Teknolojia
133 subscribers
3.83K photos
4.68K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
🆕 TikTok Notes

🚨 TikTok imeanza kuweka sehemu mpya ambayo itakuwa ni maalum kwa post za picha ambazo zina maelezo marefu (kama style ya Notes au Blogs).

- TikTok Notes itakuwa ni app mpya, na post zake pia zitaonekana na kwenye mtandao wa TikTok.

- Pia kuna option ya kuamua post zako za picha zisikae kwenye TikTok Notes.
🆕 Google Search haitaendelea kuwa ni huduma ya BURE

- Google ina mpango wa kuweka features za kipekee kwa kutumia Akili Bandia na kuongeza uwezo mkubwa ambao hautapatikana kwenye mfumo wa kawaida wa Google Search.

- Google imeweka Search Generative Experience (SGE) ambayo inaunganisha mfumo wa kawaida wa Google na mfumo wa AI; lakini haitaweka katika Google Search ya kawaida.

- Pia inasadikiwa Google Search Premium haitakuwa na matangazo mengi kama Google ya kawaida.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
Another Sample inayotaja Mlima Kilimanjaro 🏔️
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
AI inajua kuimba matatizo ya kulala usiku bila umeme 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🙌🙌
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

NEW PyCharm Features I Never Knew I Needed (Sticky Lines & New Terminal)
PyCharm has surprised us all with its latest up
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung M127F M12 frp bypass ,testpoint method
Samsung M127F M12 frp bypass ,testpoint method
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#frp #frpbypass #googleaccount #googleaccountremove #unlock #unlocktool #mobilerepairing #mobile #samsung #tipsandtricks #chimeratool #testpoint
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 HOME SECURITY GADGETS YOU SHOULD SEE
Mind Warehouse ►

1) 3B Protection




2) PaintCam
(preview)





3) Str
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Python Course Giveaway!
Join the server here:

Become job-ready with Python:


Follow me on Instagram:
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INVENTIONS THAT ALLOW YOU TO LIVE UNDERWATER
Mind Warehouse ►

1) SUPA HUKA


2) MagicJet (preview)


3) SeaTrek
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Finally No #0# New Method 2024 Samsung FRP Bypass Android 14 Google Account Remove Adb Fail
Samsung Android 14 FRP Bypas
KONA YA TEKNOLOJIA | TEKNOLOJIA.CO.TZ

🌟 Teknokona! tunakutakieni waislamu wote Eid Mubarak 🌙 Baraka tele ziwe kwako leo. Twende pamoja na habari za teknolojia zenye kusisimua! 🔥 kwa kutembelea www.teknolojia.co.tz. #EidAlFitr #Teknokona
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

INGENIOUS СAR INVENTIONS
Mind Warehouse ►

1) Magna Thermal Sensing



2) CRUNK DRAWERS



3) Mastercard In-Car-
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

connector #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #mobile #electronic #soldering #sircuit #samsung #poweric #qualcomm #snapdragon #cpu #brokenpads
🆕 iPhone 16 zitakuwa na rangi mpya

Tetesi mpya zinaonyesha iPhone 16 zitatoka na aina 7 za rangi zikiwemo Nyeupe na Zambarau katika simu za iPhone 16 Plus.

iPhone 16 Pro zinaweza kuwa na aina mpya ya rangi za “Space Black” na “Rose” zote zikiwa katika case ya titanium. Tetesi hizo pia zinaonyesha rangi ya “space black” itatumika badala ya “blue titanium”.
🚨📺 Maelfu ya TV za LG zipo hatarini kudukuliwa

Bitdefender wamegundua kasoro nne kwenye mfumo wa uendeshaji wa TV ya LG, WebOS, zikiaathiri vifaa takriban 91,000 duniani kote.

Madhaifu haya, yapo kwenye toleo la WebOS 4 hadi 7, yanaweza kuruhusu wahalifu kupata nafasi, kuingiza kwenye akaunti ambazo zipo logged in, na kuchukua taarifa za TV, na data binafsi za akaunti - mpaka password.

Bitdefender aliwaonya LG mwezi Novemba, na LG walitoa kifurushi cha kurekebisha tarehe 22 Machi, ambacho vifaa vingi vingeweza kupakua kiotomatiki.

Kuhakikisha kifaa chako kimeboreshwa, fuata maelekezo ya LG: Settings > Support > Software Update, ili kulinda TV yako dhidi ya udukuzi."

More infos: https://qz.com/lg-smart-tvs-devices-security-bugs-hackers-1851402127
🆕 Google imezindua mfumo wa Find my Device kwa watumiaji wa baadhi ya nchi duniani.

- Mfumo huu utapatikana kwa watumiaji wote duniani