Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

HIZI NDIZO AINA ZA GENERATOR single phase na Three phase
https://play.google.com/store/apps/details?id=se.leap.bitmaskclient


Kama unashindwa kuingia kwenye Telegram kwa wepesi Network 📶 ina sumbua tumia VPN hiyo hapo
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

CPU
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya ku save namba kwenye Email
Unapo save namba kwenye Email inakusaidia kuhifadhi namba zako sehemu salama, Hata ikitokea Email haija I kwenye simu kwa muda mrefu bado namba zitakua huko ukiingiza tu email hiyo kwenye simu namba zako zote zitarudi

#
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kurudisha namba ulizo save kwenye Email
Kurudisha namba ulizo save kwenye Email

Wala usijali kuhusu namba zako ulizo save kwenye Email zitarudi zote na utaendelea kuwasiliana Kama kawaida angalia Jinsi ya Kurudisha hizo namba kwa urahisi

#
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kuzuia Members kwenye WhatsApp group kutuma message
Umekua Admin wa group la WhatsApp lakini unakerwa na members wako kwa kauli zao au tabia furani zinazo kukera njia pekee ya kulinda maisha ya group lako ni kuweka setting hii ili watu wapya wanapo ingia wasijie kua wapo watu wwnye tabia furani angalia

#
⌚️ Saa ya CMF Watch Pro 2 ina mwonekano mzuri sana. Simple and minimalistic, imagine bei yake ni chini ya dola $100
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Meeting AI with GPT-4o
Say hello to GPT-4o, our new flagship model which can reason across audio, vision, and text in real time.

Learn more here: https://www.openai.com/index/hello-gp...
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

https://youtube.com/watch?v=Hs0y3NK5FLs
jinsi ya kubadili charge system with data /how to charge charge port with data to computer
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

https://youtube.com/watch?v=T81ak3ubfvc
how to remove password itel 2166 by miracle thunder /jinsi ya kutoa password itel 2166 kwa miracle
Huduma hii ya Active-Listening ya CMG imezua wasiwasi kuhusu faragha, baada ya kuvuja kwa habari hii Google imeiondoa CMG kutoka kwenye tovuti yao ya ‘Partners Program’ na Meta wanapitia upya kampuni hiyo kwa ajili ya ukiukaji wa sheria za matumizi.
🛑 Habari zilizovuja! Programu ya ‘Active-Listening’ ya Cox Media Group (CMG) inasemekana kutumia AI kusikiliza na kuchambua mazungumzo ya watumiaji kupitia vifaa vyao!

😱 Data hizi zinadaiwa kutumiwa na makampuni makubwa kama Facebook, Google, Bing, na Amazon
Ni mara ya kwanza taarifa hizi zinaanza kuwa wazi, Google na Meta zimekasirishwa na CMG kutoa taarifa hizo; lakini inaonekana zilikuwa zinashirikiana lakini hazikutaka issue iwe wazi.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Hapa mtu anatumia ChatGPT na mkono wa 3D Printer kumaliza asignment yake bila taabu