Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kuunganisha Tables Kutumia Relationships Kwenye Access | One-to-Many Relationships
🎯 Karibu kwenye sehemu ya tatu ya mafunzo ya Microsoft Access!

Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuunganisha tables tatu muhimu (Students, Courses, na Enrollments) kutumia Relationships. Kwa kufanya hivi, database yako itakuwa na mpangilio mzuri na itahakikisha uhusiano wa data unadhibitiwa ipasavyo.

📌 Mambo utakayojifunza:
Jinsi ya kutumia Database Tools → Relationships kuunganisha tables.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kwa mara ya kwanza wanasayansi wamefanikiwa kurekodi shughuli za ubongo katika hali ya mtu mwenye kukata roho

( katika dakika zake za mwisho za maisha) kurekea kuzuka kwa mijadala mbalimbali kuanzia ya kisiasa, kiroho na kifalsafa.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

𝗧𝗲𝗸𝗻𝗼𝗹𝗼𝗷𝗶𝗮 𝗶𝗺𝗲𝗼𝗻𝘆𝗲𝘀𝗵𝗮 𝗻𝗶𝗻𝗶 𝘂𝘁𝗼𝗸𝗲𝗮 𝗽𝗶𝗻𝗱𝗶 𝗺𝘁𝘂 𝗮𝗻𝗮𝗽𝗼𝗸𝘂𝗳𝗮

Watafiti kiboko Aiseeh walichokifanya wametisha kinoma noma !!!

Threads ni yako
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Ingawa bado baadhi wanapinga kuwa sio kweli ni Uongo kwamba ufahamu huisha mara moja mtu anapokufa,

na kupelekea kuzua maswali mengi kuhusu kile kinachotokea wakati wa mpito mtu anapotolewa uhai wake.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Watafiti wamefanikiwa kupata taarifa wakati mtu anapokaribia kukata roho kupitia ubongo ambayo yanayohusiana na kukumbuka kumbukumbu kuanzia kuota kutafakari kuanzia kabla na baada ya Moyo kusimama.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Watafiti wanasema mtu anapokata roho ukumbuka matukio yote haliyowahi kuyafanya kwenye "mapito ya maisha"

ambapo kumbukumbu muhimu katika maisha hukumbukwa zikitoa ripoti kuhusu matukio ambayo mtu alishawahi kuyafanya kupitia ubongo wake.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Create Files in Linux | Step-by-Step Guide for Beginners
📌 How to Create and Manage Files in Linux | Step-by-Step Guide for Beginners

In this tutorial, you’ll learn how to create a file in Linux step by step using simple commands. Whether you're a beginner or looking to refresh your skills, this guide will help you understand essential file management commands in Linux.

🔥 What You’ll Learn:
Check your current directory using pwd
List all files and directories using ls
Create a new
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Create and Navigate Directories in Linux | mkdir & cd Commands Explained
📌 How to Create and Navigate Directories in Linux | mkdir & cd Commands Explained

In this step-by-step tutorial, you’ll learn how to create and manage directories (folders) in Linux using simple terminal commands. Whether you’re a beginner or looking to refresh your skills, this guide will help you understand the mkdir and cd commands to organize files and directories efficiently.

🔥 What You’ll Learn:
Check your
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

UNBELIEVABLE OFF-ROAD FAILS AND WINS CAUGHT ON CAMERA
Where the pavement ends, the off-road adventures begin. Buckle up for some thrilling videos! Expect crashes, jumps, flips, and more in today's video!

For copyright-related questions, please contact copymanager.mn@gmail.com
If you have an interesting video and would like to see it on our channel, please write to us at content.manager@techzonelab.info
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Smart Lock ,YOUR FINGER IS YOUR KEY , Welock Electronic Smart Door Lock Cylinder
a.link :SECBN51 Welock Electronic Smart Door Lock Cylinder save €50
a.link : https://www.welock.com/INVEYT35864
coupon: SINDRO50
Final price: €139
Shipping from European Warehouse and 2-Year warranty.
AMZON
a.link : https://amzn.to/4hcirgu
@WelockSmartLock
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Flat TV : How to convert LCD TV into Led TV || easy repair Technic




This video shows you how to convert LCD TV into Led TV, how to replace
Cold cathode fluorescent lamps with light emitting diode lamps,
And how to replace CCF lamps driver with led lamps driver.
LCD tvs are no longer in production, once back light Leds or CCF Lamps driver are faulty it is not easy to get the spare parts,so it is easier to convert it into LED TV, it is just replacing CCF lamps with LED lamps as well as replaci
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Jinsi ya Kuingiza Data Katika Tables | Jifunze Microsoft Access
🎯 Karibu kwenye sehemu ya nne ya mafunzo ya Microsoft Access!

Katika video hii, nitakuonyesha jinsi ya kuingiza data kwenye Tables za database yako kwa usahihi. Baada ya kuunda tables na kuanzisha uhusiano (Relationships), sasa ni wakati wa kuzijaza na data ili database yako iwe na taarifa zinazoweza kufanyiwa kazi (queries, forms, reports).

📌 Mambo utakayojifunza katika video hii:
Jinsi ya kufungua Students Table na kuingiza
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Wakati mwingine unakuta umeiweka pesa kwenye simu yako utakuta jumbe za ajabu kama vile Boss unaachaje kucheza ujishindie mamilioni ya pesa, Soko la bure nk
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Unakuta mtu wala apendi kucheza michezo ya kamari lakini unakuta kila siku lazima apate tangazo la michezo ya kubashiri au umejishindia kiasi fulani cha pesa fanya hivi kujichukulia zawadi wakati ujacheza je hizi taarifa zinatoka wapi ?
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Wahanga wengi hawapendi kabisa hii michezo lakini hujikuta bila ridhaa yao wanakuta jumbe za kamari kwenye simu zao na wengi wanashindwa kujiondoa

kwani hawajui hata wameunganishwa vipi inafika kipindi mpaka makampuni yanakukata pesa kwa huduma ambayo hata ujajiunga.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Ni muhimu mamlaka zinahusika na masuala ya mitandao itunge sheria kuhusu kudhibiti mitandao ya simu kwa kutunza taarifa za mteja maana wakati mwingine makampuni ya simu yanaiba taarifa zetu.

Usisahau kutu follow @Bongotech255 kwa maujanja zaidi 🗣
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Asilimia kubwa taarifa hizi zinatoka kwenye makampuni ya simu ambayo ufanya kazi ya kuuza taarifa za wateja wao kwa makampuni mengine

yanayohitaji huduma ya kujitangaza kuhusu jambo fulani labda kubashiri na kuweza kuwatumia watu waliojisajili kwenye huo mtandao.