ใฝ๏ธ Teknolojia
bongotech2โต5๐ฎ๐
๐จ 2027 kupatwa kwa jua kurefu zaidi
Hii tunaita LONGEST SOLAR ECLIPSE ambapo jua litapatwa itachukua muda mrefu zaidi itachukua dakika 6 na sekunde 33 itakua Agosti ambapo mara ya mwisho kutokea kupatwa kwa jua ilikaa muda mrefu ni mwaka 2009 na nyingine itatokea mwaka 2114.

๐จ Safari ya Mercury kwenye Jua
Novemba 7 2039 kutakua sayari ya Mercury itaweza kusafiri kwenye uso wa jua, usafiri huo utaweza kuonekana kwenye sehemu fulani ya dunia ambapo baadhi ya nchi wataweza kuona safari hiyo ya Mercury.

Haya ni matukio adimu sana yatatokea kuhusu sayari na Anga kwa ujumla ambayo yatajitokeza dunia kwa miaka 15 mpaka miaka 100 ijayo watu wengi mtashangaa Maajabu ya Sayari zilizoumbwa na Mwenyezi Munguโ๏ธ.

๐จ 2029 Apophis Asteroid
Hili ni jiwe kubwa jeusi litaweza kujitokeza kwenye Dunia na kuweza kuonekana ambayo huzunguka Jua na kuja karibu Dunia iligundulika mwaka 2004 inajulikana kama 99942 Apophis.

Usisahau kutu follow kujifunza mengi kuhusu Teknolojia, Ai na habari za Dunia kwa ufupi kila siku
@Bongotech255

๐จ 2034 Mvua ya kimondo
Tunaita leonid Meteor shower ambapo itakua mlipuko mkubwa wa mvua wa vimondo mkali mwaka 2034 ikiwa na dhoruba ya nyota zaidi 100,000 zitakazo sambaa angani na kupasuka pasuka kwa kishindo.

๐จ Septemba 8 2040
Utaweza kuona kupitia macho yako sayari zikijipanga kwenye Uso wa dunia kuanzia Mercury, Venus, Mars, Jupiter na Saturn ๐ช ambapo mwezi utawekwa kati kati ya sayari ya Venus na Saturn.

X/Twitter itaweka sehemu mpya maalum ya videos.
Sehemu hii itachukua nafasi ya tab ya Communities, na tab hiyo itaondoka na itakuwa tab ya videos ambayo ina icon ya Play.

This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
Programu ya C++: Mfano wa Program ya Kuendelea Kupokea Namba Hadi Unapoingiza namba Hasi
Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kuandika programu kwa kutumia while loop katika C++ ambayo inaruhusu mtumiaji kuingiza namba mara kwa mara hadi aweke namba hasi. Video hii ni muhimu kwa wanafunzi wa programming wanaotaka kuelewa jinsi ya kushughulikia ingizo la mtumiaji na kuacha loop kwa kigezo maalum.
Utaelewa:
๐ขJinsi ya kutumia while loop kwa hali ya kuendelea kupokea data.
๐ขJinsi ya kuchunguza in

๐จ๐ป๐ฎ๐ท๐๐ฎ ๐ป๐ถ๐ป๐ถ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐๐ผ๐ธ๐ฒ๐ฎ ๐ถ๐ธ๐ถ๐๐ฎ ๐ก๐๐ผ๐๐ฎ ๐๐ฎ ๐ป๐ฒ๐๐๐ฟ๐ผ๐ป ๐ธ๐ถ๐ฝ๐ฎ๐ป๐ฑ๐ฒ ๐ฐ๐ต๐ฎ๐ธ๐ฒ ๐ธ๐ถ๐๐ฎ๐ธ๐๐ท๐ฎ ๐๐๐ป๐ถ๐ฎ๐ป๐ถ
Umeshawahi kujiuliza nini kitatokea ikiwa Nyota aina ya Nyutroni kipande chake kikawekwa kwenye ardhi ya Dunia ๐ณ
Sio poa ๐โ๏ธ

๐จ Kijiko tu cha nyota ya nyutroni kinaweza kugawanyika kuwa protoni na neutroni na kutoa nishati nyingi kama vile Jua hutoa kwa sekunde chache.

Ikitokea kipande cha nyota ya neutron kingetokea Duniani, basi ingesababisha mlipuko mkubwa ambao ungeifanya sehemu kubwa ya sayari (Dunia) kuwa mvuke.
Unajua kwanini Ikitokea nyota ya Neutron ikija duniani basi sehemu kubwa ingekua Mvuke;

๐จ Nyota hizo zina nguvu ya Sumaku zenye nguvu sana.
๐จ Ile Nguvu ya mvutano ya nyota ya nyutroni inaweza kusababisha maafa ya mawimbi ambayo yangeharibu Dunia sehemu kubwa.

Nyota ya Neutron ni nyota nene sana yani kile kijiko cha chai cha kipande cha nyota hiyo kina uzito zaidi ya Tani milioni 10.
๐จ Nyota ya nyutroni zina mvuto mkali, uzito wa nyota ya nyutroni ina nguvu sana kiasi kwamba mwanga wake unaweza kuzunguka pande zote za dunia.

Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
JAW-DROPPING DANGEROUS OVERSIZE CARGO TRANSPORTATION OPERATIONS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
JAW-DROPPING DANGEROUS OVERSIZE CARGO TRANSPORTATION OPERATIONS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
ใฝ๏ธ Teknolojia
.1 Virusi vya Kompyuta: Virus ni nini, Madhara Yake, na Jinsi ya Kujikinga!(Malicious Software)
Virusi vya Kompyuta: Jifunze Kuhusu Aina Hii ya Malware na Jinsi ya Kujikinga!
Je, unajua virusi vya kompyuta ni nini na jinsi vinavyoathiri vifaa vyetu? Katika video hii, nimekufundisha kila kitu unachohitaji kujuau virusi vya kompyuta, jinsi vinavyoenea, madhara yake, na hatua unazoweza kuchukua ili kujilinda.
Nitakueleza kwa lugha nyepesi na mifano halisi kama:
๐ขVirusi maarufu kama ILOVEYOU na ma