Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Miniature F35 fighter jet Turbofan Engine, Assembly & RUN!
In this video, we showcase the step-by-step process of assembling and running a miniature F35 fighter jet Turbofan Engine . We take you through the intricate process of putting together this amazing engine and show you all the components and tools needed to get the job done. From setting up the engine block to installing and crankshaft, we cover it all.

to buy from here
👇👇
Teching F35 Turbofan Engine Kits: https://bit.ly/49dVeHl
Stirli
🧐
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Basic Linux Commands: Jifunze Ku Navigate File System Hatua kwa Hatua
🌟 Karibu tena kwenye Mafunzo ya Kali Linux! 🌟

Katika video hii, tunajifunza command za msingi za Linux kwa urahisi na kwa hatua. 🤓 Leo tunazingatia jinsi ya kusafiri ndani ya file system ya Linux kwa kutumia command muhimu kama:

✔️ pwd - Kujua ulipo sasa
✔️ ls - Kuona faili na folda
✔️ cd - Kuhama kati ya folda

📂 Utajifunza nini?
➡️ Jinsi ya kuelewa mfumo wa faili wa Linux
➡️ Command rahisi lakini muhimu kwa kila mtumiaji
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ndani ya Mjengo , MOROCCO SQUARE Now Open
#nhctanzania #daressalaam
Ndani ya Mjengo , MOROCCO SQUARE Now Open
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuona Device Zote Zinazotumia Internet ya Computer yako | Devices Zinazotumia WiFi Yako
Jinsi ya Kuona Vifaa Vyote Vilivyo Unganishwa na Hotspot Yako ya Kompyuta

Unataka kujua ni vifaa gani vimeunganishwa na hotspot yako ya kompyuta? Katika video hii, nitakuonyesha hatua kwa hatua jinsi ya kutambua devices zote zilizounganishwa na hotspot ya laptop au kompyuta yako kwa urahisi.

Tutajadili:
Jinsi ya kufungua na kutumia hotspot kwenye kompyuta.
Hatua za kugundua vifaa vilivyo connec
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make Adjustable Bench Power Supply 0-60V 0-30A DC
how to make Adjustable Bench Power Supply 0 60V 0 30A DC
Altium 365 here : 【 https://www.altium365.com/yt/inventorkr
https://de.geekbuying.com/aktion/1111_sale_2024
****************************
You can buy me coffee here :【 https://ko-fi.com/inventorkr
Circuits diagrams and code here :【 https://ko-fi.com/inventorkr/shop
****************************
Channel Blog:【 https://inventorkr.blogspot.com/
****************************
Get Hig
Samsung itabadili sehemu ya kurekebisha mwonekano wa Lock Screen katika mfumo wake mpya wa One UI 7

Itakuwa na widgets katika style mpya kuonyesha hali ya hewa na kiasi cha charge ya betri

Sehemu ya saa itaweza kubadilishwa katika rangi mbalimbali, fonts mpya na size mbalimbali
Spotify imeanza kuzifungia apps ambazo ni Mod APK kwa watumiaji wa Android.

Baadhi ya watumiaji wa Android wanatumia apps feki za Spotify ambazo zinakuwa zimefanyiwa marekebisho kwa kuwa na huduma za Premium bila kulipia.

Spotify imeanza kupambana nazo na watu wengi wamefungiwa https://twitter.com/joegoldberg411/status/1861640540384829838#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

. Mastering Conditional Statements katika C++ | Fahamu Jinsi ya Kuandika if Statement
Katika video hii, tutachambua control structures katika C++, hasa conditional statements kama if, else, na if else if else statement. Utaelewa jinsi ya kufanya maamuzi kwenye programu zako kwa kutumia kanuni hizi.

Tutaelezea kila hatua kwa urahisi ili kuhakikisha unazielewa na unaweza kuzitumia ipasavyo.



🎥 Karibu sana kwenyeannel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa
Ifahamu Kampuni Iliyoko Nyuma ya Tigo Kubadilishia Chapa Kuwa Yas. Je, Tutarajie Yapi Mapya?
👣 @Huduma 👈
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Wadukuzi wavamia Mifumo ya Benki Kuu Uganda na kuiba Mabilioni ya Fedha
Tufuate kwenye Ukurasa wetu wa Facebook kwa kubonyeza link hii - https://www.facebook.com/simulizinasauti