Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutengeneza Picha za AI | Kutumia App ya Canva
Ni muendelezo wa kukufundisa namna ya Kutengeneza Picha za AI Artificial Intelligence Leo tunatumia Application ya Canva App Hii hautahitajika kujiunga Wala kulipia chochote Ni bure
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

JINSI YA KUWEKA EARTHING NA NEUTRON KWENYE NYUMBA YAKO
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12s (sea) RSA Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuzuia Mtu Asiku Tag | katika Facebook Account yako
Unakuta Profile yako yoote imejaa Post za watu tofauti tofauti na sio Post zako, na Post hizo huenda zikawa hazina maadili mazuri Jifunze hapa jinsi gani utazuia Mtu au watu wasiweze kuku Tag katika Facebook Account yako
👍1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SATISFYING VIDEOS OF WORKERS WHO DO THEIR JOB PERFECTLY
For copyright matters please contact us at: copymanager.mn@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

New in Python 3.13: The @deprecated decorator
New in Python 3.13: The @deprecated decorator. It's finally here! Now everyone can deprecate functionality super easily in Python.

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

🆕 WhatsApp imefanya mabadiliko alama ya Typing Indicator (kiashiria chake cha kuonyesha mtu anaandika) ili kiwe rahisi zaidi kutumia.

Kwa sasa, Typing Indicator mpya inaonekana kwenye sehemu ya chats na Groups, sawa na app nyingine kama vile iMessage, Messenger
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kuondoa Data Speed Count | kuonyesha Kwenye Screen
Inaonyesha Kiwango Cha matumizi ya Data Pindi mtandao unapokua na kasi au unapokua hauna kasi yaani Down, Kama ukiona haikuvutii hii Unaweza kuondoa kupitia Setting
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kugundua Location Ambazo Simu yako Imepita kwa Kuset hivi
Itakusaidia pale ambapo umepoteza simu yako au Kuibiwa au hata Kama haujui wapi ilipo, Kupitia hii njia itaonyesha kila kitu Nchi, Mkoa na Hizo sehemu simu iliko Pitia
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Ku-Activate Windows 7/8/10/11 na Microsoft Office Hatua kwa Hatua
Video hii ni maalumu kwa wale wote wanaohitaji ku-activate windows operating system zao lakini pia hata Microsoft Office kwa kupitia Video hii utaweza kufanya hivyo.

Ni rahisi sana na haihitaji uwe mzoefu sana wa kompyuta ndio uweze kufanya bali hata wewe unaweza ukafuata muongozo kwa kuangalia video hii naeza ku activate windows katika kompyuta yoyote ile.

Kama kuna sehemu utakuwa umekwama usisite kuuliza ilieza kusaid
🆕 Soko la simu za mkononi linaanza kuimarika tena, simu milioni 310 zilisafirishwa robo ya tatu 2023.

Samsung bado inaongoza, lakini Apple inamfuata kwa karibu kutokana na umaarufu wa iPhone 16.

Transsion imetoka Top 5, Oppo na Vivo zimerudi top 5
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi note 12s (sea) dead mode flash /hang on logo/imei repair
Xiaomi redmi note 12s (sea) dead mode flash /hang on logo/imei repair

fash file soon...

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and sub