Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Ku Bold Maneno Kwenye Message katika WhatsApp
Ku Bold Maneno Ni kuonyesha msisitizo wa unacho kiongea Ni ukiacha kutumia njia ya Kuandika kwa herufi kubwa hii ni njia ya pili Pia inaleta utofauti wa message yako na watu wengine
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutanguliza Chats WhatsApp kwa Njia ya Ku Pin
Itakurahisishia kuto kutumia muda mwingi kutafuta Chat ya Mtu, Ukiwa umetanguliza utajua yeye ni Nani, Kama Ni watu wako Muhimu au unachati nao mara kwa mara fanya hii njia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK| Jinsi ya kuzificha DISK ZAKO au kurudishi ZISIZOONEKANA
7+ Years of Experience.
Kujiunga na masomo ya kulipia : https://forms.gle/pLEBEPuZgsoPLew7A
===

Hapa ni ulimwengu wa Teknohama (IT (Information Technology)) karibu ujifunze nasi Computer kutokea zeero mpaka kuwa More Than Professional.
-----------

#NK| Jinsi ya kuzificha DISK ZAKO au kurudishi ZISIZOONEKANA

-----
- Channel yetu mpya ya Shorts: https://www.youtube.com/channel/UCifYOx_oQuq9__OnyUE4K9A
- NK on TIKTOK : https://www.tik
👍1🔥1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kufuta Folder ambalo halitaki kufutika katika Computer
Video hii nimekuonesha jinsi ambavyo utaweza ku force kufuta folder fulani katika computer yako ambalo halitaki kufutuka kikawaida.



🎥 Karibu sana kwenye Channel ya Mohamed Hafidh! 🎥

Jina langu ni Mohamed Hafidh, na hapa utajifunza mengi kuhusu: 🔹 Teknolojia
🔹 Afya
🔹 Mazingira
🔹 Sayansi
🔹 Motisha
...na mengine mengi ya kuvutia! 🎉

📌 Lengo langu ni kukusaidia kujifunza na kukua, huku ukifurahia safari yako ya maa
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ushindi wa Unaweza Kuathiri Vipi Sekta ya ?
Katika video hii, utaweza kufahamu sekta muhimu za teknolojia ambazo zitegemee athari flani - nzuri au mbaya baada ya ushindi wa Urais wa Trump.

Naangazia masuala muhimu kama marufuku ya teknolojia ya China, maendeleo ya AI, mustakabali wa magari ya umeme (EV), sekta ya teknolojia za safari za anga za mbali, na sheria za sarafu za kidijitali (crypto). Je, ni sekta zipi zitakazonufaika, na zipi zitakumbana na changamoto?
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kutumia Application Mbili kwenye Screen Moja ya Simu
Utaweza ku Scroll Application ya Juu na Utaweza pia ku Scroll Application ya Chini zote zikiwa katika Screen Moja ya Simu yako, Unapenda kujua trick hii twende pamoja Hatua kwa Hatua
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ficha kwa Muda Chats za WhatsApp Zisionekane na Watu
Unaweza ukatumia njia hii kulinda Faragha zako Kama hautaki kila Mtu aone unachati na Nani, hautumii password Wala App nyingine ya ziada Ni rahisi Sana Jifunze
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kuseti Message ziwe zinafutika Automatically Muda fulani
Kuna Watu wako ambao usingependa baada ya kichati nao message zao ziwe zinaendelea kubaki kwenye WhatsApp account yako, tumia setting hii kuzifuta hizo message Automatically baada ya Muda Fulani
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kusoma Message Iliyo Futwa WhatsApp
Uta iyona Message ambayo imefutwa WhatsApp au Kama uliifuta wewe mwenyewe kwa bahati mbaya Basi ukitumia njia hii utaziona zote
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Njia Rahisi ya Kuwekaaelezo (Description) kwenye Group la WhatsApp
📢 Habari na Karibu kwenye Video Yetupya! 📢

Katika video hii, utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya kuweka description kwenye group lako la WhatsApp kwa njia rahisi na yenye ufanisi! 📝

👉 Utaelewa mambo yafuatayo:
Umuhimu wa kuwa na description kwenye group lako la WhatsApp. 🤔
Hatua za kuunda na kuhariri description ili kufikisha ujumbe kwa wanachama wako. ✍️
Vidokezo vya kuandika maelezo mazuri na yenye mvuto kwa washiriki wa gro
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

GADGETS AND INVENTIONS FOR CAMPING THAT YOU SHOULD SEE
1) AllGearProom/projects/49698192/allgearpro-7-in-1-outdoor-gear-for-total-protection

2) Uijaom/projects/1182406323/uijaan-outdoor-portable-reverse-osmosis-water-filter

3) Yoomiilyom/projects/yoomiily/the-worlds-first-portable-micro-hydro-shower-machine

4) CRUA HoverChair
https://www.indiegogo.com/projects/hoverchair-sitting-in-the-wild-just-got-fun#/

5) BenQ GS50
https://www.youtube.com/watch?v=9xJwhpJozZc

6) Salty Barrelom/proj
🆕 App ya Playground ya Apple imeanza kufanya kazi kwa watumiaji wote wa iOS 18.2 na macOS mpya waliopo Afrika Mashariki.

Playground ni app mpya ya Apple ambayo itawezesha watumiaji wa iPhone na Mac kutengeneza picha kwa kutumia akili bandia ya Apple Intelligence.
Gusa hapo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

My New Place 🌹🌹🌹
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza Duara la Pointer kwa kutumia Pixellab App
Ukitaka kazi yako ya mtandaoni iwe ya ki professional basi fanya kila kinacho wezekana kazi zako ziwe PRO na hapa Ni Juu ya kutengeneza Duara au Pointer Round ambayo utalitumia kuonyesha exactly Sehemu husika watu waweze kutambua unacho taka wakione, hivi ndivyo jinsi ya kulitengeneza