Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.67K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK| Kwasababu hii VLC ni Player ya Maprofessional |#stream
#NK| Kwasababu hii VLC ni Player ya Maprofessional |#stream
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 CAR GADGETS YOU SHOULD SEE
1) TDD LED Steering Wheel

2) IAG Rock Armor Skid Plate

3) HOHOFILM® Smart Roof
🆕 Apple inafikiria kubadilisha mwonekano wa kamera ya iPhone

📰 Kwa mujibu wa The Information na Bloomberg; iPhone 17 zinafikiriwa kubadilika kabisa na itakuwa ni mara ya kwanza Apple kubadilisha mwonekano wa iPhone tangu iPhone 11.

🔘 Kuna tetesi zinasema kuwa Apple ina mpango wa kubadilisha mwonekano wote wa kamera za iPhone na kuhamia katika style ya “Top Center”.

🔘 Tangu mwaka 2007, kamera ya nyuma ya iPhone ipo upande wa kushoto, kuhamisha kamera upande wa katikati itakuwa ni mabadiliko makubwa sana katika iPhone.

🔘 Pia kamera ya mbele itakuwa na duara lakini Dynamic Island itaendelea kuwepo ndani ya iOS, lakini sehemu za Face ID zitakuwa zimejificha ndani ya kioo.

Inaonekana Apple itafuata style ya Google Pixels, pia Sony na Samsung zamani zilikuwa inaweka kamera ya nyuma ya simu katika upande wa katikati ya simu.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

JINSI CHAJA CONTROL INAVYOFANYA KAZI KWENYE SOLAR
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi 12 miui14 frp bypass /May 2024 /latest security
Xiaomi redmi 12 miui14 frp bypass /May 2024 /latest security
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#xiaomi #frp #frpbypass #miui14 #googleaccount #googleaccountremove #unlock #redmi12 #mobilerepairing #mobile
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Elevator Free Fall | Will it kill you?
What happens if your elevator free falls? Sabin Mathew answers this curious question in his unique style. You may check out the full video here -
1
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Mwenyekiti na Mwenezi wa TEAM CROWN Watoa neno "Crown sio za Kihuni"
#snashtz #Toyota #crown
Mwenyekiti na Mwenezi wa TEAM CROWN Watoa neno "Crown sio za Kihuni"
🆕 Kama unatengeneza post zako kwa kutumia Photoshop na Illustrator, sasa unaweza kuweka hakimiliki yako kwenye post na kazi zako.

Automatic zikiwekwa mtandaoni zitakuwa zinasoma kuwa mwenye hakimiliki ni wewe

Instagram na TikTok hazitapunguza ubora wa picha kwa sababu zinatambua picha halisia imetoka kwako

Post zitapewa kipaumbele kwenye Explore kwa sababu mitandao ya kijamii itaona kuwa wewe ndiye mmiliki wa hiyo post.

Kumbuka mabadiliko haya yalitangazwa rasmi na Adobe, Meta, ByteDance na platforms mbalimbali zimeweka ushirikiano wa kuweka mfumo wa pamoja wa copyrights ndani ya apps za kutengeneza posts.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
🆕 Windows 11 itaweka mabadiliko mapya katika File Explorer.

Itakuwa na sehemu mpya ya Recently, Favourites na Shared chini ya sehemu ya kufungua files za kawaida. https://twitter.com/PhantomOfEarth/status/1791527279438225490#m
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Kazi ya Audio Jack Kwenye ATM Machine!
#snashtz #atm #audiojack
Kazi ya Audio Jack Kwenye ATM Machine!
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How to Hard Reset All Infinix Hot 12i x665b, x665 Remove Pin, Pattern, Password lock NO PC
How to Hard Reset Infinix Hot
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

A235f signal problem #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel
These are our ways of
telegram
@techshowmobile1374
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #a235f ##a23 #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu #brokenpads #blackglue #signal
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Frp bypasaa pixel 3xl without pc😋💯💯💯💯
Frp bypasaa pixel 3xl without pc
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

20 INGENIOUS HOME INVENTIONS
1) Just Video Walls

2) Yu Home

3) Ori Expandable

4) Sauberair FLAT