Teknolojia
136 subscribers
3.86K photos
5.11K videos
94 files
13.5K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

I Tried the Weirdest β€œOpen” Headphones
Transparency mode... in real life

Sennheiser HD650: https://geni.us/1nlHAU
Sony Linkbuds Open: https://geni.us/s3rW7
Bose Ultra Open: https://geni.us/aAnyN
Nothing Ear Open: https://geni.us/KGInx
NWM Open Back Headphones: https://geni.us/75Hoj1
Movengine UM-600: https://geni.us/fzifyEN

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Playlist of MKBHD Intro music: https://goo.gl/B3AWV5

~
http://twitter.com/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi ya Kuzima WHATSAPP Bila Kuzima DATA au FLIGHT MODE

Jinsi ya Kuzima WHATSAPP Bila Kuzima DATA au FLIGHT MODE

Kuzima WhatsApp bila kuzima data au kuweka flight mode kuna faida kadhaa, ingawa ni muhimu kuelewa kuwa njia hii inahusisha kuzima au kutunza matumizi ya app ya WhatsApp pekee. Hapa chini ni baadhi ya faida za kufanya hivyo:

1.Kuzuia arifa (Notifications)
- Kwa kuzima WhatsApp bila kuzima data, unaweza kuepuka kupokea arifa za ujumbe mpya, vikundi, au sauti za notisi za Whats
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Xiaomi reballing power ic
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Managing Files & Directories kwa Urahisi | Commands za Msingi Katika Linux
🌟 Karibu kwenye Sehemu ya Tatu ya Mafunzo Yetu ya Kali Linux! 🌟

Katika video hii, tunazama zaidi kwenye usimamizi wa faili na folda kwa kutumia command muhimu za Linux. πŸ’» Hizi ni command ambazo kila mtumiaji wa Linux anapaswa kujua!

πŸ”§ Command Utakazojifunza:
βœ”οΈ touch - Kuunda faili mpya
βœ”οΈ mkdir - Kuunda folda mpya
βœ”οΈ cp - Kunakili(Duplicate file or folder) faili au folda
βœ”οΈ mv - Kuhamisha au kubadilisha jina la faili
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Unatumia Z FOLD 6 ,Watch Ultra na Buds 3 Pro , RAHA SANA!

Unatumia Z FOLD 6 ,Watch Ultra na Buds 3 Pro , RAHA SANA!
Huawei imezindua gari mpya ya kifahari inayoitwa Maextro S800. Ni gari la kifahari ambalo linatumia umeme.

Ina Level 3 katika kujiendesha kulinganishwa na Autopilot ya Tesla (Level 2). Hii inamaanisha kuwa S800 inaweza kushughulikia kazi nyingi za kujindesha kwa kujitegemea.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

INGENIOUS CONSTRUCTION WORKERS THAT ARE AT ANOTHER LEVEL
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
πŸ†• Google Photos imebadili sehemu ya "Memories" kuwa "Moments" na kuhamisha kipengele hiki kwenye tab ya Collections.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Fahamu Kuhusu Nested If Statements Katika C++ | Ufafanuzi Hatua kwa Hatua
Katika video hii, utajifunza kuhusu nested if statements katika C++ na jinsi ya kuzitumia kwenye programu zako. Tutapitia mifano rahisi na ya vitendo ili kuelewa jinsi ya kushughulikia maamuzi yanayohusiana ndani ya programu. Ni kipengele muhimu kwa kuandika programu zenye mantiki tata!

⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐⭐

πŸŽ₯ Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! πŸŽ₯

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: πŸ”Ή
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Samsung A33 5G A336B frp bypass by chimera tools
Samsung A33 5G A336B frp bypass by chimera tools
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@g
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Basic Linux Commands - Viewing & Editing Files | Mafunzo ya Kali Linux
🌟 Karibu kwenye Sehemu ya Nne ya Mafunzo Yetu ya Kali Linux! 🌟
Katika video hii, tunajifunza jinsi ya kutazamaa kuhariri faili kwa kutumia command za msingi za Linux. Hiii muhimu kwa mtu yeyote anayefanya kazi kwenye mfumo wa Linux. πŸ“

πŸ”§ Command Utakazojifunza:
βœ”οΈ cat - Kutazama yaliyomo ya faili
βœ”οΈ less - Kutazama faili kubwa hatua kwa hatua
βœ”οΈ more - Kutazama faili kwa sehemu
βœ”οΈano - Kuhariri faili kwa urahisi
βœ”οΈ echo - K