐—ฑ๐—ฒ๐—ด๐—ฒ ??

Umeshawahi kujiuliza kwanini watu wanaweka Airplane mode wakiwa safarini kwenye ndege ? Je kuna ulazima wa kuweka ? Vipi ikitokea ujaweka Airplane mode ?

Threads ni Yako ๐Ÿ‘Š
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

Unapoweka off Airplane utasababisha mawasiliano kuingiliana ya mifumo ya Rubani na wanaongoza ndege pamoja na mifumo mingine na kupelekea ndege kupoteza muelekeo na ajali kutokea.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ—ฃinasema FCC na FFA zinapiga marufuku matumizi ya simu kwenye ndege kwa sababu mawimbi yanayotoka kwenye simu yanaweza kuingiliana na mawasiliano ya ndege.
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

bongotech2โต5๐ŸŽฎ๐Ÿ›œ

๐Ÿ—ฃ Kwanini Abiria waliopo kwenye ndege wanashauriwa kuweka On Airplane mode, kulingana na ripoti toka kurasa ya FFA ya masuala ya usalama wa ndege.....
Kazi yake kubwa ni kupanga matukio kama mikutano, party, mikutano, sherehe za kuzaliwa na mahafali.
Apple imeanzisha app mpya ya "Invites"

Tayari imeanza kupatikana kwenye App Store
App hii ina sehemu ya kufungua Event, kuweka picha, jina la event, location, picha za tamasha au mikutano, na kutengeneza link ya kuiweka mtandaoni.
Unaweza kuamua kila mtu ambaye ataipata link akubali kushiriki na kuona orodha ya watu ambao wamekubali kushiriki na kufahamu wanashiriki watu wangapi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Jifunze Microsoft Access | Fungua na Tengeneza Database Yako ya Kwanza
๐ŸŽฏ Karibu kwenye video hii ya utangulizi wa Microsoft Access!

Katika video hii, nitakufundisha MS Access ni nini na jinsi ya kuitumia kwa mara ya kwanza. Tutaangazia hatua kwa hatua jinsi ya kuunda database mpya kwa urahisi, hata kama wewe ni mgeni kabisa kwenye programu hii.

๐Ÿ“Œ Mambo utakayojifunza:
1๏ธโƒฃ Kuanza na kufungua Microsoft Access.
2๏ธโƒฃ Jinsi ya kuunda database mpya (StudentManagement.accdb).
3๏ธโƒฃ Ufafanuzi wa vipeng
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

SMART SECRET STORAGES AND SPACE SAVING FURNITURE INNOVATIONS
Today's selection contains the most interesting and most necessary purchases from Amazon. Perhaps something from this selection will be useful to you. Grab a cart - and let's go shopping!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.info
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

Power Factor Explained โ€“ Why they issue penalty charges (Reactive Power)
What is Power Factor? Get a 30 day free trial and 20% off an annual subscription.๐ŸŽ Click here: https://brilliant.org/TheEngineeringMindset

What is Power Factor, Reactive Power, Real Power, True Power, and why do power companies issue reactive power penalty charges. How do you correct bad power factor. What causes bad power factor. How do you calculate power factor, real power, apparent power and reactive power.

Get your
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

. Jinsi ya Kutengeneza Table ya Students, Courses, na Enrollments | Jifunze Microsoft Access
๐ŸŽฏ Karibu kwenye sehemu ya pili ya mafunzo ya Microsoft Access!

Katika video hii, nitakuongoza hatua kwa hatua jinsi ya kuunda tables tatu muhimu kwenye database ya Student Management tuliokwisha itengeneza katika Videoyopita. Hizi table zitakusaidia kupanga na kudhibiti taarifa kwa ufanisi zaidi.

๐Ÿ“Œ Table utakazojifunza kuunda:
1๏ธโƒฃ Students โ€“ Kuhifadhi taarifa za wanafunzi kama vile majina, tarehe ya ku
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

BEST INVENTIONS FOR LOGGING
Even in modern cities, we're surrounded by wood products. According to the UN, global wood consumption is expected to grow by 37% by 2050. That means carpenters are already prepping their tools, and loggers are revving up their machines. Meanwhile, you can relax and enjoy the tools and machinery featured in today's wood-related selection.

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see i
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

how Build home solar battery backup 24V 300Ah Home Energy Storage Smart BMS
Installing a 4kW Solar System: Must-Have Steps and Tips.
24v inverter 3500W test with maximum continuous discharging current 100ah battery
In conclusion, our 3500W 24V inverter with a 300Ah battery is able to power high-load devices efficiently, making it an excellent power backup solution for home or office use.

Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative videos like
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใ€ฝ๏ธŽ Teknolojia

THIS Is The BEST Debugging Feature In Python
This is the best debugging feature in Python.