Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
πŸ†• SpaceX inapanga kufanya jaribio la kujaza mafuta baina ya Starship mbili zikiwa kwenye obiti nje ya anga la dunia, ambapo chombo cha kwanza kitazinduliwa kwenda kwenye obiti ya chini ya Dunia mwezi Machi 2025.

- Jaribio hili litakuwa la kwanza kuhamisha mafuta nje ya anga
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

New in Python 3.13: Replace
Python 3.13 is the gift that keeps on giving. In today's video we're going to be exploring one of the new functions that we can use to copy objects with custom fields!

β–Ά Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

β–Ά Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

how to install a home solar energy storage system, 6KW inverter, Complete installation
48V Hybrid Inverter 6200W tester with maximum continuous battery discharge current of Jakiper Battery 48V00Ah
In conclusion, the DATOUBOSS 6200w 48v Hybrid Inverter with Jakiper Battery 48V00Ah The battery and is capable of efficiently powering high-load devices, making it an excellent power backup solution for home or office use.

Thanks for watching the video and don't forget to subscribe to our channel for
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Jinsi Kumuingiza Mtu Katika Group la WhatsApp kwa Haraka na Urahisi
πŸ‘‹ Karibu kwenye Video Yetu Mpya!

Katika video hii, utajifunza jinsi kumuongeza mtu katika group lako la WhatsApp kwa urahisi. Hakuna haja kuchanganyikiwa – tutakuonyesha kila hatua unayohitaji kufuata! πŸ“²βœ¨

πŸ”Ή Utaelewa:
πŸ‘₯ Njia za kuongezea washiriki wapya kwenye group lako la WhatsApp.
πŸ”— Hatua tofauti kama kuongeza kupitia link mwaliko, namba simu, na zaidi.
πŸ’¬ Vidokezo vya kudhibiti na kuwasiliana vizuri na wanachama wapya kwen
πŸ†• Roboti msanii Ai-Da ameweka historia kuuza picha ya Alan Turing kwa dola milioni 1.08!

Sanaa hii ya kipekee inawakilisha changamoto na maswali kuhusu mustakabali wa AI, imetengenezwa na roboti ambaye ameichora kwa mikono yake.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
πŸ’Ώ πŸͺ° CD zinatumika kama njia mpya ya kufukuza nzi kwenye vyakula.

Mbinu hii ni kiboko kwa kufukuza nzi!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

. Jinsi ya Kupata Kujumlisha na Kupata Total ya Value Zilizomo Kwenye List
Karibu kwenye video ya 135 ya mfululizo wa Python Programming! πŸ“š Katika video hii, tutajifunza jinsi ya kujumlisha value zote kwenye orodha(list) kwa njia rahisi.

Je, unahitaji kupata jumla ya element zote kwenye list yako? πŸ€” Video hii itakusaidia kutumia njia bora kama loops na sum() function kwa ufanisi zaidi ili kujua jumla ya data zako kwa haraka.

Usisahau kusubscribe na kubonyeza kengele kwa mafunzo mapya! πŸ”” Nitafu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How My Videos Are Changing!
I want to shoot more videos in more places...

Thanks DJI for sponsoring today’s video! Check out the DJI Osmo Action Camera 5 Pro at https://geni.us/vdUSBR

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Playlist of MKBHD Intro music: https://goo.gl/B3AWV5

~
http://twitter.com/MKBHD
http://instagram.com/MKBHD
http://facebook.com/MKBHD
πŸ†• Bluesky imezidi kupata watumiaji wengi baada ya Elon kuamua X/Twitter isiwe na uwezo wa ku-block post za mtu.

Bluesky imepata watumiaji wapya 700,000 ndani ya wiki moja. Sasa mtandao huu una watumiaji Milioni 14.5
πŸ‘1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Kutunza | Notes, Picha, Message | Muda wote kutumia Gmail account
Hii sio njia ambayo wote tumekua tukiitumia kipindi chote Ni Njia nyingine kabisa Kama unataka nawewe kutumia ili kutunza Notes zako, Messages na picha Basi jaribu kuitumia. fuatisha maelekezo haya
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Kutunza | Notes, Picha, Message | Muda wote kutumia Gmail account
Hii sio njia ambayo wote tumekua tukiitumia kipindi chote Ni Njia nyingine kabisa Kama unataka nawewe kuitumia fuatisha maelekezo haya
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Futa Taarifa zako zilizoibwa na App za mikopo kwa njia ya simu ya mkononi
Video hii itakueleza jinsi ya kufuta Taarifa zako zilizo hifadhiwa na app za mikopo
Mkopo kwa njia ya simu, app za mikopo

Je, una wasiwasi kuhusu taarifa zako binafsi zilizohifadhiwa kwenye app za mikopo? Katika video hii, tunakuonyesha jinsi ya kufuta data yako kutoka kwa app za mikopo zenye utapeli na kulinda faragha yako! Fuata hatua hizi muhimu kujua jinsi ya kudhibiti ruhusa za app, na hata kutumia zana za usalama il
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Samsung A05 A055F imei repair /android 14 u1~u7
Samsung A05 A055F imei repair /android 14 u1~u7

how to root
https://youtu.be/LFG7dgQtc5s

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
T
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

How to Block Loan Apps from accessing your info With This App.
Loan apps wont get your info,
Delete your data stored in fraudulent loan app

Are you using loan apps but worried about your personal data being accessed? In this video, we show you how to block loan apps from accessing your sensitive information while still being able to use them. Discover how the Shelter app can help you protect your privacy and secure your data with simple steps. Don’t let loan apps misuse your personal details –
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
γ€½οΈŽ Teknolojia

Mpyaa Link Pesa: Je, Ni Halali au Ulaghai? Mapitio Kamili
review ya Platform ya kupiga pesa online
Jinsi ya kutengeneza pesa online

link:-
https://wa.me/+255682339972?text=Habari%0ANimetazama%20video%20yako%20YouTube%20kuhusu%20LINK%20PESA%20nigependa%20kufahamu%20zaidi%20kuhusu%20fursa%20hii

Je, unajiuliza kama Link Pesa ni jukwaa la kutengeneza pesa halali? Katika video hii, tunakuletea mapitio ya kina ya Link Pesa, tukijibu maswali muhimu kama: Je, unaweza kweli kufanya pesa? Ni salama kutu
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
VPN & PROXY


Kwa sasa kuitumia telegram inahitaji uwe na app ya vpn au utumie proxy

sasa kwaleo nataka ujifunze kuseti proxy kwenye telegram yako hii itakusaidie kuacha kutumia VPN Kila unapotaka kutumia telegram.πŸ‘‡
1. pakua VPN Ya "Bitmask" ilikuweza kufungua website na apps zilizo ziwa kutumika na TCRA katika inchi yetu.

https://play.google.com/store/apps/details?id=se.leap.bitmaskclient
au kama una VPN Kwenye simu yako tumia hiyo hiyo siyo lazima iwe Bitmask au pakua vpn yeyote tu.

ukishaa maliza kupakua washa vpn yako au kama una vpn iwashe ila kama ndo umepakua na hujui kuiwezesha futa hatua hiziπŸ‘‡ kuiwezeshaπŸ‘‡