Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.61K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Filamu 10 Bora Zinazotokana na Matukio ya Kweli TRUE STORY
Je, unapenda filamu zinazotokana naatukio halisi? Katika video hii, tunakuletea orodha ya filamu 10 bora ambazo ziliundwa kutokana na hadithi za kweli za kushangaza na za kusisimua! Kutoka kwenye safari za kipekee za ujasiri hadiatukio ya kihistoria ambayo hayawezi kusahaulika, filamu hizi zitakufanya ushangae na kuzama ndani ya duniapya. Hizi si hadithi za kawaida – ni simulizi halisi zilizobadilishwa kuwa sinema kubwa naaarufu duniani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya | Ku Adjust Mwanga wa Simu | ili Usikuumize Macho
Anza kuweka hivi unapo tumia Simu yako usipate changamoto za macho mfano kuwasha au kuchoma choma na kuona giza
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The M4 Mac Mini is Incredible!
The new $599 M4 Mac Mini is really good. In more than one way.

MKBHD Merch: http://shop.MKBHD.com

Apple Mac Mini M4: https://geni.us/XAWA0

Tech I'm using right now: https://www.amazon.com/shop/MKBHD

Playlist of MKBHD Intro music: https://goo.gl/B3AWV5

Computer provided by Apple for review.

~
http://twitter.com/MKBHD
http://instagram.com/MKBHD
http://facebook.com/MKBHD
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

New in Python 3.13: TypeIs
How's it going everyone? In today's video we're going to be learning how we can use the new TypeIs typing feature that we got in Python 3.13!

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Hizi hapa Simu BORA za SAMSUNG na Bei zake, Nite 10 na Note 20 ultra
mawasilliano:-
whatsapp 0717506902

Katika video hii, tunakuchambulia kwa kina Samsung Note 10 Plus na Samsung Note 20 Ultra – simu mbili za kifahari zinazotoa ubora wa hali ya juu kwa watumiaji wanaotafuta nguvu, kasi, na teknolojia ya kisasa. Utaona tofauti kuu za sifa kama RAM, uhifadhi wa ndani, kioo, na kamera, na tutakusaidia kuchagua kati ya simu hizi mbili kulingana na mahitaji yako binafsi. Ukiwa na Note 10 Plus, unapa
🍕💰 Mwaka 1994, Chris Clark alinunua domain pizza.com kwa matumaini ya kuvutia kampuni ya pizza. Hakupata mafanikio, lakini akaendelea kulipia gharama ya domain kila mwaka.

Mwaka 2008, aliuza domain ya pizza.com kwa dola milioni 2.6!
🆕 Apple imefanya mabadiliko ya icons za iPhone, mfumo mpya wa iOS 18.2

Mwonekano mpya utakuwa na icon za Settings ambazo zinabadilika rangi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Sababu ni Hii unapo ingiza Finger Print Kukutaka Uingize mara nyingi
Huenda ukawa unajua sababu Fulani Lakini acha nikuongezee na hii, Sio wote wanaotumia simu zenye option ya Finger Print Basi wakawa wanajua hii Kitu kwahiyo chukua mida wako kuangalia
📊 Ripoti mpya za nchi ambazo zinaongoza kwa watu wanaotumia muda mwingi kwenye mitandao ya kijamii duniani
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung Galaxy A05 A055F android 14 root by dft pro
Samsung Galaxy A05 A055F android 14 root by dft pro
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

MFAHAMU DONALD TRUMP MFANYABIASHARA JEURI MWEYE MISIMAMO, JE ATAIMALIZA VITA YA UKRINE NA RUSSIA?
uselections2024

MFAHAMU DONALD TRUMP MFANYABIASHARA JEURI MWEYE MISIMAMO THABITI ISIYOYUMBISHWA, ASIEKATA TAMAA, JE ATAIMALIZA VITA YA UKRINE NA RUSSIA? Na je, vipi vita ya GAZA NA NA IZRAEL?? YOTE HAYA TUMEKUANDALIA HUMU NDANI

================================
HII NI PERFECT SIDE HAKIKISHA UMESUBSCRIBE ILI USIPITWE NA TAARIFA YOYOTE PINDI TUNAPOCHAPISHA. 🤳
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kutumia WhatsApp Account Yako katika Pc
Utatumia WhatsApp Account Yako hiyo hiyo, Huku uki enjoy Ku view picha Videos na message kwa size kubwa na kusave Files zako zote kwa urahisi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kampuni ya @mercedesbenz kwa kushirikiana na @moncler wamempa kazi @nigo ili kuleta hii G wagon : Past II Future
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi note 12s (sea) nv data fix/rsa Solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya Kupata Message zako Muhimu ulizo zipoteza WhatsApp
Kama unachati na watu wengi kwenye WhatsApp account yako au una magroup mengi mpaka Wakati mwingine unasahau message Muhimu ulizo chat nao Tumia njia hii kizipata hizo message