Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.64K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 Sasa hivi unaweza kubadilisha na kurekebisha Home Screen kwa kutumia kompyuta ya Macs katika iPhone Mirroring
🚨 Google imeacha kuuza simu za Google Pixel 7, Google Pixel 7 Pro na Google Pixel Fold
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mastering GPT Prompt Engineering for Books: Tips for Authors and Writers
Unlock the full potential of GPT prompt engineering to enhance your writing and craft captivating books! In this video, Shall Explore dives deep into the art of using GPT for authors and writers. Discover how to generate creative prompts, refine your writing process, and create engaging content that resonates with your readers.

Whether you're a seasoned writer or just starting, these tips will help you elevate your storyt
🆕 Apple ina mpango wa kubadili jina la 'iPhone Pro Max' na kutumia jina la 'iPhone Ultra'.

Sio jambo jipya kwa Apple kutumia jina la Ultra kwa sababu inatumia jina hili katika Apple Watch na chip za 'M Ultra'.

Mabadiliko haya yanawezekana kuanza mwaka huu au mwakani.
💡 Sony - ni kampuni ya kwanza kutumia jina la "Ultra" kwenye brand yake ya "Sony Xperia Z Ultra" mwaka 2013.

Wengi wamezoea ni Samsung lakini Sony ndio ya kwanza.

Xiaomi, OnePlus, na Motorola na pia zimewahi kutumia jina hili. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1823774514301259871#m
🆕 Apple ina mpango wa kutoa aina mpya ya simu ya iPhone Air mwaka 2025.

📲 iPhone Plus itaacha kutengenezwa mwakani.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

https://www.tiktok.com/@sekundezaelimu/video/7402259423298702598?_t=8os4UmbfomL&_r=1
VIJANA OENI KWA KUZINGATIAA KIGEZO CHA DINI ZAIDI KULIKO VIGEZO VINGINE. Hakika baada ya Kijanaaa Kuzingatia Sifa nne pale anapotaka Kuoa ambazo ni Sifa za Tabia, Mali, Nasaba na Dini tukumbuke kuwa jambo lilisisitizwa Zaidi kati ya hayo ni Dini. Hivyo kama hautozingatia dini na Ukaoa kwa Kuzingatia mambo hayo mengine Sikiliza hapa kwa Umakini kabisa kile ambacho kitakukuta baada ya wewe Kuoa @sheikh_shams_elmi
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Port Error Fix in Miracle Thunder For All MTK Keypad MTK Feature Phones
Port Error|| Fix & Read Lock miracle box
For Download Links and Tools Visit:
https://albastuz3d.net
https://albastuz3d.com
For Questions And Remote Support Inbox Us On:
https://wa.link/1b89wd
http://Albastuz3d.com/whatsappgroup
http://Albastuz3d.com/
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

10 Python Errors Explained In 15 Minutes
In this video we're going to be going over 12 different Python errors that you can encounter when programming.

Generators: https://youtu.be/1OSEzdOpmWQ

Become job-ready with Python:
https://www.indently.io

Follow me on Instagram:
https://www.instagram.com/indentlyreels

00:00 Learning Python made simple
00:05 Intro
00:20 AttributeError
02:04 ImportError
03:01 IndexError
04:13 KeyError
05:24 NameError
06:41 NotImplementedError
08:35 StopIteration
10
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

8. Jinsi ya Kupata Mafaili kwenye Google Drive: Tumia Recent, Shared With Me, na Search | MWISHO
Karibu kwenye sehemu ya nane ya mafunzo yetu ya Google Workspace! Katika video hii, tutakuonyesha jinsi ya kupata mafaili kwa urahisi kwenye Google Drive.

Utajifunza hatua kwa hatua jinsi ya:
👉Kutumia sehemu ya "Recent" ili kupata mafaili uliyotumia hivi karibuni
👉Kupata mafaili yaliyoshirikiwa na wewe kupitia "Shared With Me"
👉Kutumia kipengele cha "Search" ili kupata mafaili haraka

Hii ni sehemu
🆕 Windows imeanza kuweka style yake mpya ambayo inafanana na AirDrop ya macOS.

🔘 Watumiaji wataweza kutuma files faster kwa kutumia Bluetooth na WiFi
🆕 Ripoti mpya zinaonyesha kuwa Galaxy S25 Ultra itakuwa na kona za mviringo.

🔘 Mabadiliko haya yamekaribishwa na wataalamu, wakisema yataboresha mshiko wa simu na kupunguza hatari ya kioo kuvunjika inapoanguka.
🆕 Simu zote za Google Pixel 9 na Pixel 9 Pro zinatumia aina moja ya cover.