Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🕰️ Mwezi wa Nne mwaka 1975 - Bill Gates na Paul Allen walianzisha rasmi kampuni ya Microsoft.

Jina "Microsoft" ni mchanganyiko wa maneno "microcomputer" na "software".

Kampuni kubwa iliyoshika soko la mifumo ya kompyuta, apps, games, na kubwa katika kushika soko la Akili Bandia na chip. Ni kampuni kubwa ambayo imeshika top 1 kwa kuwa kampuni kubwa yenye thamani kubwa duniani kabla ya Apple haijaanza kuchukua nafasi hiyo.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

The Worst Product I've Ever Reviewed... For Now
The Humane AI pin is... bad. Almost no one should buy it. Yet.

MKBHD Me
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

All 39 Python Keywords Explained
In today’s video we will be learning about all the 39 keywords that exist in Python (as
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK|Jinsi ya kutatua matatizo ya computer bila ya kushuhsha windows
#NK|Jinsi ya kutatua matatizo ya computer bila ya ku
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

SDR660 003 Network IC For Xiaomi 6x/Mix2/Max3 Redmi K20/Note7/Note8/Pro Oppo R11
SDR660 003 Network IC For Xiaomi 6x/Mix2/Max3 Redmi K20/Note7/Note8/Pro Oppo R11
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#xiaomi #network #mobilerepairing #mobile #electronic #soldering #sircuit #stencil
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ndege yako bila leseni - IFAHAMU #JETSON ONE.
Ndege hii ya mtu mmoja itaanza kupatikana mwaka 2026, wateja wameshaanza kufanya malipo.

Itakuwa ni ndege isiyohitaji rubani kupata leseni kama ya ndege zingine, lengo likiwa ni kurahisisha usafiri usio wa mbali kwa njia ya anga. Fahamu mambo kadhaa kuhusu ndege hii ya Jetson One @Jetsonaero
💡 #Mwongozo wa apps ambazo zinafanana na apps za Adobe
📊 Kampuni ambazo zinaongoza katika mauzo ya simu duniani

🆕 Ripoti mpya za 2024 zinazoonyesha mauzo ya robo ya kwanza ya mwaka Q1 2024 zinaonyesha zaidi ya simu Milioni 289 zimeuzwa duniani na mauzo ya simu yamepanda kwa asilimia 7.8%.

1️⃣ Samsung inashina nafasi ya kwanza kwa kuuza simu Milioni 60.1 ambazo ni sawa na asilimia 20.8% ya simu zote ambazo zimeuzwa duniani.

2️⃣ Apple inashika nafasi ya pili kwa kuuza simu Milioni 50.1 ambazo ni sawa na asilimia 17.3% ya simu zote ambazo zimeuzwa duniani.

3️⃣ Xiaomi inashika nafasi ya tatu kwa kuuza simu Milioni 40.8 ambazo ni sawa na asilimia 14.% ya soko.

4️⃣ Transsion ambayo inamiliki Tecno, itel na Infinix) inashika nafasi ya nne na kuipita Vivo, OnePlus na Oppo. Mwaka huu Transsion imeuza simu Milioni 28.5 ambazo ni sawa na asilimia 9.9% ya soko.

5️⃣ Oppo inashika nafasi ya tano kwa kuuza simu Milioni 25.2 ambazo ni sawa na asilimia 8.7% ya soko zima la simu duniani. https://twitter.com/Swahili_Tek/status/1779837772204794357#m
📊 Ripoti mpya za Kampuni ambazo zinaongoza katika mauzo ya simu duniani

Samsung imerudi katika nafasi yake ya kwanza.

Chanzo: https://www.idc.com/getdoc.jsp?containerId=prUS52032524
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Je ! Unakubaliana na mimi kwamba #whistle na #spaceline za #samsung ni kitu kimoja ? Jinsi ya kubadilia Notification sound kwenye #GalaxyS24 #EpicJustLikeThat #GalaxyWatch#galaxyai
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Ukiwa ni mpenzi wa filamu za #superhero na unapenda #marvel bila shaka neno #thanos sio geni kwako ! Lakini Je! Unaamini kamba leo ukimsikia @joshbrolin anaongea unaweza kusema amauiga Thanos kuzungumza ! #techinswahili
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia


Bila shaka, maendeleo na mapinduzi ya teknolojia, hususani ujio wa 'Akili Mnemba' au akili bandia kama inavyojulikana n
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

#NK| Jinsi ya kuset cs50 ndani ya CODE BLOCKS
#NK| Jinsi ya kuset cs50 ndani ya CODE BLOCKS
-----------

-----
- Channel
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 INGENIOUS INVENTIONS AND GADGETS FOR YOUR BACKYARD
Mind Warehouse ►

1) EZ Ice Rinks







2) Clearlight
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

mini computer using CrowView Ultimate 14'' Portable Ultralight Dual Monitor
CrowView- Ultimate 14'' Portable Ultralight
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Unaikumbuka "WHISTLE" ya SAMSUNG ? Add Notification Sound Samsung S24
#samsung #galaxys24plus #galaxyai
Add Notification sound kwenye Samsung S24 | Whistle & Spaceline ni Sawa !
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Do Bad Reviews Kill Companies?
Let's talk about reviews

MKBHD Merch:

Tech I'm using right now:

Playlist of MKBHD In
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Series Hii "SILO" ,Imenifaya Niheshimu TANESCO
#snashtz #silo #tanesco
Series Hii "SILO" ,Imenifaya Niheshimu TANESCO