Kwa sasa ndio app ambayo inaongoza duniani kwa kuwa na watumiaji wengi ambao wanai-download kwa kipindi cha hivi karibuni. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1883934865311293581#m
❤1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
〽︎ Teknolojia
OFF-ROAD TRUCKS AND INCREDIBLY SKILLED DRIVERS
Get ready to be amazed by the incredible power of all-wheel drive vehicles and the amazing skill of off-road drivers! Deep mud, slippery slush, steep ravines... this compilation will take you to places where not even wild animals dare to go. Prepare to be wowed by the amazing skills of these true off-road experts!
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com

how to install BMS 200A 48V on LiFePO4 Batteries, Create 48V Storage Systems
48V Inverter 6200W tester with maximum continuous battery discharge current of Jakiper Battery 48V 100Ah
In conclusion, the DATOUBOSS 6200w 48v Inverter with Jakiper Battery 48V 100Ah The battery and is capable of efficiently powering high-load devices, making it an excellent power backup solution for home or office use.
Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for more informative vid

bongotech2⁵5🎮🛜
Utafiti huo unaruhusisha kuingiza seli za binadamu kwenye viinitete vya wanyama (animal embroys)
kwa nguruwe na panya, ili kuweza kukuza vya binadamu.

Usisahau kututembelea kwenye page yetu ya Instagram kuna mengi utajifunza 👋

𝗝𝗔𝗣𝗔𝗡 𝗜𝗠𝗘𝗥𝗨𝗛𝗨𝗦𝗨 𝗪𝗔𝗧𝗔𝗙𝗜𝗧𝗜 𝗞𝗨𝗨𝗠𝗕𝗔 𝗕𝗜𝗡𝗔𝗗𝗔𝗠𝗨
Dunia na maajabu yake 😳
Tunakoelekea Kunatisha Teknolojia inazidi kuleta Mambo ya Ajabu ulimwenguni 👋
Thread ni yako
Repost
Follow
Likes iwafikie wengi Tujifunze 👇

Mfumo huo ambao unakusanya viungo vya Wanyama na binadamu
ili kuweza kukuza viungo vya binadamu ndani ya mnyama kwa njia ya kupandikiza.
Watafiti hao wakiongozwa na Jamaa mmoja anaitwa Hiromitsu Nakauchi.

Sheria mpya imeruhusu utafiti huo kukuza hadi kuwa mnyama binadamu kamili, hivyo kuzua mijadiliano mikali kati ya Sayansi ya Matibabu na uumbaji wa Mungu.
Tunakokwenda kunatisha 🌍🏃🏃

Nchini Japan mwaka 2019 waliweza
kupitisha Utafiti kwa kuweza
kuwaruhusu
Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.
bongotech2⁵5🎮🛜
Nchini Japan mwaka 2019 waliweza
kupitisha Utafiti kwa kuweza
kuwaruhusu
Wanasayansi kuweza kuumba Wanadamu.
〽︎ Teknolojia
bongotech2⁵5🎮🛜
Bado kuna wasiwasi wa kimaadili unaweza kujitokeza kuhusu kuchanganya Seli za kibinadamu na Wanyama haswa kwenye ukuaji wa Ubongo.

Hisa za Nvidia zimeshuka, lakini Nvidia imeikumbusha DeepSeek kuwa bado mafanikio yake yanategemea GPU za Nvidia.
Nvidia imesema mapinduzi ya AI hayaendeshwi na ndoto tu.
DeepSeek tayari inapata changamoto za watumiaji wengi lakini inajitahidi kupambana na fitna zilizopo