Teknolojia
132 subscribers
3.83K photos
4.7K videos
94 files
13.3K links
Karibu Katika Taarifa na huduma za kiteknolojia.
Download Telegram
Vipindi vya Apple Music na Podcast vimeungana, mfano unaweza kusikiliza vipindi vya Apple Music kwenye Podcast
Apple imebadilisha sheria za App Store. Kwa watumiaji wa Ulaya, watakuwa na uhuru wa kuweka apps zinazopatikana nje ya App Store. Itakuwa sio lazima kuweka apps ambazo zinapatikana App Store tu! Mfano Apps ambazo sio official kama vile WhatsApp GB n.k zitakuwa na apps zake kwa watumiaji wa iPhone.
Tayari watumiaji wa iPhone wamepata mfumo mpya wa iOS 17.4: haya ni baadhi ya mabadiliko makubwa katika mfumo mpya wa iPhone
iMessage imehamia protocol mpya ya kiusalama inayoitwa PQ3. Mfumo huu ni salama zaidi ya end-to-end encryption ya WhatsApp kwa sababu hauwezi kudukuliwa na Quantum Computer.
Stolen Device Protection ina option mpya ya kuzuia mtu asibadilishe Apple ID na taarifa za msingi endapo kama simu ikiwa mbali na nyumbani kwako au mbali na maeneo ambao umezoea kuwepo. Mwizi wa simu atashindwa kubadilisha Apple ID kwa haraka haraka.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Samsung A24 5G A245F android 14 frp bypass by chimera tool
Samsung A24 5G A245F android 14 frp bypass by chimera tool
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#frp #frpbypass #a24 #googleaccount #googleaccountremove #android14 #samsung #chimeratool #a245f
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

15 SPY GADGETS THAT WILL AMAZE YOU
Mind Warehouse ►

1) Laser Listener

2) SoundCam

3) RELV ECLIPSE
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Unlock the Power of Code Interpreter With Custom GPTs!
Welcome to our channel where we delve deep into the realm of Code Interpreter With Custom GPTs! In this video, we uncover the secrets behind this innovative tool, providing you with valuable insights and practical tips to enhance your coding experience. Whether you're a seasoned developer or just starting out, Code Interpreter With Custom GPTs has something to offer for everyone. Join us on this journey as we explore the endless possibilities it unlocks for your projects. Don't miss out on this opportunity to revolutionize your coding game!

#CodeInterpreter
#CustomGPTs
#CodingTips
#DeveloperCommunity
#TechInnovation
#AIProgramming
#ProgrammingSkills
#TechSolutions
#SoftwareDevelopment
#AIIntegration
📊 Mashirikika ya Ndege ambayo yanaongoza kwa ajali duniani
Kuna maendeleo mazuri katika tasnia ya magari duniani, magari yanabadilika muundo na pia yanafanya kazi kwa ufanisi zaidi tofauti na magari ya zamani. Lakini kuna mabadiliko mengine ambayo tungependa kuyaacha kando baada ya kugundua kuna madhara. Mfano kutegemea sana touchscreen za kugusa badala ya kutumia vitufe vya kifizikia.

Shirika la Usalama wa Magari la Ulaya (Euro NCAP) limeonyesha ripoti zilizotoka katika majaribio ya kupima ufanisi wa magari na historia za ajali; inaonekana kuna ulazima wa kurudisha baadhi ya buttons katika mfumo wa kifizikia.

Mwaka 2026: imetajwa itakuwa ni lazima magari yote yawe na button/vitufe vya kifizikia katika baadhi ya kazi maalum za magari mfano honi, kuwasha alama ya hatari, indicators, windshield wipers, alama za dharura na wengine wanataka handbrake zirudi katika mfumo wa zamani. Hii ni kwa mujibu wa taratibu zinazoendelea Ulaya kwa sasa.

"Matumizi mabaya ya skrini za kugusa ni tatizo linaloathiri tasnia nzima ya magari na ripoti za sababu za...

View original post
🆕 Ubuntu inafanya majaribio ya kuweka sehemu moja ya Desktop Security Center ambayo inasimamia usalama wa mfumo na akaunti kwa ujumla.
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Xiaomi redmi 9 mi account bypass and remove frp
Xiaomi redmi 9 mi account bypass and remove frp
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#xiaomi #miaccount #miaccountremove #unlocktool #chimeratool #frp #frpbypass #mobilerepairing #mobile #tipsandtricks
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Part #14: Jifunze kila kitu kuhusu DJANGO FRAMEWORK for BACKEND WEB DEVELOPMENT
LIKE SHARE AND SUBSCRIBE FOR MORE
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

Jifunze kila kitu kuhusu FUNCTIONS in PYTHON PROGRAMMING LANGUAGE KWA KISWAHILI
Media is too big
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

MILITARY TECHNOLOGIES THAT HAVE REACHED A NEW LEVEL
Mind Warehouse ►

1) Rheinmetall Rosy

2) Galvion Warfighter
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

"Cameramen" Wajiandae ! AI ya SORA inakuja Kuchukua AJIRA ZAO
#AI #Sora #snashtz
"Cameramen" Wajiandae ! AI ya SORA inakuja Kuchukua AJIRA ZAO
This media is not supported in your browser
VIEW IN TELEGRAM
︎ Teknolojia

destroyed #shorts
Hello, dear friends, I am posting tutorials in this channel that I hope will be useful for everyone, it is about mobile repairs and Electronic circuit
help you to get acquainted with electronic repair tools
Also, how to change electronic parts using heat gun and soldering iron.
If you are interested in this topic, please follow us and subscribe my channel

These are our ways of
Gmail
techshow1374@gmail.com
#mobilerepairing #electronic #soldering #sircuit #resistance