Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mwenyekiti na Mwenezi wa TEAM CROWN Watoa neno "Crown sio za Kihuni"
#snashtz #Toyota #crown
Mwenyekiti na Mwenezi wa TEAM CROWN Watoa neno "Crown sio za Kihuni"
🆕 Kama unatengeneza post zako kwa kutumia Photoshop na Illustrator, sasa unaweza kuweka hakimiliki yako kwenye post na kazi zako.

Automatic zikiwekwa mtandaoni zitakuwa zinasoma kuwa mwenye hakimiliki ni wewe

Instagram na TikTok hazitapunguza ubora wa picha kwa sababu zinatambua picha halisia imetoka kwako

Post zitapewa kipaumbele kwenye Explore kwa sababu mitandao ya kijamii itaona kuwa wewe ndiye mmiliki wa hiyo post.

Kumbuka mabadiliko haya yalitangazwa rasmi na Adobe, Meta, ByteDance na platforms mbalimbali zimeweka ushirikiano wa kuweka mfumo wa pamoja wa copyrights ndani ya apps za kutengeneza posts.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Windows 11 itaweka mabadiliko mapya katika File Explorer.

Itakuwa na sehemu mpya ya Recently, Favourites na Shared chini ya sehemu ya kufungua files za kawaida. https://twitter.com/PhantomOfEarth/status/1791527279438225490#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kazi ya Audio Jack Kwenye ATM Machine!
#snashtz #atm #audiojack
Kazi ya Audio Jack Kwenye ATM Machine!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Hard Reset All Infinix Hot 12i x665b, x665 Remove Pin, Pattern, Password lock NO PC
How to Hard Reset Infinix Hot
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

A235f signal problem #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #a235f ##a23 #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu #brokenpads #blackglue #signal
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Frp bypasaa pixel 3xl without pc😋💯💯💯💯
Frp bypasaa pixel 3xl without pc
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 INGENIOUS HOME INVENTIONS
1) Just Video Walls



2) Yu Home




3) Ori Expandable




4) Sauberair FLAT
TikTok imeanza majaribio ya kuweka uwezo wa Collaboration kama Instagram.

TikTok imeanza majaribio ya kuweka sehemu ambayo akaunti mbili zitakuwa na uwezo wa kushirikiana katika video moja na video moja itakuwa inaonekana katika akaunti zote mbili.

Katika majaribio ya TikTok:

🤝 Itakuwa na limit ya akaunti/creators watano kushirikiana kwenye video moja.

☑️ Itakuwa na uhuru wa kuamua kukubali au kukataa akaunti nyingine kufanya collaboration na wewe.

Akaunti zitakuwa na uhuru wa kufuta collaboration ambayo tayari zilikuwa zimekubali.

👥 TikTok itakuwa na Creator - hii ni ile akaunti ya kwanza kupost na kuomba akaunti nyingine kushirikiana na Collaborator - hii ni akaunti ambayo imekubali kushirikishwa.

✍️ Creator ndio atakuwa na uwezo wa ku-edit video na caption, collaborator hatakuwa na uwezo huo.

🫱 Akaunti itaruhusiwa kuomba akaunti nyingine ku-collaborate mara nne kwa mwezi. Ukizidi limit ya kukataliwa sana ku-collaborate hautaweza kupata option hiyo.

Mabadiliko haya yam...

View original post
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

5 Weird iPad Pro (M4) Decisions
2 week of overthinking this iPad Pro

Get a real leather skin at

MKBHD Merch:

Tech I
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Never do this ☠️💀 it's very dangerous /Inside the battery.
Be sure to do this with gloves and a mask and complete safety, and I do not recommend this.

Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #battery #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 INCREDIBLE BIKES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
1) MOD Easy Sidecar


2) HASE BIKES


3) Top Secret


4) T
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

how to make, wireless led, Wireless Magnetic Brick, experiment
wireless LED Light | New Amazing Idea, These wireless LED
Kitaratibu kila mwaka kuna emoji mpya ambazo zinaongezeka.

Mwaka huu kuna emoji mpya ambazo zitaanza kutoka kwenye mfumo mpya wa iOS 18 kwa watumiaji wa iPhone, mfumo mpya wa Android, Windows, Macs na mifumo yote kwenye vifaa ambavyo vinaweza kuonyesha emoji.

Hizi ndio Emoji ambazo zimependekezwa na zitaanza kutumika ramsi mwaka huu:

➜ Uso ambao unaonyesha uchovu - itakuwa na alama ya kuonyesha macho yamevimba na rangi inayozunguka upande wa chini wa macho.
➜ Alama ya kidole
➜ Mti usio na majani
➜ Mboga ya mzizi (kama beetroot)
➜ Kinubi
➜ Beleshi/Koleo
➜ Doa