Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.59K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

DANGEROUS IDIOTS, TRUCK & HEAVY EQUIPMENT FAILS
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to use DALL·E 3 to create and sellk photos
How to use DALL·E 3 to create and sellk photos has never been easier!

In this video, we reveal the secret techniques to harness DALL·E 3, the revolutionary AI tool, to create stunningk photos that you can sell for a profit. Whether a beginner or an experienced photographer, this step-by-step guide will show you how to generate high-qualityk images and turn them into a profitable side hustle or full-time business.

With DALL·E 3, the endless possi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kujumlisha Kwenye Excel ( Kutafuta Total ) - Jifunze Microsoft Excel
Karibu kwenye video hii ya Kiswahili! Katika video hii, nitakuonyeshatua kwatua jinsi ya kutumia fomula ya SUM katika Microsoft Excel ili kujumlisha takwimu kwaraka na kwa urahisi. Ikiwa wewe ndio kwanza unaanza katika Excel au unataka kuboresha ujuzi wako, video hii itakusaidia kuelewa na kukumbuka:
Jinsi ya kuandika na kutumia fomula ya SUM
Mfano wa vitendo wa kujumlisha takwimu zako kwa usahihi
Mbinu rahisi za
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INCREDIBLE WEAPONS EVERYONE WILL WANT TO SEE
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Simu za Bei Kubwa Zaidi duniani Haijapata Kutokea (bilioni 120+)
Hizi ni simu za wapenda luxury ambazo zinauzwa kuanzia bilioni moja kwenda juu, utastaajabu ubora na sababu kubwa zinazofanya hizo simu kuwa na gharama ya kupindukia kwa namna isivyofikirika.
🆕 TikTok imerejea na kurudisha huduma zake nchini Marekani baada ya Rais Mteule Donald Trump kuruhusu app hiyo kuendelea kufanya kazi Marekani. https://twitter.com/TikTokPolicy/status/1881030712188346459#m
👍1
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Bibi huyo alifanikiwa kununua kompyuta yake ya kwanza akiwa na umri wa miaka 60 alipolazimika kustaafu baada kufanya kazi kwenye benki zaidi ya miaka 43.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Kupitia jarida la TEDX tokyo alielezea jinsi alivyoanza kompyuta yake kwa kuanza kuzungumza mitandaoni akafanikiwa kufungua tovuti inayokufundisha Matumizi ya Excel na Microsoft office hatua kwa hatua.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

KUTANA NA BIBI MWENYE UMRI WA MIAKA 81 ALIYEUNDA GAME MWENYEWE BAADA YA KUJIFUNZA PROGRAMMING LANGUAGE MWANZO MPAKA MWISHO✍️

THREAD 👋
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Bibi huyo kutoka Japan sasa amekua ni mmoja wa wasaidizi kwenye kampuni ya apple dhidi ya uundaji na utengenezaji wa program za iphone.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutafuta Wastani wa Data zako Katika Excel kwa Kutumia AVERAGE
Katikao hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kutumia fomula ya AVERAGE katika Microsoft Excel ili kutafuta wastani wa takwimu zako kwa haraka na kwa usahihi. Ikiwa wewe ndio kwanza unaanza kujifunza MS Excel au unataka kuboresha ujuzi wako wa Excel,o hii ni kwa ajili yako!

Utajifunza nini?
🟢Jinsi ya kuandika na kutumia fomula ya AVERAGE
🟢Mfano wa vitendo wa kutafuta wastani wa takwimu kwenye Excel
🟢Mbinu rahisi na za
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Baada ya Binti yake kupata ajali ya gari alikua anasumbuliwa na Maumivu ya mkono ambapo alipoweza kuripoti kituo Cha hospital kitengo cha dharura na mtaalamu wa radiolojia walimuangalia kwenye X ray lakini hawakuona mvunjiko wowote.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Wiki kadhaa iliyopita mama mmoja aliweza kuisifu chati boti ya Elon musk, kwa kuweza kutambua kuvunjika mkono binti yake baada ya wataalam bingwa wa Matibabu kushindwa kujua.
👍1
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

BAADA YA MADAKTARI KUSHINDWA KUJUA AMEVUNJIKA MAENEO GANI AKILI BANDIA YA GROK IMEWASAIDIA KUJUA MFUPA ULIOVUNJIKA😳

Tunakoelekea kuna hatari ya Teknolojia ya AI kuweza kuchukua nafasi kwenye kazi mbalimbali

Thread ni yako 👋
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Lakini Mama huyo aliamua kutumia akili bandia ya chati boti ya Grok ndipo ilipomuonyesha mvunjiko kwenye mkono wa mbali. Baadae wataalamu wakapima Tena kwenye X ray ndipo walipofanikiwa kuona mvunjiko huo na kuweza kumfanyia upasuaji.
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

Tukio hili limeibua mjadala kuhusu nafasi ya AI inavyoongezeka katika uchunguzi wa kimatibabu.

Ebu tuambie umeshawahi kutumia Chati boti ya Grok 😎
︎ Teknolojia

bongotech2⁵5🎮🛜

💨 2025 ☄️solar storm
Hiki ni dhoruba la jua ambalo litaweza kuikumbuka dunia watu wataweza kuona dunia itakumbwa na dhoruba ya jua kuwa kali mara kumi yake.