Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
💾 Teknolojia za zamani bado zinatumika mpaka sasa

The San Francisco Municipal Transportation Agency (SFMTA) inatumia diski za floppy kwenye treni zake tangu mwaka 1998! Lakini sasa wanataka kuziacha.

Wanasema itawachukua miaka sita na mamilioni ya pesa kuzitupa. Diski hizo hufanya kazi kwenye mfumo wa kudhibiti treni ambao ni muhimu sana. #TeknolojiaYaZamani

Chanzo: https://arstechnica.com/gadgets/2024/04/5-25-inch-floppy-disks-expected-to-help-run-san-francisco-trains-until-2030/
Teknolojia nyingine mhhh....
🖥️ Inspirations za setups
🆕 INSTAGRAM na FACEBOOK zitakuwa zinaweka alama ya kuonyesha post imetengenezwa kwa kutumia AKILI BANDIA

- Meta itaweka utaratibu mpya kuhusu aina za maudhui katika patform za Instagram, Facebook na Threads. Sheria mpya inalenga post ambazo zimetengenezwa kwa kutumia Akili Bandia, hii itakuwa katika video, picha na nyimbo.

- Mifumo ya Instagram, Facebook na Threads utakuwa na uwezo wa kutambua na kuweka alama ya kuonyesha post imetengenezwa kwa kutumia AI na sio natural (halisia).

- Post zote ambazo zimetengenezwa kwa kutumia akili bandia zitakuwa na alama ya kuonyesha kuwa zimetengenezwa kwa kutumia akili bandia. Hii itatofautisha post za ukweli na post ambazo zimebadilishwa na AI.

- Meta imesema haitakataza akaunti kuwa na posta mambazo zimetengenezwa kwa kutumia AI, kama post hizo hazijaharibu.
🛰️ Picha ya kupatwa kwa Jua iliyopigwa katika Kituo cha Anga cha Kimataifa (ISS)
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Complete installation home solar energy storage 24V system
24v inverter 2000W test with maximum continuous discharging c
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung a225f a22 android 13 frp bypass
Samsung a225f a22 android 13 frp bypass
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#frp #a22 #frpbypass #googleaccountremove #googleaccount #samsung #unlocktool #unlock #mobilerepairing #mobile #electronic #sircuit
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INCREDIBLE INVENTIONS THAT CAN SAVE YOUR LIFE
Mind Warehouse ►

1) Cirrus





2) LUF Nano



3) Vetter E-Vehi
🗓️🧠 Mei 15: Google Photo itaweka features zake kubwa za AI kwa watumiaji wa iPhone.

Google itaweka akili bandia yake ya kurekebisha picha katika app ya Google Photo kwa watumiaji wa iPhone. Mwanzo AI features nyingi zilikuwa zinapatikana tu kwa watumiaji wa simu za Google Pixel 8.

Tools mpya ambazo zitaongezeka kwatumiaji wa iPhone ni Magic Editor ambayo ni akili bandia inayoweza kurekebisha rangi, details, filter, mwanga na settings za picha. Inaweza kujaza nafasi iliyoachwa kwenye picha, kuhamisha subjects, background na details.

Tool nyingine ni Photo Unblur ambayo inawezesha kuongeza quality ya picha na endapo kama picha ina blur sana inaweza kuifanya kuwa sharp.

Huduma hizi zitakuwa ni free lakini kwa limit mfano unaweza kutumia Magic Editor mara 10 kwa mwezi. Mabadiliko haya yataanza May 15 lakini katika iPhone ambazo zinatumia mfumo wa iOS 15 mpaka iOS 17.
TikTok imeongeza uwezo wa watumiaji wake kupakia video zenye urefu wa dakika 30.

#TikTok #Videos
🆕👋 Kwaheri Google VPN

Google imetangaza kwamba itaondoa huduma yake ya VPN katika huduma za Google One. Kampuni hiyo inapanga kuondoa huduma hiyo hatua kwa hatua baadaye mnamo mwaka huu wa 2024, na kuathiri mipango yote ya Google One.

Huduma ya VPN ya Google ilianza mwaka 2020 na safari yake inakwenda kupotea mwaka huu. Google imesema kutokana na matumizi madogo ya VPN na watumiaji wa Google One, kampuni imeamua kukomesha huduma hiyo.

Google inazidi kuwa platform ambayo ina tabia ya kufuta huduma mbalimbali ambazo inazianzisha yenyewe.
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

Je, umechoshwa na picha zenye ubora hafifu au video zisizo dhahiri unapozituma kwenye status yako ya WhatsApp? Siri ya kushirikisha(kushare) Picha na Video za HD kwenye Status ya WhatsApp hii hapa➡️ https://teknolojia.co.tz/jinsi-ya-kushare-picha-na-video-za-hd-kwenye-staus-ya-whatsapp/
#maujanja #teknokona #HDstatus.
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

30 COOL GADGETS YOU DIDN'T KNOW ABOUT
Mind Warehouse ►

1) EXIT Fire'n'Go


2) Swytch




3) Pnümix



4) Sma
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

How To Install AIPRM for ChatGPT
In this video, you'll learn how to install AIPRM for ChatGPT, unlocking its full potential. Discover step-by-step instructions and expert tips to enhance your ChatGPT experience. Whether you're a beginner or an advanced user, this guide will help you master the installation process effortlessly. Watch now and take your ChatGPT to the next level!

How To Install AIPRM for ChatGPT

#AIPRM
#ChatGPT
🕰️ Mwezi wa Nne mwaka 1961 - Yuri Gagarin kutoka Urusi aliweka historia ya kuwa mwanadamu wa kwanza duniani kutoka nje ya dunia na kuizunguka dunia.
Huawei, kampuni kubwa ya teknolojia kutoka China, imewekeza matrilioni ya pesa kujenga kituo kikubwa cha utafiti na kutengeneza chip mjini Shanghai.

Huawei imechukua eneo kubwa, na kusema italipa wafanyakazi na wataalam wake mara mbili ya rates za sasa kwenye soko la teknolojia duniani. Huawei imesema itakuwa inalipa wataalam wake mara 2 ya malipo ya viwanda vya Marekani, Korea ya Kusini, Taiwan na Ulaya.

Shanghai itakuwa ni Netherland ya dunia kwa kutengeneza mashine maalum ambazo zinatumika kutengeneza chip za kisasa ambazo zinatumika kwenye magari, kompyuta, simu na vifaa mbalimbali. Huawei inafanya hivi ili kuimarisha uwezo wake wa kupata 'chip' baada ya vikwazo kutoka serikali ya Marekani kuifanya vigumu kupata teknolojia hiyo.

Kituo hicho kipya kitaiweka Huawei kuwa kampuni pekee ya tech ambayo inatengeneza mashine za kutengeneza chip na pia inajitengenezea chip zake yenyewe. Apple, Google, na Samsung mpaka leo zinategemea chip za TSMC na Qualcomm ambazo nazo zinategemea mas...

View original post