Teknolojia
141 subscribers
3.87K photos
5.33K videos
94 files
13.7K links
Hii ni channel yangu mwenyewe ila kama ikikupendeza karibu isipokupendeza kwaheli πŸ‘‹
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
Saved by @InstantMediaBot

KWANINI TUNAENDESHA UPANDE WA KUSHOTO WA BARABARA?
#jewajua
Kwa nchi kama Tanzania tumezoea kuona magari yakiendeshwa upande wa kushoto wa barabara. KWANINI TUNAENDESHA UPANDE WA KUSHOTO WA BARABARA?

Episode za Newzfid,
Script, narration and editing by Jimmy James
#JeWajua Unaweza kutumia emoji zaidi ya moja ; kutengeneza stickers au picha yoyote
πŸ“² #JeWajua Simu ya Xiaomi Redmi Note 12 Discovery ni moja kati ya simu inayoongoza duniani kwa kuwa na fast charger yenye speed zaidi.

⚑️ Inatumia 210W kwa waya na inafika charge ya 100% kwa dakika 9 tu!