Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to install 12V/24V inverter a home solar energy storage system, ACOPower Li-Cube
ACOPower Li-Cube
https://bit.ly/3TckIy9
BMS Protection
The First Vertically Stackable Lithium Battery Designed for RVs
Simple | Compact | Reliable
Vertically Stackable | 6 Series & 6 Parallel | 6000 Cycles | Five Years Warranty | Easy to install | Smart APP Monitor
Vertical Innovation in Energy: Harness 3C Peak Current, 6000 Cycles, and Robust Protection in a Space-Saving Design!
Revolutionize Your Power Storage
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

https://youtube.com/watch?v=SBFp-VMPY3Y
Tengeneza betri lililo poteza moto kabisa ata kwenye kobehaicharge
🤝 @Huduma

🛑 Habari zilizovuja! Programu ya ‘Active-Listening’ ya Cox Media Group (CMG) inasemekana kutumia AI kusikiliza na kuchambua mazungumzo ya watumiaji kupitia vifaa vyao!

😱 Data hizi zinadaiwa kutumiwa na makampuni makubwa kama Facebook, Google, Bing, na Amazon


Ni mara ya kwanza taarifa hizi zinaanza kuwa wazi, Google na Meta zimekasirishwa na CMG kutoa taarifa hizo; lakini inaonekana zilikuwa zinashirikiana lakini hazikutaka issue iwe wazi.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How 3 Phase Power works: why 3 phases?
Why 3 phases? Get a 30 day free trial and 20% off an annual subscription.🎁 Click here: https://brilliant.org/TheEngineeringMindset

What is 3 phase electricity and how does three phase power work, learn Wye Delta loads and neutral currents, how and where three phase electricity is used, why 3 phases, how the generator works to produce 3 phase sine waves

Get your mug here:➡️ https://tinyurl.com/3-Phase-Power-Mug
Download excel sheets here:➡️ https://tinyur
🆕 Instagram imeweka sehemu ya Story Comments katika sehemu ya Instagram Stories. Instagram inazidi kuongeza features ambazo zinaongeza engagements kwa watumiaji.

💬 Akaunti ambazo unazi-follow na zinaku-follow ndio zitakuwa na uwezo wa kuandika na kuona comments.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Nini ufanye ukipata | Message hii WhatsApp |
Ukipata message hii kwa mara ya kwanza usishangae Unaweza kukatisha kwa kubonyeza sehemu ya kuteremka chini na kuchagua never, au Fuatisha maelekezo haya ili kulinda chart zako zisipotee unapo badirisha simu.

#
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jinsi ya kufactory reset samsung a05s by EDL /How to make EDL cable home
Jinsi ya kufactory reset samsung a05s by EDL /How to enable EDL mode without EDL cable
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung a02s a025f U7 testpoint frp bypass
Samsung a02s a025f testpoint frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
🆕 Huawei itaitambulisha aina mpya ya simu ya tri-fold (simu ambayo inajikunja mara tatu)

📲 Simu hii itaitwa Mate XT, itatambulishwa September 10
🗓️ Leo saa 9 Jioni, kampuni ya Honor itakuwa na event yake ya Honor IFA 2024

Honor itaelezea kuhusu AI yake

🆕 Pia itatoa tab ya MagicPad 2 na laptop ya Windows ya MagicBook Art 14
🆕 Trailer ya tangazo la event mpya ya HONOR IFA

Na namna simu za Honor zitakuwa na akili bandia mpya. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1831616994145112138#m
👍1