Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.63K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Intel imetangaza CPU zake za kwanza za Lunar Lake (Core Ultra 200V) kwa laptop, zikidai kuwa na kasi kubwa zaidi ya CPU, GPU bora zaidi duniani, na utendaji wa juu zaidi wa AI.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Pretty woman,Movie Kali ya 1990 ya Mapenzi

Pretty woman , Movie Kali ya 1990 ya Mapenzi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to clean emmc RPMP and write new dump /imei solution
how to clean emmc RPMP and write new dump /imei solution
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmai
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Reels zinavyoweza kukulipa kwenye Facebook page
Unataka kutengeneza pesa kama watu wengine wanaolipwa na Mtandao wa Facebook kupitia page fahamu vigezo na Masharti yake ili kua eligible katika Monetization
Simu ya Samsung Galaxy S25 Ultra itakuwa ni nyembamba zaidi ya Galaxy Ultra zote.

S20 Ultra: 166.9 x 76.0 x 8.8 mm
S21 Ultra: 165.1 x 75.6 x 8.9 mm
S22 Ultra: 163.3 x 77.9 x 8.9 mm
S23 Ultra: 163.4 x 78.1 x 8.9 mm
S24 Ultra: 162.3 x 79.0 x 8.6 mm
S25 Ultra: 162.8 x 77.6 x 8.2 mm
🆕 TikTok imeiga idea ya Instagram Notes na imeanza majaribio ya sehemu mpya ambayo itaitwa "TikTok Thoughts"
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How Many Batteries For a 2000W 12v Inverter? test with maximum discharging current
Are you wondering how many batteries are needed for a 2000W
12V inverter? In this video, I will provide you with surprising insights,

Maximum discharge current test of 12V 100Ah lithium battery with 1280Wh capacity from PUPVWMHB brand with 12V 2000W inverter from Datouboss brand, the result requires two 12V 100Ah batteries to equal the inverter capacity, to operate home appliances with high current draw capacity
🆕 Snapchat ina mpango wa kuongeza nguvu matangazo yake na itaweka matangazo kwenye private chats. Aina mpya ya matangazo itaitwa “Sponsored Snaps” na itakuwa juu ya orodha ya chat list kama message ambayo ni unread.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Heat Plate by L8705 !!!
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
👍1
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kitu kidogo sana lakini kina umuhimu mkubwa sana.Ipi umeipenda zaidi #techinswahili
👍1
🆕 WhatsApp Business itakuwa na akili bandia ya Meta AI ambayo itakuwa inasaidia shughuli za kibiashara kama vile kuandika mawazo ya kibiashara, meseji za kujibu maswali ya wateja, kukusaidia kukuza ujuzi wa biashara na shughuli mbalimbali.
👍1